Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya kimasikini sana kufurahia kutoingiza helaHapa ni mwendo wa kula bataa kwa wale wa pay cheki kazini jumanne na hivi Dar kuna kamvua kujamiiana kwingi miezi Tisa baada ya sasa vibendi. Uzi tayari
Kama ni Ke na unachura nicheki PM nikutoe weekend hii😂😂😂😂😂kama huna ela kama mimi ni bure kabisa hiyo weekend ndefu
Watu wanatafuta hela ili wale bata waishi vizuri.....Mawazo ya kimasikini sana kufurahia kutoingiza hela
Watu tunatembelea Rim na ndyo kwanza mwanzo Wa mwezi duh[emoji12] [emoji12]Hii Weekend nzuri ila Mifuko imetoboka mkuu,tunatembelea ringi,,,,,,,,,,,,,😉😉😉
Utaandaa bustani.....ha ha haaYaanii mefurahii mimi, na hizi mvua nitaandaa bustani ya mboga na kuotesha kabisaa!
NdiwoooUtaandaa bustani.....ha ha haa
safi sana....
mm nitakuja kulima...
kwa consent/ruhusa yako
Basi sawaNdiwooo
Mvua zinaishia chini mkuu!
😎Ndiwooo
Mvua zinaishia chini mkuu!