Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Ngoja ninunue kabisa bundle LA week... Hahahahahah Lara nakupromic mtoto wangu wa kike ntampa jina lako awe mjanja angalau kama wewe
... Opps count me in I'll be there
 


Duuh...hadi mie umeni tag!!!


Ila [HASHTAG]#lara[/HASHTAG] 1 usistaafu bana.
 
e4b539ace73c58c05af4bfcdf084ebfb.gif
 
Hahaa asante sana lara 1...kweli hii si yakikosa...alafu mbona ka kesho mbali vile[emoji87]
 
Naaam bibie lara nimeitikaa kwa sauti wito wako nimekuja kwa speeed zoootee nangoja dude ushusheeee[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
plz usistaafu kuja huku kutuletea post kama hizi zinazoburudishaaaa
 
Big sis heaven sent usisahau kuniletea popcorn zile za sukar zilee tushushie story tamuuu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kubwa La Maadui ndani ya nyumba. Uuuutatatata, nimeomba na gahawa kidogo hapa ili usingizi usijaribu kunipitia.

Unajua kabisa ninavyokuzimikia..... Hahaha, iwe ni new revolution. Achana na kustaafu.

I appriciate......
 
The man of the people wa lara puliiiiiiiiiiiiiiizzzzzz tuulizie muda goma litashushwa sangapi??
 
Back
Top Bottom