Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mtafuta mzigua njooni hapa elementMwendokasi hauendi tabata bna
Nawalewesha ila lazima threesome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafuta mzigua njooni hapa elementMwendokasi hauendi tabata bna
Aya tunakujaMtafuta mzigua njooni hapa element
Nipo na mfungo wa mwezi mzima nisije nikapata pepo bure la kunywa heineken
nakaribia tegeta hapaTunaenda wapi halafu? Sina NGUO lakini. Unijie kabisa Na jeans au gauni ya blue/red
Shunie msalimie mumu
Huzitaki zile Heineken 12?
Hongera Kwa kufunga Na maombi.Yaan wewe lazima utanishawishi tu ninywe beer nikirudi kwangu usiku nianze kutubu sasa kwa pepo la pombe
Nilikuwa na mumu kwenye maombi kwa da Cole jamani
Hamna shidanakuja na begi kabisaa tunaenda vacation nchi za mbali sio harusini tenaa
Hongera Kwa kufunga Na maombi.
Yani kafanya mapigo ya moyo wangu yabadilike ghaflaUmemuona Rrondo lakini?
hii ni zaidii ya bahatiii shukraniHamna shida
MscheewwwMtafuta mzigua njooni hapa element
Nawalewesha ila lazima threesome
Halafu mbona huzitumi sasa?Huzitaki zile Heineken 12?
Sawa.. Ukifika Kibo nisubiri haponakaribia tegeta hapa
Jamani tuambizane twende wapi Leo kutoa stress.Mimi Nina elfu saba tu hapa.
Ila uzuri nakunywa maji tu.
Nazitaka kwani zimeshafika kunywa mpaka mwezi wa 11 mwanzoni Ngabu
Halafu mbona huzitumi sasa?
Good!
Kaa mkao wa kuzinywa basi....
Ziko njiani Mzigua.
Na wewe ndo utazi deliver...
Halafu mbona huzitumi sasa?
Nlikuwa naongea na mzigua zingatia hilo, hayo ya kuliwa ndogo ukiliwa wewe inatosha mkuu siyo lazima tuliwe wote.utaliwa ndogo shauri zako