Weekend Story! The Man of the People love triangle!


Man of the people hali wake za watu kabisaaaaa
 
Ila Lara 1 sema ukweli MOTP hajaweka kweli hajaweka kweli hata kibabe hajaweka tu,
atakuwa kakuweka kipolo ila hala hala kwa CV hiyo ya MOTP lazima kuna kipindi huwa unatamani akupige na mjeredi wake

Hahahaaaaa! Embu niache mimi usitake niseme mengiii
 
Hahahaaaaa! Embu niache mimi usitake niseme mengiii
Mkuu kwa heshima yako humu Jukwaani unadhani napenda useme mengi?... Thubutuuu najua utayaweka kwenye huu mtanange wa mzee wa kufaidi totoz classic.
Mwenyewe tu namuonea wivu japo namjua kupitia maandishi tu.
 
binti kiziwi umeongea point sana, tatizo hata hao team roho mbaya wanamsumbua kungwi PM wanataka namba ya MOTP, mbaya zaidi kuna wanawake nao wamejitokeza kuwa upande wake.
Me namkubali sana tu kuhudumia familia anahudumia fresh tatizo kazidisha ubazazi,wanaume tunajua mnatamani sana hilo hatukatai sasa ndo kila pichu inayopita mbele yako unataka kuivua?atulie na wakeze wawili akitaka aongeze na wizara ya mambo ya nje 1 iwe ya kidumu ila kwa haya anayoyafanya lara 1 hebu mpe hata mke wa mtu awekewe tego basi nifurahi kidogo
 
Kwa utambuzi wake wa chama chetu cha chaputa kwa nini asipate credit zetu !kadumisha nguzo muhimu ya chama hata ukistaafu siku moja moja sio mbaya. Pili jamaa pamoja na udhaifu wake ila ana upendo wa dhati kwa familia zake nipo pamoja nae hata avurunde vipi.
 
Leo tunaweza kulala bila bila, man of the people kaenda kwa Mercy, alafu file la asubuhi na jioni ya leo kaondoka bila ku download. Sasa muwe wavumilivu mpaka Jtatu au akipata wasaa wa kuniendelezea hii story nitawapeni.

Na sidhani kama ataendelea story akiwa nyumbani kwa Mercy maana Mercy akilinasa hili file la KGB Man of the people amekwishaaa. Tungoje Jtatu akiwa Nairobi akanipa nitawapeni muendelezo. Au akipita humu akatafuta namna ya kuleta muendelezo,

Au nikiipata OG file alilonisimulia mwanzooo kuhusuu kazi ya leo, si mnajua man of the people kila episode ana kazi mpya.

Mkiona inafika saa 4 na nusu bila bila mjue jtatu hio.
 
Dah Lara1 kashaanza maringo. Unatafuta sababu ya kukatisha story.
 
Ila hii weekend itakua ndefu sana[emoji17] [emoji17]
 
Sawa, umeeleweka japo ndo hivyo kishingo upande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…