The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
jamani watumishi wa MUNGU tuna majaribu! mlokole mwenzangu hebu mshinde huyo shetani kwa Kukimbia uwe kama yusuph, wakati mwingine zinaa inakimbiwa eti
Ibilisi huyuhuyu aliyeondoka na theluthi ya malaika mbingini. Mlokole mwenzio keshakunja binti wa watu round tano....