Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Nashukuru mnaotuma story zenu nizi publish, mmeamini Mimi ni MTU sahihi kuwaandikia historian zenu. Nashukuru kwa imani yenu kubwa! Ikumbukwe toka JF nijiunge nimeandika story za member wa 2 tu. Silent killer n Night Walker. Hii itakuwa ya member wa 3.

Not that your stories are not good enough for me to pen them down except standards are too high, expectations are maximum, and the masses are not easily confused! You want me to pen your story it has to be good enough and worth our time, bundle and efforts!

Nawajua wasomaji wangu hampangiwi bundle ni lenuuu! Na hamkopeshii! MTU akizingua kaya mnanichana hapa hapaaa! So na Mimi na wakaziaaa kinoma nomaaa!

Kama kawaida Man of the people first approached me zamani 2015 imagine today is 2017 ndo story take unaenda hewani! Finally! Hakuwa na mengi just kunisifia tu story zangu nzuriii na nini! II don't wanna brag but I get that a lot so it was nothing new! Nikajibu jibu!

I started giving man of the people attention siku alipo niomba namba anitumie vocha. Nina namba yangu hii ya Khadija Juma 0693156916 airtel jamani ndo namba yangu ya Jf! Napatikana huko mda woteee! Sio mpige usiku shemela wenu ataniachaaaa na Magu huyu balaaaa.

Aliniomba namba nikampa namba yangu! He is simple in nature, very simple nikampa sijui kwa nini but sitoagi hio namba kizembe. Akanitumia hio vocha ndugu msomaji shilingi ngapi nawaonaa nawaonaa roho zinavowatoka kutaka kujua being gani shilingi 300,000 za kitanzania. Laki 3. Nikajua labda 30k kumbe 300k bwana. I was like Gademuuu atakuwa mbeba box! Honestly wabeba box ndo wanaonisapoti kuwawekea story. Mnasoma Burr ila kuna watu wanachangia pesa ndefu ndo napata nguvu ya kuacha kuuza ronya kishinda hotel natuliza akili nawapostia city.

Sikumpatiliza sanaaaa! I knew he was loaded, na Mimi navopenda pesaaa Sasa ila some how some way kuna fuse ilikatika! Nikasahau kabisaa kumganda kama lubaaa! Mnanijua lakini wasomaji, labda uchumi wa kikwete ule ungekuwa wa Magu laki 1 tu MTU akituma unaenda kumpa papa, kushika mike na kupiga deki uvunguni huu jinsi hela ilivongumu! Hahahaaa! Pamoja na AC na mvua za kifurushi cha halikati unajikuta unampepea kwa gazetiii! Huhuuuuuuuu! Ummanyire Magu!

Basi ikawa namba anayo! Siku nikipost story ananisalimu na kucomment kwa whatsup! Na Mimi najibuuu ndo ananiona live online najikausha vipi Sasa. Akaanza I have my own story I have my own story INA qualify weekend story. Aaaaah! Mxiuuuuu! Mi siku pay attention kumuuliza the story hata kujua kidogo nikajua tu, story mbuziiii.

Kila story anasoma na ana comment! Siku akaniambia mi unaenda kuoa! Sasa Mimi nilipoteza simu namba ikaja bila jina, sikujibu nikajua ataniomba mchangooo, so nikaichia hewani hii mada. He called me, rafiki mi unaenda kuoaaa, nikampongezaaa kwa kuuaga ukaperaa! Still all those times napishana na gari ya mshahara ndugu msomaji. Huko mbele utanionea huruma.

Sasa ilikuja story ya Desperate ya kina Gill na Stacy. Akaniambia mbona kama unanijua hii story hii. Nikamwambia we si umeoa juzi ushaanza kuchepukaaa? Anasema no juzi nimeona mchepuko, nilishakuwa na make na ana watoto. So Nina wake wa 2! Mpo hapo wasomaji. Nikaona tu algebraaa! Whatever hata awe na wake kumi.

Anagusia swala la story take kuwa weekend story. Mi simpi uzitooo. Mmeona fanani wenu na nyie hadhira tulivokuwa tunapishana na story LA vunja jungu? Mi sitaki kumsikiza cause tushazoeana mpaka hapo sitaki kumpa guarantee za uwongo, au kumsikiliza then I have to bust his bubbles kwamba its a plain story and I am not gonna write it.

Na kilichonivinja nguvu ni tabia take ya kusema Mimi mpentekoste, Mimi nimetoka kijijini, Mimi mtoto wa mkulima nika conclude tu, hana jipyaaaa! Story zote 13 nilizosimulia ni za watoto wa mujini, watoto wa Daresalaam! Huyu mluga luga vipi tenaaa! Mimi limelipiwa hili.

2 years we are talking not a lot kidogo tu. Once in a while ananipa hi! Mpaka hapo bado Niko gizaniii fursa sijaionaaa kabisaa. Kuwa na wake wa 2 nikajua maybe huko in 50s huko. Sikuiona fursa kabisaaa.

Siku ya siku MTU akashika simu yangu shangingi moja linaitwa Dija! Likaniuliza huyu kaka nimemuelewa Sana'a kwenye Dp za watu wako. Nikajua my cousin D. Nikamwambia usilete uchuro Hugo ashatoa posa kwa waziri usilete wanga kama familia tunangoja the wedding that will change our lives uchuro sitakiii.

Akaniambia D nalijua si like jeusiii linafanya NIC? Sio huyoo bwanaa! Kuna MTU huku ana rangi ya mtume! Nikajua mbeba box mmoja mshikaji wangu nikamwambia Hugo huko nje usinichosheee.! Anasema siooo na!ba ya nje! Na!ba ya hapa hapa! Nikamuuliza nani kwani? Au mdingi? Mdingi wangu mshenzi kweli picha ya Do whatsup kaweka passport take ya miaka 30! Watu wanashoboka nae sio kidogo. Mama anasema umaluuni hauzeeki na wala ngombe hazeeki maini!

Anasema sio baba yako, nakijua kipicha chake! Nikasema leta nione! Mwenyewe nilistukaaaa! Kitu cha uhakikaaa! Ananiuliza huyu nani? Nikamjibu MTU! MTU hio vipi? Nani yani? Anafanya nini kwenye chats zako? Nishashika namba hii kwa kichwa namwambia! Nikajua hashindwi kuwa kashika kweli.

Nikamwambia hio namba ya shoga angu Rose na hio Dp ya mumewe Sasa shoboka kuipigaaa ndo utamjua Rose ni nani. Mmmmh! Nikawa nimempataaaa! Hahahaaaaa! Nikashangaa mtoto mdogo hana 40 ana 2 wives sema sikutaka anione mswahili kumchimbaaa nikapotezeaaa.

Kati kati hapo nilikwama nikawa nimemsimulia tu, cause he such a soul, anajali, he wanna know whats going in my real life of which most of the time is nothing si mnanijuaaa ndugu wasomaji kazi yangu kuzururaaa na kudanga. He cares, he do care! Imagine he doesn't even know me before.

Nilisafiri akanipa oda ya Nguo, niletee! Anauliza umefikaaa salama, what are you doing now! Hivo kama utasema ndugu take. Wakati mzazi wangu mwenyewe believe me ukimstua Leo Lara anakaa wapi, anafanya nini, hajuiiii, na wala hana nia ya kujua Leo wala kesho. Mradi simpigii kuomba pesa basi.

Katika kumueleza nimekwamaaa na matatizo yangu, akanitumia pesa tenaaa! I was like whaaaat? Mmmmhhhh! Nikashangaaa! Nikasema huyu kaka ana roho jamaniii! Mkewe si anafaidi mpaka basi. Ndo maana ana wake wa 2 sio kwa moyo huu wa kutoa. Pesa yote hii uchi ajala looh!

Namwambia shogaaa I have this friend in Jf kanisadia hizi pesaa. Mbona alijiunga hapo hapo! Anasema subiri kwanza nijiunge nisipishane na gari la mshahara. Haya nielezeee. Namwambia kanipa! Anasema ongea kiutu uzima kakupa tu hio vipiiiii? Baba yako mzazi yuleee akupe tu? Ongea kirefuuu.

Namwambia ndo kanipaaaa! Yupo haiwezekaniiii! Anataka uchi huyoooo! Hahaaa! Nikamwambia hayo unasema wewe, yeye walaaaa! Akabisha nakupa siku 5 asipokuomba Tigo sijuiii. Kwa pesa hio hapiti mbeleee jiandae marinda kutatuliwa. Anajua anataka kukutatua rinda hizoo anakupa kupa pesaa kwanza akija kukuomba nguvu za kukataa huna! Hahaaaaa!

Alinitishaaaa si kidogo! We kweli MTU akupe malaki yote hayo kwa vuzi gani hasaaa? Zikapita siku 5 hajakumbushia wala kugusiaa. Ikapita miezi walaaa kugusia nilikupa pesa zangu Sasa inakuwajeee.

Mda wote anasisitiza nina story Nina story Mimi sijui akili yangu iko wapi, not even once I asked him hio story ni IPI, mi nakula mi pesaaa tu. Mkavuuuu mkazuzu! Basi tumezoeanaaa achana na pesaaa ndugu msomaji kama ndugu yangu. Hata kama nachata na shemela wenu ikiingia whatsup ya huyu !an of the people naacha hata kushika MIC naijibu kwanzaaa ndo naendelea kushika Mic.

Shemeji yenu akaanza kuleta nomaaa, hii namba ya nani mbona haina jinaaa, nikamwambia hio ya boss wangu ambae ana mheshimu Sana'a! Boss mwenyewe danga langu vile vile la yangu chuo. Msione nasema mkajua mzee hata 30 hanaa ila pesa imemkubali ndo nafanyaga nae projects! Ananipa nipa kazi za kukaa mjini. Na pia ni danga langu low key shemeji yenu hajui. Angejiongeza angejua msaada gani usioisha mi yule ndugu yake? Sema ndo hivo she!eji yenu nimemlisha nyama sijui ya wapi! Hahaaaaaaa! Nilivomdanganya namba ya flani akawa nae ana I heshimuuu hatariii. Angejuaaaaa!

Afu we were just talking mambo za kawaida tu. Maybe story zangu za humu au za kwake sio X rated lakini za kawaida au wanae anawapenda hakuna mfanooo! Au ananiambia Nina pesa hii nifanyanye nini? Namwambia Fanya hiki na hiki. Au nataka kufanya hiki unaonaje na Mimi natoa maoni yangu. Hivo yani! Just good friends.

Kila Mara anakimbushia Nina story yanguuu, Nina story yangu! Mi naignore tu! Si mnanijua tenaaa kwa utapeliii mjini hapa. Nimeshindikanaaa! Naingilia huku natokea kule mradi tu siandiki chochote! Mnanijua mnanisikia!

Juzi hapa juzi nilipata balaa la kuvamiwa na wezi, mambo yangu yakaenda vuluu vuluuuu bin vuluuuu! Nikawa nimesafiri nimefanya massive investments, expansions, afu Magu uchumi ukawa ume contradict! Shemeji yenu namuomba bail out haelewekiiii! Hana kitu Masai yake. Pale napoishi usalama hakunaaa! Mzigo ya kulipia bandarini nikawa naadhirikaaa!

Ndo nilipoamini ule msemo mwanamke bila mafiga ma 3 hujakamilia. Nikamkopa maza nae analalmika Magu mwanangu Magu! Kila MTU Magu maguuu! Ndugu zangu wote free P tu hawana msaada! Shida ya ghafla! Huku na huku danga langu boss nikalikolezaaa nikalitia ndimuuu were likakubali kunilipia Nyumba nihame. Lilivo gaidi likaja kulipa lenyeweee, King a OG. I guess alihisi nadanganya the issue ya wezi na kuhama kuja akakuta kweli akaona damage ya wezi waliofanya na Nyumba akalipia. Nikahama. Siku zote mi MTU wa wizara za mambo ya nje sijui kwanini.

Shemela wenu ooh hamia kwangu mpaka utakapo simama mda wote hio nikampe uchi wa bure thubutuuuu! Afu atanibanaaa na hiki wizara zangu za mambo ya nje! Sasa boss nikamwambia pesa ya kutolea mzigo akagomaaaa! Namjua kitambo hataki nifanye business! Naona alifurahi finally inakufaaa! Hahaaaaa! Anasema Mimi pesa hio sinaa! Nikashangaaa MTU na mipesa yake nikajau tu anataka kunikomoa! Ashasema huko nje ubakoenda Nina mashaka na unachoenda kufanya! Bwana weweeee baba yangu mzazi ashanipa go ahead nenda dunia nzimaaa usiEek hapa mtaani hujaishi yeye nani kunizuia. Ila pesa hakutoa.

Nikajua Sasa kwa my friend! Sikutaka kumuomba. Aliniuliza tu how are you, nikamwambia tu, kuna pesa imepelea kwenye business, nimekwama, ila mi mwanamke nitajikwamua tu! Akauliza shingi ngapi? Nikataja tu! Najua just Convo. Anasema nitakutumia! Natamani nilete uzungu don't send bwana na nini you don't have to do that huku njaa imenibanaa! Mmmmmh! Nikakaa kimya! Ila najua kuna mawili msaada ambao haujautolea uchi hauna risiti anaweza atume au asitume.

Siku hio nimekaa kitu ndindiiiiiiii! Kitu pwani! Pesa ndefuuu! Mmmmh! Nikashtukaaa! Nikamshukuru pale. Nikawa nimedataaa! Jamani mi ugonjwa wangu mwanaume anipe pesaa anipe nipe pesa hivi were ananiloga ananimalizaa kaabisaaa hahaaaa!

Nikawa nimemwambia shoga angu mmoja kuna MTU sijawahi MPA papa ila anavonijali mpaka naona aibuuu! Cheki Mpesa hioo! Huko aaaah! Unachongoja kumpa papa kitu gani? Unapishana na gari la mshahara! Namwambia he is my friend you know! Ananiambia hili jiji Sasa ndo ujiongezeee kumpaaaa, wanaume wa hivo hawaombiiii uchi we mngese unawapa mwenyeweee! Mpandie ndege au basi huko huko katengeneze mazingiraaa manina kweli kweli unekaa hapo uanjoachiaaa tu.

Namwambia No, hataki uchi bwana sio wote anataka nyuchi zilizo China, he likes me for whom I am as a person, as a friend hahaaaa! Anasema hivi u ajisikia pimba uzoongea? Mwanaume yuleee treat him as a man or else usije kulaumu!

Namwambia he is married with 4 kids and 2 wives Sasa huoni hapo na Mimi nikakae hapo hapo si bermunda triangle of love hio? Anasisitiza shauri yakounatupa maishaaaa! Who is he kwanza? Yaani zali kama hill likatize pande zangu hahahaaaaa! Ayaaa friends you said!

Hapo nikajua I don't know him at all! Kashanivurugaaa na wema wema wake usio na mipaka! Kweli si wanamchongooo pesa chupi tunavua mwenyewe! Hahaaaa! Shukrani kila SAA namtext! Mimi tenaaa!

Akanitumia binge ya kaziiii! Kazi ya maana vibaya mnoo! Omba hio nikufanyie mchongooo. Sehemu ya maana hatariii! Alieniloga sijui kafaaa maana hamuwezi amino kazi sina na ile kazi sikuomba mpaka deadline ikapita! Ila ndo akawa kazidi kunilogaaaa! Watu wananitia upepo jitongozesheee. Jiongezeeeee! Acha uboyaaaa! Nikawa njia panda! Bado ananiambia I have a story zaidi ya weekend story nishavurugikaaa! Still sikutaka kuiandika! Ila mda huu nishakuwa teja nachat nae 24/7 kama zuzu!

From no where akaniambia kuna msichana humjui? Wewe yani Mimi Sasa alwatabi wa town amesoma Udsm! Nikamwambia nitumie picha hata kama simjui nitakutafutia Dar yote mpaka kigoma na unguja ikibidi! My friend tenaa! Akanitumia simjuiii kweliii. Ni mkubwa kwangu so nikakosa connect ya kumfahamu. Like not my age mate but I tried to find her out for him!

Nikamuuliza why you really wanna find her? Like what is in it for you? Anasema ooh mi huyu msichan nilimnunulia sodaaa tu, Sasa anataka nimpige miti. Mi nikajua some cheap whore! Nikamwambia achana nae hana ishu kwani anafanya nini mjini? Akaniambia huyu ni boss wa kampuni flank! Looooooooo! Like she went to school Poland huko na madiaspora ya kutosha anakofanya kazi Lara siwezi hata kuwa mfagizi afu boss! Afu kanunuliwa soda anataka kutoa uchi kwa soda boss mzimaaa! Nijaona ni integration!

Anavonisimulia all exited, I knew he liked her a lot, n she is not cheap whore mbona mambo yanakuwa magumu! Nikamwambia Do her! We have that chemistry and I can tell him that! Hahaaaaa! Najua mwenyewe mtashangaa msishangae Sana'a usiku SAA hizi mtameza mmbu!

Anasema ooh nimeokokaaa! His same old line! I can't cheta on my wife the second, I love her, blah blah afu huyu mi simuweziii! Khaaaaa! Nikamwambia okay don't do her and miss out all the fun! Toto zurii like shauri yako! We live only once!

Akawa yupi cross roads! Sasa hapa ndo nilipojikita nipo kati kati ya story ya MAN OF THE PEOPLE! Jamaaniiiii mmmmmh sijui nisemajeeeee! Ngojeni kusoma wenyeweeee!

ITAENDELEA KESHO.
 
Lara ujue wengine hatujazikalia hapa tunasubiria dude ?!

Umetutia nyegezi mapema hutaki kutuonjesha jamani vibaya hivooo
Tushushie walau scene kimoja cha intro cha kulalia basi
Ili tukipewa Saspaa huku tupatiemo huko kwa mutu ya watu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ooh ma
 
Utamu umekataaaaa. anyway, I have secured my place already, ila sion dalili ya muhuni kwenye hii story.
Inabid tu tuangalie mechi kimya kimya, umetisha kungwiiiiiii
 
Huenda tukawa team moja...tusubirie upepo kwanza. Huyu rubani hakawii kubadili gear angani
 
Kubwa la Maadui Lara moko nikumanyire kweli, nilisikiaga kwa mbali unaniita niko hapa mama, hata kama dude halijashuka naomba nichague team ha ha ha
 
Be blessed lara [emoji8]

Back
Top Bottom