macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Angalia hii filamu ya dark comedy inaitwa ''Bad Shabbos'' ya mwaka 2024. Kama umewahi kuona dark comedy inaitwa ''Death at a Funeral'' ya mwaka 2007, basi zina uelekeo wa aina moja. Ni vituko vya kuchekesha baada ya mgeni kufariki ghafla...Iwe dark humour, iwe action comedy, Iwe comedy drama, we angusha.
Asante na mungu akuongezee siku za kuishi mkuu.Fatal seduction
Kuanzia. Mwanzo hadi mwisho ni mikasi tu
Hii movie ikianza tu dakika 15 za mwanzoAsante na mungu akuongezee siku za kuishi mkuu.
Hii itaniua kwa nyeto aisee 😂.Hii movie ikianza tu dakika 15 za mwanzo
Ushaloa
Mpaka sasa hivi nashindwa kuimalizia
Sijawah ona movie wanagongana kama hii
Ni wa south
Ipo netflix
Kaa na jagi la maji pembeni vinginevyo utakufa kwa kiuHii itaniua kwa nyeto aisee 😂.
Mniombee !
Mahitaji yote Niko nayo hapa.Kaa na jagi la maji pembeni vinginevyo utakufa kwa kiu
😂😂😂
Hahaha death at funeral the best aiseee.Angalia hii filamu ya dark comedy inaitwa ''Bad Shabbos'' ya mwaka 2024. Kama umewahi kuona dark comedy inaitwa ''Death at a Funeral'' ya mwaka 2007, basi zina uelekeo wa aina moja. Ni vituko vya kuchekesha baada ya mgeni kufariki ghafla...
Iwe dark humour, iwe action comedy, Iwe comedy drama, we angusha.
Katika movie ambazo siwezi kuziangalia ni movie ya action halafu steringi mwanamke. Naonaga movie inakosa uhalisia. Mfano salt, angelina jolie ambae hata mimi namtandika makofi vizuri kabisa lakini kwenye movie anapiga mijitu yenye misuli halafu sio mmoja sasa ni kundi la wanaume. Kuangalia movie ya hivyo siwezi kwa kweli
Napenda movie za intelijensia km Shelter na zinginezo km unazifahamu mention hapa hata 20 za kuanziawe angusha
Napenda movie za intelijensia km Shelter na zinginezo km unazifahamu mention hapa hata 20 za kuanzia
Safi sana mkuu I salute you1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy.
2: MUNICH
Baada ya kikundi cha palestina kufanya mauaji ya wana michezo wa kisrael huko ujerumani inapelekea mossad kutuma agents wake duniani kote kuwasaka na kuwaua.
3: ALLIED
Mwanajeshi/agent wa kimarekani anakuja kugundua mke alie...
- Eli Cohen
- bora hii hizi kamwe kuangalia movies muda nyuma
- Replies: 76
- Forum: Entertainment