Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Wapi God father
 
Naona tumepishana kabila tu hahahha .... Pasi vipi
 

Man of the people ukijijaza ana kumwaga maji haijalishi una rangi gani au umepigwa pasi. Muuliza volunteer wa ofisini kwao Nairobi kilicho mkuta. Mwanaume sio baba yako, as long as hamna undugu ukimuonyesha dalili ya kumpa anasahau sifa anazopenda
 
Hahaa em tuacheni team roho mbaya jamani

Halafu wewe ndio utakuwa target yake ya kwanza japo na hizo dua zako za tezi dume. There is a thin line between hate and love, you hate him in a good way.

Mkuu MOTP najua unasoma nakupa heads up anza na huyu itakuwa rahisi sana kubadilisha chuki hii kuwa upendo, hahahaaaaaa
 
Team roho mbaya mna mchukia sababu he is "too good" for his first wife. Kama angekuwa a good for nothing kind of a person wala msingekuwa na time naye na kumuombea mabaya sababu mke wake wa kwanza angekuwa Hana cha kupoteza. Usoni mnamchukia moyoni mna mtaman. Mind the words in quotes caz that's what make u envy this dude kimyakimya. Don't hate the player hate the game [emoji1][emoji1550]
 
Khaaa not to that extent bana

It's not like we hate him, but tunawish apatwe kidogo ili aache umaaluni wake atulie na mkewe. Kuna mke anayependa kumshare mumewe, au baba watoto wako akuache wewe then akaoe kwingine na kuishi happily ever after? Of coz we loved him alivyokuwa ametulia na his 1st wife, ile misimamo yake ya mwanzoni unaishia kusema "I wish". Ila sio kwa ufedhuli wake wa sasa hivi
 

A2G I must admit ulipotokea sikujui ila kwa tunavoendaaa, wewe ni MAN OF THE PEOPLE DAMU DAMUUUU. Na sitaki kuamini wanaume mme stick together with man of the people kimya kimyaaa. Maana siwaoni mkisema lolote juu ya ufirauni wa huyu MOTP. Nina uhakika mna mpa support ya nguvu kimya kimya
 
Haha au wewe ndo MOTP?
 
Haha si unawajua hawa kuchepuka ni nature yao. So lazima wamsupport mwenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…