The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Usikute bikra ya tigo hana .... Haloooo
Mh! Hizi roho mbaya international, pamoja na kumuombea tezi dume, busha, ngiri na degedege bado mnatamani asimiliki na marinda? Hahahaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute bikra ya tigo hana .... Haloooo
Na umalaya wake at LST anahudumia mana kuna wenginealaya wakopaji na hajatelekeza ffamilia lkn kibaya zaidi in MTU anaependwa na wadada laribia wrote wamemtaka wenyewe hao ndio mtihani unapoanzia coz hajui kukataa kabisaaa ninachomshangaaa anajifanya hataki kumla dem huku analala nae chumba kimoja. Yani huyu had I aache uzinzi afumaniwe na make was MTU na wamle Tigo.
Ooh mambo gani tena haya mkuu, wengine ndio wagonjwa na hiyo ndio dawa zetu bhana
Ila Lara 1 sema ukweli MOTP hajaweka kweli hajaweka kweli hata kibabe hajaweka tu,Man of the people hali wake za watu kabisaaaaa
Ila Lara 1 sema ukweli MOTP hajaweka kweli hajaweka kweli hata kibabe hajaweka tu,
atakuwa kakuweka kipolo ila hala hala kwa CV hiyo ya MOTP lazima kuna kipindi huwa unatamani akupige na mjeredi wake
Mkuu kwa heshima yako humu Jukwaani unadhani napenda useme mengi?... Thubutuuu najua utayaweka kwenye huu mtanange wa mzee wa kufaidi totoz classic.Hahahaaaaa! Embu niache mimi usitake niseme mengiii
[emoji23] [emoji23] umenifurahisha sana ila watu mna roho mbaya kwakweli si kwa maombi hayanaomba atokee wakufanya icho kidudu kisisimame mnfyuu zake
Yaani ninavyotamani atembee na mke wa mtu then awekewe tego,basi tu[emoji23] [emoji23]MOTP popote ulipo, kaa mbali na wake za watu tafadhali
Nakuona unavyojitahidi kumtetea mwenzio...kama anatongozwa si akatae?[emoji2] [emoji2] [emoji2] hawalazimishi wanajitongozesha wenyewe afanyeje jamaa na ile sio ufutio kwamba utakwisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usikute bikra ya tigo hana .... Haloooo
Me namkubali sana tu kuhudumia familia anahudumia fresh tatizo kazidisha ubazazi,wanaume tunajua mnatamani sana hilo hatukatai sasa ndo kila pichu inayopita mbele yako unataka kuivua?atulie na wakeze wawili akitaka aongeze na wizara ya mambo ya nje 1 iwe ya kidumu ila kwa haya anayoyafanya lara 1 hebu mpe hata mke wa mtu awekewe tego basi nifurahi kidogobinti kiziwi umeongea point sana, tatizo hata hao team roho mbaya wanamsumbua kungwi PM wanataka namba ya MOTP, mbaya zaidi kuna wanawake nao wamejitokeza kuwa upande wake.
Dah Lara1 kashaanza maringo. Unatafuta sababu ya kukatisha story.Leo tunaweza kulala bila bila, man of the people kaenda kwa Mercy, alafu file la asubuhi na jioni ya leo kaondoka bila ku download. Sasa muwe wavumilivu mpaka Jtatu au akipata wasaa wa kuniendelezea hii story nitawapeni.
Na sidhani kama ataendelea story akiwa nyumbani kwa Mercy maana Mercy akilinasa hili file la KGB Man of the people amekwishaaa. Tungoje Jtatu akiwa Nairobi akanipa nitawapeni muendelezo. Au akipita humu akatafuta namna ya kuleta muendelezo,
Au nikiipata OG file alilonisimulia mwanzooo kuhusuu kazi ya leo, si mnajua man of the people kila episode ana kazi mpya.
Mkiona inafika saa 4 na nusu bila bila mjue jtatu hio.
Ila hii weekend itakua ndefu sana[emoji17] [emoji17]Leo tunaweza kulala bila bila, man of the people kaenda kwa Mercy, alafu file la asubuhi na jioni ya leo kaondoka bila ku download. Sasa muwe wavumilivu mpaka Jtatu au akipata wasaa wa kuniendelezea hii story nitawapeni.
Na sidhani kama ataendelea story akiwa nyumbani kwa Mercy maana Mercy akilinasa hili file la KGB Man of the people amekwishaaa. Tungoje Jtatu akiwa Nairobi akanipa nitawapeni muendelezo. Au akipita humu akatafuta namna ya kuleta muendelezo,
Au nikiipata OG file alilonisimulia mwanzooo kuhusuu kazi ya leo, si mnajua man of the people kila episode ana kazi mpya.
Mkiona inafika saa 4 na nusu bila bila mjue jtatu hio.
Sawa, umeeleweka japo ndo hivyo kishingo upandeLeo tunaweza kulala bila bila, man of the people kaenda kwa Mercy, alafu file la asubuhi na jioni ya leo kaondoka bila ku download. Sasa muwe wavumilivu mpaka Jtatu au akipata wasaa wa kuniendelezea hii story nitawapeni.