Weekend ndefu around the corner.Ijumaa-Jnne

Weekend ndefu around the corner.Ijumaa-Jnne

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Hapa ni mwendo wa kula bataa kwa wale wa pay cheki kazini jumanne na hivi Dar kuna kamvua kujamiiana kwingi miezi Tisa baada ya sasa vibendi. Uzi tayari
 
Natafuta mwanamke wa kusokotana nae na hali hii sasa hivi.
 
255622079099_status_aa677e44849b498bafe59fdc92fa0e79.jpg
 
Yaanii mefurahii mimi, na hizi mvua nitaandaa bustani ya mboga na kuotesha kabisaa!
 
Back
Top Bottom