Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Lara vipi tena umekutana na uncle fred au siza?mana sio kwa ukimya huu
 
Duh! Sikuiona hii, ila nimefika na sibanduki, Lara leta mambo tuchague team mapema, hahaha walau na wale team Siza wafute machoz maana bado wana uchungu wa last story[emoji23] [emoji23]
 
bora,mana nilishaanza hisi The man of the people ameghairi nn
 
Nashukuru nipo kwenye list yako kubwa la maadui mama la mama ngoja nianze sasa kuisoma
 
A simple man!

Ikawa sasa ndo maji nishayavulia nguo sina la kusemaaaa, na ndo it is what it is. Ikabidi sasa nifanye maufundiambayo sikujuwa kama ninayo. Ikumbukwe mimi ni mlokole so sina experience za hivo sijui majando au vijiweni, nilitumia tu common sense kupambana na tatizo la global warming ya ghafla nilio ikuta pale.



Ikabidi kwanza mechi ya siku hio niipoteze. Najua hakustuka kama mechi nimeipoteza sababu sidhani kama anajua inakuwaje na sababu bado alikuwa anadhani ni bikra it means labda alifanya kidogooo tu akajua bado ipo. Kwa hio nikajua kabisaa uwezo wake wa mambo sio mkubwa. Na mimi uwezowangu haukuwa mkubwa vile vile ila lena anamjua lena mwenzie.

Baada ya mechi ile, nilikaa nikajitafakari sanaaa, what do i do? Kwanza nikamuonea huruma cause hizi mambo ukutealifanyiwa tu akiwa mdogo. Sio kosa lake, just to alikumbwa na cruel fate. Sasaaaa kumhukumu kwa kosa lawazee wake nako sio haki sanaaa. Kukubali kuendelea nae nayo kazi nzito tena shuruba haswaaa manake mpaka umridhishe mtu wa vile kimbembe sanaaa! Nitawezaaa. Na kwa haaka haraka nilimiona kwakesex itwas more yeye kuniridhisha na siokue enjoy. Mmmh!

Nilipata mawazo makubwaaa, jaka moyo zitooo. Suala kama hilo huwezi hata kumuomba mtu ushauriii maana wanadamu bwanaa hawana siri, unamuomba leo ushauri kesho unakuta katapakaza mji mzima falani kakeketwa, au nae anaenda kumtongoza ajue tu wana ladha gani viumbe wa hivooo.

Na kilichonisikitisha she was so so loving and such a cool soul. Ukiacha hayo mambo yake ya wahenga wake ni mwanamke mtulivuuu, ana jistiri sanaa, hana mambo mengiii kabisaaa, na isitoshe anapika ni balaaa. Si unajua hawa wenzetu wanalelewa kujitayarisha na ndoa. Very wife material.

Kilicho nipa jeuri ni kwamba yule mwana kondoo mwenzangu hajakeketwa sawa ila hajatuliaaa hata kidogooo. We mtu u a mume na mtoto kwa Kenyata huko afu unataka kuja huku kufoulishaa ndoa ingine. Kumuuliza kwanini hujaniambia akasema sikuwa na uhakika kama utanioa. So nikawa nangoja nikipata ubakika ndo niti ue huku. Kwa hio alikuwa analenga huku na huku. Khaaaaaa!

Baada ya kuwaza sanaa na kukosa jibu nikaamua nibaki bila uamuzi, kwa kizungu ni kwamba i reached a decision NOT TO DECIDE. Nikawa nipo nipo. Ikumbukwe mi pombe sinywinimeokoka, nikitoka ofisini ni nyumbaniii, au beach sina ratiba kingana wala nini. Sasa upwekeee ule,nakuwa nakuta kanitumia sms na nini na mimi namjibu.

Na alikuwa hajui kama katahiriwa, nahisi sababu alifanyiwa mdogo sanaa, akawa kajizoea na kuhisi labda wanawake wote wako hivo. Na kwa wanawake maumbile yao yalivo sio rahisi uwaone wanawake wenzio na kugundua ni tofauti na wewe, sababu kiungo chenyewe kiko ndani ndani kweliii. Yaye hakuwa na wasi wasi wowote juu ya maumbile yake kabisaaa.

Huku na huku ikatokea mechi ingine ya kirafiki. Ikumbukwe bado mkataba wa dini inakuqaje na nini ulikuwa bado kikao cha berlin hakijakaa na kuamua itifaki ya kifatwa. Katika hio mechi sikustuka sanaaa maana nilikuwa najua fika kazi nayoenda kuifanya huko sio ya kitoto. Ikabidi kwanza nile nishibeee kabisaaa ndo niendeee.

Sikutaka kwenda na papara za mlevi, taratibuuu. Fundi madish nasaka channels. Nilitumia mda mrefuuuu, kweli kwelikama Dr. Kwa mgonjwa mwenye bima kubwaa sanaa.Na uhakika hakuna mwanaume haswaa hawa wa kizazi cha bongo flevaa, ambae angetumia mda wake kama mimi nilivotumia mdaaa ku search channel! Yani ikawa sasa mimi palesijaenda kuji enyoj, nimeenda kutoa hudumaaa.

Nilimdatishaa sanaaa, tena sanaaa. Kuja kumaliziaaa mtoto kachanganyikiwaaa, kadataaaa. Haskii la muhadhini wala mnadi swala, anataka ndoaaaa. Mi mwenyewe nilikuwa natafuta mke, nikamuuliza utanifata kwenye dini yangu hii ya kikafiri na kukiri Yesu ndo mwokozi wako. Akasema nakubaliiii. Mmeonaaa ndugu wasomajiiii, akasema nakubali, na dini nitabadilishaaa haina shaka kabisaaa. Kwanza mwanamke hana dini.

Nikiwa sasa bado nipo dazzled akasema ana mimba yangu na ni mwezi tu tangu ubusiano uanze. Mimi nikafurahiii, kwanza sikuwa na mtoto hata wa kusingiziwa, wanawake wengine qalikuwa wana nilia tu pesa zangu hawazai chochote, bora na mimi niwe baba jamaniii. Japo hata nikitangulia ghaflaa naacha kizazi changuuu. Kiukweli huyu mzazi mwenzangu namuheshimuu miaka 8000000 kwasababu kitendo cha kunizalia kipindi kile ni cha utuuu sanaa sababu sikuwa na future yoyote kilichofanya anizalie ni upendo tu.

Nikaenda kwao kujitambulisha mimi ndo muharibifuuu wenu, msinielewe vibaya nia ya kuoa ninayo kabisaaa. Naona baba mkwe ananiletea habari za ku slimu nifunge ndoa ya kiislamu. Sasa kutokana na pressure ya wakwe, ugeni, na na uharibifu niliofanya nikajikuta nasema tu sawa nitabadiliahaaa. Nahisi siku hio Yesu mwokozi wangu alitikisa kichwa kwa huzuni, yaani sababu ya mwanamke tu namkana jumla jumla bora hata Petro alimkana mara 3 akajirudi mi ndo natoa ahadi ya kumkana jumla jumla.

Utambulisho ukaishaaa akawa yupo kwao bado. Miezi yote 9 yupo kwao. Alipojifunguaaa ndo akaja sasa kwangu tuishi wote na mtoto. Na ndo nikapata mwanagu wa kwanza wa kike. Yaani mambo yalienda mpera mpera mpaka watu sikuwaambia haswaa wa ofisini.

Mtu anakuja kwangu, bado nanyutiii, anasikia sauti ya kitoto chumbaniii kinalia, ndo sasa naanza kujielezeaaa. Nahisi hawakunielewa kabisaaa. Ila nchi huru so hawakunifatilia sanaaa wala nini. Tukawa tunaishi sasa na mke wangu, mke wa kujipasishia kimya kimya.

Kukweli hakuwa na tatizo lolote na alinipenda sanaaa. Sasa kama mimi nami nilimpenda hilo sina uhakika sanaaa. Ila alikuwa mwepesi kuishi nae. Na ana heshima na nidhamu zoote ambazo. Ke anatakiwa awe nazooo. Na hakuwa n makuu yoyote.

Na mimi sio mkorofi, atleast by then, i swear nilikuwa sijaanza kuchepukaa sijui pesa ya kuchepuka na kumiliki makoloni haikuwepo, nilikuwa a simple man na sio Man of the people kama leo. Baba mkwe tukawa tunaenda fresh nawasaida sanaa kwao. Yani kama nimeoa familia nzima na sikuona issue sanaa cause hata kwetu mi wa kwanzaa so wananitegemea kwa kila kitu. Isitoshesio kama bure kanizalia kabinti kazuriii hatariii, namiliki bastola special kwa mibazazi itayojipendekeza kwa binti yangu. Binti mwenyewe ana nywele za wairaq, rangi ya mtume nae wasomaji mazoea kwa binti yangu sitaki nawatahadharisha mapemaaa.

Pressure to get married na ku slim ikazidiii. Na mke namkumbusha we si ulisema utaokoka kunifata, karuka futi 1000000000 haiwezekani, hapo mimi ni kuslim tu na kumuoa kwenye dini yake. Baba mkwe nae anashikilia jamani mkwe u atusaidia sanaaa, sanaaa, tunashukuru ila sasa fanya u slimuu twende sawa, hii mnavoishi kwa zinaa unatukwaza. Unatupa mtihani tuchague kati ya misaada yako na Mungu kitu ambacho sio kizuri. Sisi tumechagua Mungu, so kama huoi basi acheni kuzini kila mtu afanye maisha yake. Hapo hapo ananipelemba ukislimu itakuwa safi sanaaa. Hahahaaa!

Mi kwa utetezi wangu namwambia mimi sijakataa kuslimu, naomba mnipe mda, niiso e hii dini yenu vizuriii, nielewe quest za mtume Muhamad, na pillars zote za dini hii, after all Mungu ni mmoja, nikashaelewa, kukubaliana na kuwa convised ndo ni slimuu sio ili nioe, nipate mwanamke na kuwafurahisha nyinyi binadamu wenzangu ila iwe nimekubali kwa dhati, moyoni mwangun akuuamini Islam, na pillars zake, nisiwe Muislam wa papa ambae kahama dini yake kufata kipapa cha mwanamke tu, hajui anachoamini wala kuabudu huko ni kumchezea Mungu sijui kama mnanisoma? Nishakubali kuajiri ustaadhi, ananifundisha madrassa private, kidogo kidogo na lugha hio ya kiarabu inanipa shida, ndo tunaelekezana, baadae nitaweza kusoma Quran takatifu, nita relate na mtume, na kwenda nae page kwa page katika mawaidha yake na miongozo who knows naweza kuja kuwa Muislamu bora kuliko nyinyi kwasababu nia ya kujifunza dini yenu nishaiweka ya dhati.

Baba mkwe anakaza unataka mda gani? Sema tukupe miezi mingapi aukama mwaka yaani huo mda u aohitaji wekea ukomo na sisi huo mda tutakupatia pasipo shaka, ila hii ya kuishi hivi hivi unaomba mda usio fahamika ukomo wake itatushinda kwa kweli.

Mi nikawaambia tu, wewe Quran ile ni life time yote ya Mtume, haijaandikwa siku moja au mwaka mmoja. Ni mafunzo ya decade kwa decades. Sasa mtanipangia vipi niwe ni eyaelewa katika kipindi flani. Na dini sio hesabu useme ukishashika formula basi hukosei. Dini ni mafunzo na mtihani wake ni kuyaishi hayo mafunzo, sasa nitajipimaje kwa mda huo. Mimi naisoma hii dini, na nimeweka nia wa kuifata sasa pressure pressure zenu zinanikwaza. Mke wangu nimempenda enough kuiacha imani yangu ya zamani, nimegombana na wazazi wangu ambao ni Mungu wangu wa 2 duniani, just to be with her sasa mnataka kuniburuzaa nikaingie maagano ya kuslim, na kukiri kufata na kutenda nisichokijuaaa ili tu nyie mpate amani mioyoni mwenu, kama huo ndo Uislamu mnaotaka kunifundisha utani shinda. Mimi nitaslimu mwenyewe siku nitakayo jiridhisha nimeelewa na niko tayari kukiri imani yangu hio mpya sio kwa shinikizo lenu ila kwa rehema za Mungu.

The pressure grew day by day, at times nikatamani niende hata masjid ya jirani na kwangu, niwaambie wanislimishe basi tu kuondokana na kero za nyumbani kwangu. Na nilienda siku mpaka pale,nikasema nimekuja ku slimu. Wakanishangaaa! Wakaniuliza unataka kuoa? Inaoesha wana badili dini sababu ya wan awake ni wengi. Nikasema kwa upande mmoja. Basi huyo sheheni mtu safiii, akaniambia nieleze story nzimaaa. Nikamueleza. Akasema Uislamu hausemi hivo na wakwe zako wamekosea ila hawajakosea. Nikashangaa wamekosea ila hawajakosea ndo nini.

Akasema kwa upande wao pia u awawekea ugumu sanaa, maana wanakuwa wanafiki mbele za Mungu, wana swali swala 5, na kutoa sadaka ilhali wamekupa binti yao umfanyie zinaa, umemzalisha mtoto wa zinaa sasa hio inawafanya wawe wanafiki mbele za Mungu. Na Mola hampendi mtu mnafiki, yani misaada yako wanakula na hio misaada iwafanye wakuvumilie zinaa ulioletanyumbani mwao

Na kwa upende mwingine wanakuweka kwenye wakati mgumu kwa kutaka ufanye jambo ambalo ni kubwa kwako kwa haraka sanaa. Fanya ujifunze dini ila jitahidi sio uharakishe ila jitahidi kuelewa mzigo uliopo pande ya wenzio. Na wote mtafanyiwa wepesi na Mola.

Ikawa ukitoka ndani dini, ukisema uwahi nyumbani maongezi ni dini dini kila dakika, nikaanza kuchelewa tu kirudi basi tu kupunguza kero, nikifika saa 4 usiku nikioga na kula saa 5 najitupa usingizini mpaka kesho nawahi kidamka kazini. Weekend nitaenda shamba, nitaenda site, nitaenda hata kwa ndugu zangu basi ti nisikae nyumbani. Nyumba yangu ila nikawa naiona kama adhabu, kama narudi kituo cha polisi ndugu msomaji

Nikiwa katika hii hali ofisini ikatokea trip ya kwenda uganda kikazi. Nilifurahia ile trip hakuna mfanooo. Na ilikuwa training ya ,wezi mzima, nikasema huu mwezi akili yangu itakaa vizuriii, nitapumzika stress za wale viumbe wa nyumbani. Nikamuaga mke wangu vizuri kabisaaa, na nilitoka na roho safiii.

Mpaka mda huo mtoto ana miaka karibia mi 3 na sijawahi ku mcheat hata siku moja. Iwe new cheating au kupasha kiporo na ile michepuko ya zamani. Maana baadhi ya wanaume wanahesabia ninew cheating endapo tu mwanamke ni mpya, ila kama ni goma lake la zamani haihesabikiii. Idadi inabakia pale pale ni kiporo tu kimepashwa, au kusema sio dhambi mpya ni marudioya dhambi uliokwisha hesabiwa. Looooh! Kiboko labisaaa. Mi pande zote nilikuwa bila bilaaa.

Tumefika Nairobi kuna mdada tuko nae bank pale , wale eye candy wa ofisini, ambao CEO macho yako hapo, wakurugenzi nao wanafukuzia hapo hapo, kila mtu mwenye fadha anaona yeye ndo mwenye haki. Wa ukweliiii sio aaaaaahhhhh sio mzahaaa. Na tabia yake ya kugawa gawa uchi tangia mdogo yuko senior position tu, na yuko njema si ana wawezeshaji. Ukiangalia tu ana drive BMW kwa mshahara gani wa bank?

Mi sikushoboka Nairobi hukooo, nikajiweka pembeni, vijana nao wakawa wanafukuzia one night stand ya seminar nao wasuuze tu virungu vyao, maana shuziii la kumiliki goma kama lile hawanaaa miaka 80000000. Watakula tu kwa macho. Sasa mi officer wa kawaida nina mke na mtoto kuanza kuingia vina virefu kama hivo sio rahisi kabisaaa, nikajiweka pembeniiii.

Katika seminar mara embe likaniangukia miguuni. Nikasema sidhaniiiii, sio kweliiiii kabisaaa, ni mawazo mabaya tu haiwezekaniii. Bibie anakaa jirani na mimi kwenye darasa, tukitoka ananiomba twende wote kwenye chai, twende wote lunch, jioni tukazunguke madukani kampala nimsindikize, tukitoka kachoka sanaa tite sehemu anywe bia maana mi sinywi.

Sasa why i agreed siwezi kujua, maybe na mimi nilikiwa na uchuuuu wa low key, toto kama lile hata shoga mwenyewe anaweza ku reconcider kurudi kuwa rijali apige japo show moja tu ya kirafiki. Na mimi low key nilikuwa nawaza kwa mfano, katika tu mfano nikapewa mipajaaa ile lainiiiii niambiwe sasa shamba boy suuza rungu, pamoja na mke na mtoto nitaweza kweliii kuvivuka vishawishiii? Mungu tu anisaidie.

Sasa watu walikuwa wanamsema vibayaaaa sanaa, sanaaa, ana tamaaa, ana chuna sanaaa, ana dharau, ana majibu ya nyodooo, yani ukisikiza story za kumhusu u aweza kujikuta pumbu zimekulegeaaa kabisaa hazina nguvuuu. Mwenywe low key nilijitia tu jasiri nikawa nawaza mda wowote anapata mood swing sijui itakuwaje, ila kidume nimooo, nasarandiaaaa kama kawaidaaa.

Kumzoea nikagundua she was non of the above. Actually she was more sweet kuliko hata watu wengine. So kind, so fun quite opposite na maneno ya watu. Nikajikuta dilema ndo kwanza inazidiiii. And i actually enjoyed her company a lot. Na sijui nilibugi au nilipatia mwanzo kabisaa wakati ananiuliza about me nikamwambia tu i am married with a daughter. Kama ningekuwa sijamwambia before mbona status ya married but available ingenihusuuu moja lwa zote. Au singleand searching ,aana ndo yenyewe ya kujipasishia hata pete sinaaa.

Na alinibana kwenye konaaa siku hizp za mwanzo, na mimi kama pimbi sijui wenzangu itakuwa walinilogaaa maana si bureee, wewe ananiuliza are you committed kwa mkeo, najibu 100% khaaaaa! Du,e zimaaa na korodani zangu? Embu nisaidieni kujishangaaa. Ananiuliza dont you cheat on ypur wife occassionally? Najibu NEVER HAVE, NEVER WILL! Tobaaaaa! Khaaaaa! Bwana luna mtu alikuwa ananihujumu sio mimi siwezi kujihujumu na,na hii kama Bashite kwenda Clouds na mitutu. Kuna mtu aliniuzia mechi sio bure.

Baadae tena baadae hio saanaa ndo akili inanirudi labda alikuwa ananiuliza vile anipeeee kitobo kile nikaze, ayaaaaaaa! Nishajiharibiaaa kabisaaa! Baaas tenaa. Na aliniuliza several times majibu yangu yale yale ya kichoko. Ananiuliza will you ever consider like if some one so special happens. Na nilijibu NEVER. Daaah sio kwa mfungaji kujigeuza refa kujistopisha asifunge kwa kujipa red card. Daaaah!

On the bright side i was proud as me a simple man, nina mke wangu na mwanangu sina makuu. I stood up my committment and nimevishinda vishawishiiii. Hahaaaaaa! Sorry a.ss nigger am i, i know! Nampigia simu wife daily kumsalimia tu. I was a loving husband. Nilikereka na kila kitu kilichokiwa kinaendelea ila never even once i stopped being a loving and responsible husband kwa wife.

Mara yule bibie aka rise the bar, from no where akaniuliza HUNITAMANI? Like huingii mshawasha wa kinipiga miti? Haaaaaaa! Come on! Nikatikisa tu kichwa. Ananiuliza kwa mkazooo, hunitamaniii, tamaniiii, mimi ni mzuri mpaka najiogopaaa. Mpaka baba zangu wadogo, yani wanaume wote kasoro baba yangu mzazi tu cant resist me, lazima yaani ni lazimaaa wananiomba kitobo wafanye show. Wako tayari kutoa chochote nachotaka mimi, kwa gahrama yoyote. Kama mjomba wangu si mzazi yule leo kesho anakomaa nimfikirie. wewe (mimi huyoo shamba boy wenu, mlokole ) hunitamaniii? Mtumeeeeeeeeeee!

Ndo nilivowambia mzuri sikudanganyaaa, wewe CEO ashoboke sehemu ya kawaida kalogwaaa! Haya sasa kumbe baba wadogo na wajomba washatamani na kuingiza vocal! Na huyo baba mzazi ukute tu huenda kafa hajui balaa aliotuachia na kama yupo hai kajikaza tu kisabuni kuona soni kula kuku na mayai yake ameamua tu iwe penalty.

Nikajikaza na kusema i am comitted to my wife. Sio kwamba wife ni mbaya nishawapa sifa zake ila kwenye hii ligi ya UEFA, wife atakuwa ligi ya daraja la 3 Tz huko. No offence ila hali ndo hio. I love my wife and all ila ukweli lazima usemwe utuweke huru. Lile jibu lika mput tu off mood. Na akaendelea na majaribio mengine kadha wa ladha nothing extravagant maneno tu. Nikawa nishajiwekea huyu jeuri yake mdomoni tu.

Watu nao wakaanza kuwangaaa, ooh moto kakuelewa, mtoto kakupendaa, mtoto anataka umpige mitiii huyooo mbona unajifanya mtoto mdogo hujui haya mambo ya mjini. Mpe show show ya kibabeee. Tanua paja hizooo pitisha mchiii huo acha kuzubaa. Chances like these come rarelly in a life time. Tena hivi mzigo wa kuazima unatumia rough roughhh tu. Kwanza anvoonekana antoa ndogo huyu mtoto. We unadhani hao ,a boss wanamuhonga kwa kula mbeleee tu, lazima na ndogo iko lwenye menu. Jisevieee jisevieeee. Kama wa yuda walivokuwa wanamshinikiza Pilato amsulubishe mfalme wa Wayahudiii.

Nikawaambia tu, guys i am vommted to my wige, we live a simple life, we have each other and each other is enough, tuna upendo na amani. Hatuma ma BMW na nini ila tuna utu, upendo ma amani. No thank you. Mimi nanawa nawaachianinyi. Wakaanza kila mamboya mke huku Uganda yanatoka wapi? Kila mtu hapa ana mke na mumewe ila tunapunguzana stress. We Hilda huna mume? Akajibu ninae tena ndoa ya 2. Na hapa niko na Tonny mme wangu wa kazini, una swali we mlokole? Khaaaaa! Akaulizwa Geradi we huna mke? Ninae kanizalia vidume vi 3 na kijike kimoja ila hapa mwezi mzima nana na Miriam, mke wangu wa ofisini, namhudumia, nalipa kodi, gari nimemgea, ujue life is complicated nampenda sanaaa Miri kuliko mke wangu sema tu tatizo ni hatukukutana mapema baaaas. Nimekutana nae tayari yule nishamzalisha mitoto mi 3, nikisema nimuche namuachia nani scrapper ile? Na watoto wa 4 ataenda nao wapi? Ndo hivo niko nao wote na kila mtu anajua mipaka yake. Kama suala la mke usitutishe wake na sie tunao, kinachotakiwa uipige ile kazi show. Usitutanie. Looooooh! Pressure haikiwa ndogo ndugu wasomaji. But i stood my ground.

Wakaanza kunisema vibaya huyu atakuwa shoga low key, mi nawaambiaaa. Committ,ent ga i hio, itakuwa ni shoga afu mkewe ndo anamtunzia siriii, sasa anajua akijitia tu kupiga show na yule mtoto mambo yatakuwa hadharani. Kama sio shoga ni kibamia au hanisi. Lazima ana kasorooo. Haiwezekani. Mtoto anajitupaaa kwale namna ile, toto lenyewe la gharama lile weeeeee, msinitanie huyu ana kasoro lazzima mi nawaambia.

Ikawa siki ya mwisho kabisaa ya seminar, kesho dar, the show is over kila mtu arudi kwenye stress zake. Nikamlwepa yule dada mchana wote nikafanikiwa. Nikawahi room saa 2 niko chumbani sitaki vishawishi. Nikampigia wife, nikaongea na mwanangu fresh fresh, nikasali zangu. Nikawa nimelala.

Nikasikia mlango unagongwa. Nikataka nisifunhue nikasema huenda kina Geradi wanakuja kunichimba kama kweli nimenawa, tutapiga story 2 3 hapa mda ueendeee. Kufungua mtoto huyu hapaaa. Nikashindwa kufunga. Akaingia na kukaa kwenye kiti, mi nikawahi kitandani, ikawa kama kanitegaaa tu, nae akaja kunifata sasa kitandani, namuona nyege level 500%

Ananiambia people are talking lazima una matatizo, mimi nimekuelewa sanaa, sanaa, nimekupendaaa hamna mfano, tupige show hata moja tu bila hivo akili zangu hazitakaa vizuriii. Toka nimekuona kazini kila siku nakutaka sikupata chance ya kukuzoea. Huku kwenyewe nimefanya manuvaaa upangiwe hii safari.

Na nilivokuzoea ndo nimeharibikaa kabisaa. everything i imagined you are more beterr, far better kuliko imagination, haina jinsi itabidi tu tupigane miti. Siwezi kukubali any other way round. People are talking sio committment tu kwa mkeo, huenda ni shoga, nasemajeee, nasemajeeee, nasemaaa hivi hata kama kweli shoga itabidi tu ujitahidi unipe show, hata ukitaka nikuwekee vidole ndo upate steam niko tayariiii, nikatafute midoli niko tayari, yaani umenichanganya vibayaaa, hata sijui kwanini, nipe mamboo hayo. Hata kama kibamia mi sijali nishakutoa shaka tuanze mambo sasa, Kama hanisi kweli basi nishike shike tu nitaridhikaaaa.

Yani naongea maneno yote haya bado tu unanitazama, what the fack is wrong with you for crying out loud, ilitakiwa hata uninyamazishe kati kati si nishasma nakutakaaa usichoelewa nini wewe kaka utanipa uchizi wa nyege mie. Akaanza kuvua nguo zote kabakia uchi wa mnyama na mnyama mwenyewe mamalia. Hahaaaa! She looked even more beautifull kuliko akiwa na nguo.

Mi mwenzenu mlokole, sina mambo ya kihuniii, i have never cheated on my lovely dear wife, inakuwaje sasa, Shetani namna gani tenaa na jaribu kama hili. Nikaomba tu Mungu anipe ujisiri nishinde na hili jaribu tena ushindi wa point 3 sio droo. Akawa kaja ananikumbatia na kunibusu busu, yaani kama shetani ile sema Suu ashasema SUU na tuone huyu mtumishi wako kama atakutiii kweli na hili goma nililo mpaaaa weeeeeeeeeeeeee, si ya kupima hii.

ITAENDELEA KESHO SAA 8 MCHANA
 
Et tatizo la global warming,lara unamaneno khaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahah shetani bwana anambwembwe sana mlokole atajilaumu siku zote aliunawa mzigo siku ya mwisho anaula tena mtamu balaa kweli kamba ukatikia pembamba
 
Hii ngoma si ya kitoto,nasubiria kesho kwa hamu nijue jamaa atachimba au ataishinda dhambi.
 
Back
Top Bottom