Weekend story: A Woman of the people

Weekend story: A Woman of the people

Hizo dollar kuzitoa ni kazi haswa kama umezitafuta kwa jasho lako....slay queens wanajua kujilipua sijawahi kuwaelewa
Wana moyo wale sijui wanawezaje. Nina mdogo wangu wa mjini mjini jamani yule ni masta. Kwenda kukaa hotel Nairobi sijui Mwanza haoni hasara. Namwambiaga hizo hela mdogo wangu si ungefanya hata biashara ila ndo kama kasharogwa akili yake yote inawazaga wapi kuna wapopo akawadange.
Ukikutana nae utasema kapaki Range kumbe ana njaa balaa basi tu anavaa anapendeza avutie sponsors
 
Na kibongo bongo mwanaume akikuhonga tsh million 50, lazma atakuomba tigo Mzigua90
Wapo makauzu hakuhongi hata elfu 10 na anakuomba Tigo.
Kwa kweli vya Tigo hapana ila kwa 50M nitasema na moyo wangu tu kwani marinda sh ngapi jamani.
Nimeandika huku nawaza mjulubeng unaingia kunako nikasema Eeh Mungu niepushe na jaribu hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha ha ha nimecheka mno vipi umezimua mchana huu nini?
 
Wapo makauzu hakuhongi hata elfu 10 na anakuomba Tigo.
Kwa kweli vya Tigo hapana ila kwa 50M nitasema na moyo wangu tu kwani marinda sh ngapi jamani.
Nimeandika huku nawaza mjulubeng unaingia kunako nikasema Eeh Mungu niepushe na jaribu hili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]
 
Hahahaa leo umenichekesha sana big up sister Mzigua90
 
Huku kwetu pombe mchana natoa wapi lakini? Niko very sober Sema nimechoka akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nimewaza tu kweli niwekewe 50M mezani nitaweza kuruka kiunzi kweli mimi?
ngumu sana
by the way siyo wanaume wote wanahusudu hiyo kitu cc amu mambo ya papaaa
 
Back
Top Bottom