Weekend ni siku ya kujiinjoi

Weekend ni siku ya kujiinjoi

Ukiwa baadhi ya sehemu mpk unajiuliza watu wanalala saa ngapi? Kesho ni j3 je wote ni wajasiriamali au maboss?
Hili swali niliulizwa Jana na shemej yangu (mke wa bro) eti "huku mjini watu huwa wanalala saa ngapi" nikamwambia ale maisha ya mjini ayaache huku huku mjini,j3 anarudi zake Kayenze πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom