Weekend story: A Woman of the people

Da lara mi napokupendea hapo pa kwenye kunipa elimu bila ada.. hii advice nshaiandika kwenye notebook.. can't wait for next episode
 
Hii ni chai, hii story ni ya uwongo, hakuna mwanaume Kijana mid 30's bongo hii, mwenye uwezo na nia ya kumuhonga mdada Ambaye hafahamiani nae vizuri USD 24,000.. wanaume vijana wa kuhonga wadada USD 24000, wanapatikana Marekani na nchi za ulaya, middle east, west na south Africa ila sio east Afrika hii
 
POLEEEEEE SANA JF WANAAA KWA UBISHI TUNAWAJUA
 
POLEEEEEE SANA JF WANAAA KWA UBISHI TUNAWAJUA
Baadhi ya wanawake muache kuota ndoto za mchana, jaribuni kuutazama uhalisia, uwezekano wa wewe kutongozwa na mwanaume tajiri ni asilimia ngapi? Maybe less than 4% chance.. wanaume vijana matajiri hapa Tanzania wako ishirini na wangapi? Na wanawake Tanzania hii mpo million ngapi?

Huyo mwanaume tajiri utakutana nae wapi, iwapo we ni wa kusubiri utongozwe? Hornet
 
TAFUTA HELA,NDOTO ZITAGEUKA UHALISIA
 
Acha kuota ndoto za mchana dada mwanaume wa kuhonga hizo atoke wapi?Baadhi ya wadada inabidi muache maisha ya kwenye tamthilia.
HAHAHAHAAAA DADA DADA UNAPATA DHAMBI UJUE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ