Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

inaelekea shetani atamzidi kete
lazima atafune zigo hilo....
 
i wanna finish the story in the morning, today am so tired and bored not by the story, LARA 1, simply by life issues.
 
We lara wewe, na mm mke wangu kakeketwa napata shida saana, yani tangu tumejuana hajawahi kusema leo nna hamu, hanaga stimu kabisa ila antena ipo kidogo naishughulikiaga lakini siku hizi yani na maswaibu ya kijiti sina raha sina amani yani saa zingine hata sipewi.

Kusema kweli kila ulipoandika huyo jamaa anakataa mtoto mkali yani naona story chungu, tena ilipoishia hajaamua ndo kabisaaa
 
Duuh A MAN OF THE PEOPLE, noop huyo siyo mtu wa watu. Anafanya kosa kubwa sana kumkataa mwanamke, tena mwanamke ambaye kila mtu ana wish aje amgegede, anatudhalilisha wanaume. Mpaka nimemkumbuka Walter yule mshkaj wa dodoma, Mjeshi angemnyoosha vizur huyo malkia wa mabos!
 
Lara 1 saa nane imepita mzigo hatuuoni yaani hata lunch haishukii
 
Duuh A MAN OF THE PEOPLE, noop huyo siyo mtu wa watu. Anafanya kosa kubwa sana kumkataa mwanamke, tena mwanamke ambaye kila mtu ana wish aje amgegede, anatudhalilisha wanaume. Mpaka nimemkumbuka Walter yule mshkaj wa dodoma, Mjeshi angemnyoosha vizur huyo malkia wa mabos!
Wakati huo alikuwa anaitwa SIMPLE MAN hajafika bado kuitwa A man of the people,Vuta subira utamkubali huko mbele, ndo utaona jina linavyosadifu yaliyomo
 
Back
Top Bottom