The man of the people!
Naomba ikumbukwe mimi ni mtoto wa kijijini, nimezaliwa kijijini, nimekulia kijijini, nimesoma kijijini. Naweza sema mimi ni mwana kijiji. Na kam mjuavyo kijijini sio wilayani useme kama ni mjini hapana. Kijijini as in village kabisa ndani ndani hukooo. Na to make the matters worse mimi na wazee wangu wote ni walokole typical. Ile familia uwepo wa Mungu ni 24/7
Uzuri nimekulia shule hizi hizi za kayumba, na kusoma kayumba mpaka chuo. Na nilikuwa muumini mzuri sasa umoja wetu wa wa walokole mashuleni. Na sababu najulikana mlokole sikuwahi nakiri sikuwahi kumla mdada yeyote. Sio kwamba wanawake sikuwazoea No, ila ile kuwa close kufaidi mambo hapana kabisaaa. Chuoni nikaanza kuonja onja warembo ila sio kivileee si mnajuaaa tena dunia ilivo.
Kama Mungu, nimemaliza chuo, nikaajiriwa bank. Nikapewa kitengo drect tu, si mnajua tena ukiwa Mungu, lazima akupiganie. Nikawa na maisha mazuri, nimepewa gari la mkopo, nakaa sehemu nzuri, na mwenyewe marshallah rangi ya mtume ninayo, ile misuit na kiyoyozi cha bank, warembo wanajigonga tu, mimi bado na ule ushamba ushambaaa.
Akaja rafiki yangu Mary, tokea secondary nafahamiana nae. Mary tulipotezana, tukakutana akafanya kuchukua namba. Tukawa tunawasiliana akija bongo. Ndo kuniuliza una Girlfriend nikasema hapana sina. Akaniambia una mtoto? Nikasema pa sinaaa. Basi ndo kuanza kuniganda kama luba yule mwanamke naeeee.
Hapo nikiwa bank huku kitaa kuna mwanamke wa kimbulu, unaweza sema chotara nikawa nimemzoea zoeaaa. Sema ndo wale shungiii 24/7 ila ndo mshikaji wangu hatariii. Ananiambia mi Bikraaa sasa sijui alikuwa ana ni tegaaa au vipi sijuiii. Na kama tulivo wanaume kuniambia mambo ya bikra yake nikashikwa uchu usio elezekaaa, iweje wengine wafaidi.
Tatizo likawa dini, mimi Mlokole, alafu yeye Aswala Sunni, wale itikadi kali sanaaa. Ila tunaongeaaa tu, we just talk you know, ataekupata atafaidiii, na mimi namwambia ataekupata atafaidiii hususanii hio bikraaa ambalo unanidorishia kunipa hunipiiii ilimradi tu kuniringishiaaa ringishiaaa
Ikawa ndo mfumo wetu kuongeaaa tu mambo ma chafu machafu for hours ila najua futre pale hamnaaa yule bibie Sunni mimi kafiriii, ila waukweliii, mtoto mzuriiii, lainiii lainiiii, rangi ya mtume, nywele shombe shombeee yaani najikazaaa tu kiutu uzimaaa, ningekuwa firauni ningefanya mambo.
Huku Marry nae ambae ni very plain sio wa ukweli wala nini, kaniganda kama lubaaa. Anataka mambo, nimpelekeee mchi wa hajaaa. Si mnajua tenaaa. Simba toka lini aka susa nyama hata kama kashibaaaa. Atajitahidi japo apige tonge zake 2 au 3 za sunna tu. N a mie kwa Mary ikawa hivo hivo.
Akanipa mzigoo nikalaaa. Sijui ni ushamba sijuii. Mi sikuona mzigo una tatizo wala hitilafu yoyote. Basi tukitoka kazini huyu hapa Marry, mpaka kwangu ananipa mambo weee ya fasta fasta anapanda gari na kurudi kwao. Mi bado nashangaa shangaa mambo ya wa Yuda. Sijayazoeaaa.
Kabla hata sijahamaki akasema twende kwetu ukajitambulishe tufunge ndoa. I was still dazzled na papuchiii. Nikasema sawa. Nikawaambia nyumbani nataka kuoa, wakasema sawaaa haina neno. Wakaja dar na kujiandaa na utambulisho wa huyo bibie. Tukaenda kuposaaa
Kwenye kuposa sasa ndo yakaanza kuibuka mambo mazitooo mazitoooo ambayo mimi nikawa siyajuiiiii. Mmmmmh! Kumbe Marry alishaolewa Kenya na mtu mwinginee, na wamezaa mtoto kabisaaa. Hapo kaacha mume na mtoto anataka kufunga ndoa na mimi. Sasa ndugu ndo wakashangaa wakajua mi najua hayo yote. Mi nikasemaa sijuiiii! Msinitanieeee.
Ilikuwa fiasco kubwa sanaaa. In short nilijitia aibu kubwa sanaa kwa ndugu zangu. Afu ukizingatia kwamba i was ready kuwa nae, kumuoa na kila kitu na isitoshe mkristo mwenzangu na mpentekoste mwenzanguu, mpendaaaa, wa kunyumbaaaa mwenzanguuu. Niliumia sanaaa sanaaaa kufanyiwa hivi na mwana kondoo mwenzangu.
Baada ya issue nzima kumalizika i was just off mood kabisaa, kabisaaa. Sijui hasira sijui nini nikajikuta nimehamishia majeshi kwa toto la Iraq, toto la kimbulu. Nikaanza nalo taratibu kabisaaa. Kulilia timing si mnajua mjini hapa mipango muhimu. Nikaanza kabisa kulionesha kwamba mimi nishajitoa kwenye friensdhip zone. Kwa kustaajabu nae akawa very willing kunipa mambo mwenzenuuu.
Siku ya kwanza kwenda kumuomba mambo nikakuta simba wanachezaa ikashindikanaaa kabisaaa kabisaaa. N kikubwa kilichonitia wazimu ni ile bikraaa. Nikikumbuka tu hilo napata wazimuuu. Na google kabisaa jinsi gani ya kudeal na mtu ambae hajawahi. Umuandae vipi na vipi, najipiga kozi huriaaa.
Siku ya pili was not exactly as i planned uzinduzi utakavokuwaaa. Mpaka dakika za majeruhi sijajua kama uzinduzi utakuwepo au la. Tulienda Coco beach kula mihogo na kupunga upepo. Katika kupunga upepo tukawa tumekaa kwenye giza giza si mnajuaaaa nikamuanziaaa uchokoziiii wa hapa na pale.
Zikaanza romance taratibu nampapasaaa. Najua huyu bikra bwana hii ngoma ya kitoto haikeshiii. Mmmmmhhhh! Mambo yakazidi kunogaaa na kunogaaa zaidiiii. Ufirauni unafanyika pale koko iko siku mtu atagongwa na joka la baharini labda ndo wanadamu watakoma. Hahahaaaa!
Huku na huku mipapaso imepamba motoooo, shabani kichwa wazi kachachamaa ni hatariiiii. Akaja kunikaliaaaa mwenzenuu huyu bikra huyu ananitafuta nini lakiniiii mwenzie kama masiharaaaa. Mara oooh mi navua chupi. Nikamwambia vuaaaa. Akavuaaa kweliiii! Tobaaaaaaaaaaa! Nikawa nawaza nimalize au ni stopisheee nikaumwe ngiriiii. Nikajikuta naamua kumaliziaaa.
Huku na bikra huyoo kafungua zipu ya jeans katoa dusheeee, akachuchumaaa anajipimia mwenyeweeee. Hahahaaaaaaaaaaaa! Khaaaaaaaaaaaa! Nilijikuta in state of dis belief, siaminiii macho yangu nashangaaaa! Hata ku enjoy nilishindwaaa nikabaki nashangaaaa! Ndo hivooo kazi ikawa imekwishaaaa.
Sikuaminiii kabisaaa, kama i was waiting for nothing. Hamu yooote iliniishaaa kabisaaaa nikabakia sina la kusemaaaa. Niseme nini sasa. Ila huyu binti nilikuwa nampenda mpenda afu muda mrefu tu, nikaamua i should let it slide kama vipi. Manake what can i do hata kama hana so what.
Nikaamua kumuita tena for rematch ambayo ilikuwa planned na nilijiandaaa kikamilifuu kwenda kufaidi mambo. Nikiwa sobber kabisaa, kumbuka mi mpendwa sinywi. Binti kaja nikapanga kabisaa i am going to show her the time of her life leo iwe isiweee. Eeeeeh! Mmmmh!
Tumeanza vizuri kabisaaa the usual processs. Kuja kushika huku kwa bibi nikawa sielewi elewiiiiiiiiii, yaani sielewiii. Hata kama wanawake maumbile yanatofautiana sio kwa kiasi hikooo. Nikahisi nimegusaa vibayaaa. Nilihisi kama nilivogusa Antena haipooo kwa bibi. Kugusa tena antenna haipo kweliiii. Mmmmmmmhhhh! Nilisukaa na niliogopaaa sanaa maana siwaza kama inawezekanaa.
Nasikia mambo ya ukeketaji, kukeketana ila sikujua mpaka huku jijini yamefikaaa. Binti mzuri kama yule, afu washangoa antenaaa inakuwaje sasa. Natafakari fasta fasta nile au ninawe jumlaa. Mambo gani tena hayooo. Na mnavojua wakishangoa natenna mambo ni magumu mtu wa hivo kumkojoza ufanye kazi kweli kweli na sio kazi ya kitoto. Nikawa nashangaa sijui nasikitika kwamba kakekektwa, and given my in experience je jukumu zito hivo, nitaliwezaaa?
ITAENDELEA KESHO.