Simple man in complex life.
Kiukweli kabisaa kabisaaa, sijui ujasiri nilipata wapi ila sikula mzigooo. Mnaweza msiniamini ila tu sikula. It felt so wrong, so evil, so satanic against my wife, my God, my people, my values, just against evrything i believed in. Nikawa nimekosa mambo. Bibie alilia sio kidogo.
Nahisi ali reconsider ile statement yake yeye ni mzuri mpaka anajiogopa. Akajua kumbe uzuri wake kuna mahala unagotaaaa. Na sio lwamba uvhu sikiwa nao, nilikuwa nao wa kutosha kumrarua rarua ila i was a man of principles. Nikoshasema hapana ni hapana. Na moyoni nilishaamua ni hapana kwa pale.
Some how i was concerned na life after. Mimi ni mtu mwenye wivu sanaaa na kupenda kumiliki wanawake. Yani mwanamke akiwa wangu basi wangu peke yangu. Na kujibana sipendagiii, najiachiaaaa kwa nafasiii na napenda kila mtu ajue yule mwanamke ni wangu. Sasa hii offer ilikuwa nziyo sanaa. Maana niliwaza nikionja afu nikanogewa sasa inakuwaje? Nipangwe folleni na maboss nitaweza kuvumiloa? Hapanaaaa!
Na hata akowaacha vizito wa ofisini, nitaweza kumpa maisha aliozoea. Kumsindikiza Kampala kidogo tu naona ananunua nguo za 300,000 na hanunui moja, anazoaaa. Hajibaniii hajibaniii. Sehemu zote anazotaka kwenda kichwa kinaumaaa . Mwenyewe natokea kijijini mi pressure nataka shamba boy? Thubutuuuuuuu. Nikamnawa tu kiroho safiii.
Mi nilishikilia ti msimamo wangu kwamba i am committed to my wife 100% and thats it. Mwenyewe ananibembelezaaa how will she know? Kwani wewe utamwambiaaaa? Its between us. Namwambia to biblia imesema, whatever you do in the darkness shall come to light. Sawa sitomwambia ila nitamwangaliaje usoniii kwa kuchepukaaa huku. Mimi moyoni nitajua and that is not good.
Ananibembelezaaa, how about me, dont you like me at all? Even a little bit! You want me, naona hapo umesimamisha kwanini unakiwa mgumuuu baby jamaniii? Namwambia i do want you yes, and i want you so much ila committment inanibana. Its too bad hatukujuana mapemaaa. Ila nitawapenda wangapiiii? Nawapenda wengiii ila sadly i can only be committed to one of you. Na tayari nishafanya hio committment na imezaa matunda nina binti tayari.
Ananibembelzaa bembelezaaa na wewe. Na mimi nimeshikilia msimamo kuwa sitoweza kumsaliti my wife. Wanasemaga hata ukioa wake 10, hakuna mke utakaempenda kumthamini kama mkeo wa kwanza. Sijui because you are young so full of life and willing to cross oceans for her, sijuiii. Ila usiku kucha i stood my grounds. She kept hoping and hing sekunde yoyote nitauza mechiii, wapiiiii. Bila bila. Asubuhi alaondoka kwa shingo upande na mimi nikajiandaa kirudi kwangu.
Nikakuta same old shit, same old life, same old talk. Nikawa nimerudi na pale stress nilipoziacha nikatakiwa kuziendelezaaa. Another thing huku mke niliekuwa nae ni form 6, hana analolijua zaidi ya kuzaa na kulea. Sio challenging mkae mpange mipango labdaaa, walaaaa hana mda huo. Yupo kama yupo tu, na kunitegemea mimi asilimia 200.
Our life pattern was similar. Predictable. Hatuna makuu. Ukitoka kazini nyumbani, unakuta kapika, utakula, mtaongea kidogo, na hio kidogo atasema ubadili dini, utashika simu ku peruzzz, mda wa kulala utafika, kama kukupa mambo ndo atakupa, kama siku ya kutopewa mambo hutopewaaa. Mambo yenyewe yale yale kila siku.
Nikahisi sababu nilimuoa mdogo hakutesekaa kuipata ndoa ndo maana she took me for granted. Wale wenzetu waliostuka mapema wakaoa watu wazima wanafaidi sanaaa maisha maana watu wazima wanajua thamani ya mume. Ashakutana na mi boloyanki, cyborg imemchezesha kwata za kitosha na kumrusha kichurachura akija sasa kutupata sisi watu tunaojua tha,ani ya mke, you can see wana appreciate, wana linda mali zao kwa gharama yoyote. Mume wamemsoteaaa miaka kibaooo, hawataki kumpotezaa hivi hivi.
Sasa hawa wadogo, kwanza wanakazia mimi bado mdogo. Sasa unawaza nishakuzalisha dada huo udogo wa umri utakusaidoa nini wakati diameter za papuchi zinasomaaa hatari. Na huyo mtoto utaenda kwa bazazi gani kwa mfanooo ataekubali mzigo wa kulea mtoto wa mwanaume mwenzie? Badala uni pete pet nisikuache unajitia kunitunishia misuli hayaaa. Hawajui mwanaume hazeeki, na mwanaume hazaiii, nikana mtoto si wangu huna pa kunishikia ni wangu. Ooooooh! Na mwanaume hata nizae watoto 10 sikosi mke wa kumuoa.
Basi unajikuta unakaa, unaona mke anavojionaa kumuweka ndani ndo kafikaaa kafikaa dubai kabisaaa, na wewe uliemuweka ndani bwege tena bwelegejeee. With time anaanza kupanda vyeo, ana ni challange authority yangu. Tunaweza kuongea vitu vyetu anaingiza baba kasema. Khaaaaa! Bora nyie wanaume wenzangu ambao baba mkwe wenu wanawaweka mjini labda wamewapa majumba mkae, mimi baba mkwe jina tu, simtegemei kwa chochote afu anataka kunipanda kichwani na bintie. Nikasema siku zenu zinahesabika wewe na baba yako. Nitafanya kitu kuwafurahisheni wewe na baba yako.
Tumerudi Uganda ofisini mambo yakawa kama kawaida. Sodoma na gomora kama kawaiada, watu kutoka na waume za watu na wake za watu kama japengaaaa. Walaaa hawastukiii wala kutishikiaaaaa. Yaaani ndo maana mu eo akiwa ana fanya ofisini jua lazima pamoja na michepuko mingine ofisini napo junguu kuu la michepuko.
Binti akawa bado anataka relationship na mimi. Tumerudi route za ofisini kwangu hazikauki. Mitoko baada ya kazi nayo napata mialiko ya kutoshaa sanaaa. And the problem was she was my friend. Tuna mambo mengi tunaongea ukiacha kuniomba nimpige show, mambo ya kimaisha tu. Hata hapo kazini. She was nice, na ni mtu unafurahia company yake.
Siku ya siku nikaitwa chember squad ma wanangu. Wakaniuliza tunasikia bwana ulivoenda Ug ulipakua mzigooo wa CEO, ulitumia kinga lakini? Nikasema aaaaah jamani taratibuuuu wazee baba, sawa nilipewa mzigo nile, ila nikasusaaa. Si mnanijua mimi sio wa kuchepukaaa chepukaaaa, niko committed. Kindoa chenyewe hata 5 years hakina noanze kuzurura mwanangu mnadhani itakuwajeee hapo.
Wakanikaziaaa we mzigooo ulikulaaa unatusebenza tu. Manake za kunyapia nyapia zinasema mzigo ulilala room yako, ukaonekana asubuhi unatokaa ukiwaaa umechoka nyangaaa nyangaaaaa. Sasa unataka kutuambia usiku kucha mlikiwa mnachezaa mdako au makida? Sisi hatukuhukumu kamamumekulaaa wala sio shemeji zako tuseme tuna uchungu mkeo dada yetu. Sisi wanao tinachouliza kinga ulitumiaaaa?
Mi najiapiza miungu yoote kwamba mimi mzigooo sijagusaa ule, nazushiwa tu, kweli ningegusa hata kuunawa sijaunawaaa, ningesemaaa. Sio poaaa mjue kusema mzigo nimeula wakati sijaulaaa mjueeee, sio poaaa kabisaaaa. Nawamind kichiziii mnavokomaaa mzigo nimeulaaa na wakati nilijikaza na kila joint ya mwili ili tu niunawe na kitokuula.
Wakakomaaa anyway kama hujala basi kheriiiii, maana za kunyapia nyapia ni kwamba hii ngoma ina UKIMWI. Yaani AIDS na HIV na inakunywa dozi. Sio habari za kusikia ni za uhakikaaa kabisaaa zimethibitishaa na TBS. Daaaaaaaahhhhh! Hapo ndo nilipojua kiwa Mungu yupo. Daaaah! Nusraa nusraaa alamanusraaa niingie kingi. Kama sio Mungu kunipigani sijuiii. Ila nikawaza isijekuwa majungu ya ofisini tuuuu kwanza wao wamejuajeee.
Nikawakaba mmejuaje kama ana ngoma? Isijekuwa mmeona nimepata zali mnataka tu kuniwangia na kunitilia uchawi ili mradi tu nisifaidiii. Mmejuaje tuanzie hapo. Wakadai tulijua tu utabishaaaa. Tulijuaaaa utabishaaaaa. Kwa uchu wa maku ulio nao hatutoshangaa ukimla hivo hivo na maukimwi yake.iko hivi.
Huyo Sara alikiwa kule kwa kaisi, na unajua Kaisi tumemzika kwa gonjwa gani. Gonjwa kubwa. Aliugua mda mrefuuu na alikuwa antumia dozi, sasa huyu Sara ndo aliletwa bank na Kaisi na lilikuwa goma lake la mda wote. Kaisi kufariki ndo akabaki Sara. Tuseme wa kaisi ulimkosa, katembea na CEO ambae nae anakunywa dawa mda mrefuuuu. Acha yule boss wa PPF anaetembea nae ambae nae anakinywa doziii.
Sarah mwenyewe anakunywa dose huyu. Dawa anachukulia Muhimbili. Kama huamini siki ya dose kabanishe Muhimbili utamuoana anachukia dose. Tena wanachukua dose wote Kwiyando, na yule si unajua mgonjwa wa kitambooo. Sasa kama wewe kidume, kubali upate gonjwa kubwa kwa kue dekeza umalaya usio na mpanho. Nilichokaaa ndugu msomajiii nilichokaaaaa.
Zile taarifa zilininyongonyezaa sanaaaa. Na kunifanya nirudi upyaa kwa my wife na kituliza kipapa. Nikawa nawahi kurudi mapemaa niko ndani ya nyumba. Umalaya ushanishindaaa kabisaaa nawaachia wengine kwanza sina bahati nao. Goma la kwanza kutaka kuchepuka nalo ndo HIV zeee, mpaka CD4 zimeshukaaa ama kweli hii fani ya umaluuni sio fani yangu. Nawaachia wenzangu.
Bibie nikawa tu namkwepaaa nae akajua namkwepaaa. Hakukata tamaaa. Akaniambia umebadilika siku hizi sanaa, kama kuna kitu kimekukaba roho huniambiii. Mimi nazugaaa hakunaaa kitu niko busy tu. Anakomaa kuna kitu mi najuaaa si uniulize tu nikwambie. Moyoni nawaza utaniambia ukweli una ngomaa uchekwe thubutuuuuuu! Si utazusha tu kuwa unasingiziwa.
Akazidisha upendo na ukarimuuu mpaka ikawa sasa aibu naona mimi. Siku ya birthday yangu nakuja ofisini nakuta maua, keki, zawadi, yaaani alinijali sio kidogo mpaka nikajisikia siku hio ni special. Narudi home jakuna shamra shamra zoozte zaidi na zaidi kumepikwa ugali na samaki just a nomal day. Nikamwambia wife leo birthday yangu, akaniuliza so? Nikazuga nimekuutaarifu tu. Wakati huko ofisini. Shangwe lake halikuwa la kitoto. Binti alichanika msambaaa bank account kufanya shughuli ifaneee. Nikawa kama nimeenza kumpenda penda na ukimwi wake. Nyie wasomaji nyieee acheni tu.
Akanipa zawadi ya simu kali sanaa. Kabla ya hapo sikuwa nimewahi kuhongwa hata sodaaa, kwanza sipendi kuhongwaaa, hata mwanamke akitaka kunipa kitu nakataaaa. Tabia gani ya mwanaume kuchuna wanawake. Mda mwingine unakuta huyo mwanamke kapaukaaa, kapaukaaa kuliko hata nini sijui ila bado unamkungutaaaa. Siepndi kuwaonea wanawake sipendiiii.
Sasa huyu it was different. She was my friend, twende mbele turudi nyuma hio simu nilikuwa naitaka akhaaaaaa. Nikawa naitumiaaa tu. Na urafiki ukazidi kunogaaa. Siku ya siku nikaamua tu nimfungie kazi kumuuliza kwa umakini mkibwa kwamba mbona watu sio mimi wanasema eti u eathirika na UKIMWI? Akasema ni KWELI! Nikashtukaaa sanaaa afu nikachukia kumbe anajijua afu alitaka kuniuaaaa. Nili mind sio kidogooo. Nikaamua kumwambia kwa hio ulitaka kuniua si ndio kwa makusudi? Yaani ukawa ugomvi mkubwaaa, na urafikia ukafa.
Baada ya tukio hilo ia was so harsh on her, weeeeeeee si kwa jaribio la kuniuaaaa kiholela holelaaa. Basi anatuma sms zisizo na idadi kujielezea haikuwa kusudiiii, gor once she wated to be happh, sababu hazimuishiii. Humo humo sorry kibaooo. Mi meseji sijibu, nika mblock na kumblack list. Tukikutana njiani akinisalimia sijibuuu, napita kavuuuui.
Akawa anawewesekaaa akiniona nimeenda finance, nikitoka anaenda kuuliza nahitaji nini, atahangaika mpaka anisaidie. Hasira zilivoisha nikaona kama i over reacted and i treated her a bit too hursh, nimeenda extreme katika ku mind. Nae ananiogopa tayariii. It was too late. Nikawa nasoma tu sms. Zake za utetezi kwamba its sos hard kuishi na HIV. Na mambo kama hayooo.
Na yeye alipanga aje aolewe awe na familia, lakini sasa haweziiii, maybe akimpata mtu wa hali kama yake. Sometimes nae kama binadamu she found me, she liked me, she wanted to be normal even for a week just to be with me, na kweli alikosea sanaaa, it was dangerous na angeweza kuniuwaaa. It was stupid of her ananiomba nimsamehe.
Hizi sms zake zikazidi kunilainishaaaa. Nikaanza sasa kumuonea huruma na kujiweka kwenye viatu vyake na kuona kweli ni kazi pevuuuu. Nikawa napanga kumwambia nimemsamehe na we are cool. Kila nikimuona nakuta tu namfanyia ukauzu, nasema nitamwambia keshooo. Tangu nimsamehe zikapita week 2 bado sijamtaarifu nikapata barua natakiwa kwenda Mbeya kufungua branch mpya. Tunaenda wawili 2 mimi na yule bibi dada.
Nikamuaga mke wangu vizuriii, ananisomea maduaaa niende salama na kurudiii salama mumewe, moyoni namwambia bora mke wangu maana naenda mdomoni mwa simbaaa. Njiani nikaanza kumsemesha kawaida tu ila yale mazoea hakunaaa kabisaaa. Tunaongea vitu vya kawaiada tu. Kufika Mbeya tukachukua hotel vyumba viwili, kila mtu na chumba chake. Jioni akaja kugonga twende tukale. Tukaenda.
Ndani ya siku 3 yale mazoea yakawa yamerudi na zaidi ya pale tulipoachiaaa. Akawa kaja kushi chumbani kwangu, anajiachia kabisaa, anadai najua huwezi kunifanya kitu, mimi si na ukimwi bwana. Huwezi kupata ukimwi kwa kuniangaliaaaa. Mpo hapo wasomaji? Eti UKIMWI unaambukizwa kwa kumuangalia mtu? Mi namuacha tu anipime imani, si kaamua mi nitafanyaje sasa.
Anakuja anaoga, anakuja bila taulo anajipaka mafuta, anavaa bikini anakuja kulala hapo jirani na mimi. Na asubuhi ratiba ni hio hio. Nikasema sasa hili balaaa. Siku ya kwanza imepita salamaa salmini, japo sikulaaa usiku kucha, najiambia UKIMWIIII man of people, U K I M W I. Tulia hivo hivo kukakucha. Siku ya pili nikaanza kuwaza kwanza kuna magonjwa makubwa duniani kuliko HIV, kuna Cancer, Sugar, Leukemia, BP. Kwanza bora hata ya huo UKIMWI. Ukiandikiwa kufa mapemaaa utakufaa tu, na kama wa kuzeeka utazeeka tu.
Day 2, tukawa tuko na ratiba yangu ya kula kwa macho, wife kapiga simu, naongea nae, basi na huyu huku ananifanyia kusudiii kabisaaa mara achuchumae afute viatu, mpapa kautanuaa kabisaa kunielekezeaaa, naona kabisaa mishavuuu! Haaaaaaa! Nazungumza na wife sieleweki naongea nini, kuhusu nini, mpaka akaniuliza mzima kweli wewe? Nikasema mimi na usingizi mwenzio, kesho tutaongeaaa. Day 2 nikawa na google picha za wagonjwa wa UKIMWI wale ule wa zamani zinanipiga radi mpaka kukakuchaaa.
Day 3 ndo ikawa ya mwishooo kesho yake kurudi Dar. Nawaza hivi huyu mwanamke nisipomla si ataniona shogaaa. Mitego yote ileee. Au nina ushoga kweli ndani yangu bado sijaugunduaaa. Kama vipi namlaaa ila navaaa condom 2. Baadae nastuka hivi nawaza upumbavuuu gani? Mchana baba mkwe akanipigia simu ya kunitibuuu sanaaa, sanaaaa. Jioni nimefika wife ananiuliza uliongea na baba? Nae akanitibuaaa zaidiiii.
Nikiwa off mood toto likawa limerudi, likanikuta nimejilaza na boxer, na ndo utaratibu wangu wa kujilaza na boxer siku zote hizo. Akavua nguo ananidolishia akaingia kuogaa. Moyoni nasema leo ndo 40 zako. Nikaenda kucheki zile condom 2 nilizopanga kuvaaa maana nilie da kununua kabisaa nikakumbuka nilizisahau dukani, maana mkwe ndo alipiga simu palee. Nikasematu shiiit! Faaaaaacccck! Come on! Mother facker! Akatoka bafuni na povu anatelezaa kabisaa, nini jamanii? Kuna nini huku? Mbona una curse non stop? Nikamwambia kuna kitu changu nimesahau dukani. Akasema relax tutakifata kesho.
Nikaingia kwenye shuka nimefunga macho lengo nilale one way, maana condom zishanihujumuuu wazi wazi. Nili mindddd! Namsikia katoka kuoga, macho nimefunga hivo hivo na kugeukia ukutaniii ndugu msomaji sikutaka kabisaa kujiumizaa. Baadae namsikia kaingia kwenye shukaaa, anaanza kujisemseha menenepa mie, chupi zinanikataaa. Moyo ukafanya paaah! Ina maana kapanda bila chupiii?
Nikazidi kufunga macho kwa nguvu. Basi ananinongonezaa naomba nikushike shike baba kidogo kama siku ile ya Ug, kidogo tu! Haaaaaaaa! Hatufanyi kituuuu, nakushikaaa tu. Nikaaa tu kimya sasa najibu nini kwa mfanoo? Akaanza kunishikaa kweli, kanikumbatiaa, alafu wa baridii na nahisi kabisaa hana chupi mwiliniii, aisee, kila akinishika nahisi kama napigwa radiiiii. Nikasema UKIMWI baba utanisamehekwa leo naingia kwenye kumi na 8 zako kavu kavu.
Nikamdakaaa, na kumbinuuuaa, nahisiii hakutegemaa kama leo kiama chake ndo kimefikaaa. Nikaanza kumpa mambo kwanzaaa. Sasa mkumbuke wife no atenna, huyu antenna ipo afu nimejia na speed ya wife akaanza kuliaaa. Namuuliza kuna tatizo anasema hakunaaa endeleaaa. Sasa unacholia nini? Hamnaaa hamnaaa. Nikakanyagia ringi kwa mgonjwaaa. Lengo ilikuwa nipige kimoja tu. Dada fundiiii yaani ni fundiiii anajua kummiliki mwanaume nikajikuta zinakuwa round 5. Mpaka cha asubuhii jinsi nilivodataaaa.
ITAENDELEA KESHO SAA 4 USIKU.