Weekend movies suggestion za comedy. Dondosha chini hapaπŸ‘‡πŸ‘‡, kila moja utakayonipa nitakusugestia mbili nizijuazo

Comedy- American Boy, Chandelier
Action - Shelter, the Bluff, Scream 7
Animation - GOAT

Jionii hii hapa kunyoosha miguu na kupooza koo 🀣
😁😁😁thanks

Pia fanya TBT ya jima carrey pet detective part 1 na 2
 
Roofman -jizi lililokuwa linakaa juu ya paa.Jizi ni jizi tu hata ulivalishe suti bado litakuwa jizi tu.
😁😁

Sawa mkuu.

Ebu angalia na wedding crashers uone vijana wa ovyo wanavyovamia harusi bila kualikwa ili wajipatie mademu wakali waliokuja kwenye harusi
 
🀣🀣 Channing Tatum
Baba jizi hiloo ,usiku mzima linabugia tu peremende za dukani.Kweli jizi hata ulipulizie pafyumu chupa 10 bado litabaki kuwa jizi tu .
 
😁😁

Sawa mkuu.

Ebu angalia na wedding crashers uone vijana wa ovyo wanavyovamia harusi bila kualikwa ili wajipatie mademu wakali waliokuja kwenye harusi
Ngoja niisake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…