Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ghetto kufanyeje bnanjoo gheto kwetu basi
Utanirudisha home7000 mkuu daah , hata nauli haitoshi
Upo pande zipiUtanirudisha home
Asante d .ila uko mbali buku saba itaisha hata sijafika ubungo etiNjoo The Great Tabata bibie..tule maisha
Aya unatokea upande gani nibadili kiwanja??..ila hata ungekuja huku ningerudisha home safely kabisa..Asante d .ila uko mbali buku saba itaisha hata sijafika ubungo eti
Ahahaa yaani nikae kama mzigo hata nauli sina? Siwezi jamaniAya unatokea upande gani nibadili kiwanja??..ila hata ungekuja huku ningerudisha home safely kabisa..
Bills on me,,nothing to worry mrembo..Ahahaa yaani nikae kama mzigo hata nauli sina? Siwezi jamani
Mimi.Nina kadi ya harusi double harusi inafanyika Sinza Deluxe nipo Makongo mda huu.
Kwa anaetaka tukale maji aseme.
Upo wapi wewe?Mimi.
AhahaaMimi.
Vaa pendeza meremeta nenda harusini, ila nrushie elfu kumi na tano nichome kuku au mbuzi huu uchu utaniua aisee.Mimi.
Tegeta mkuuUpo wapi wewe?