Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Unaushauri mzuri kweli. Hongera sana.

Ila wanaume tunapenda vitu adimu. Chukulia MOPT mwenyewe sio saint kusema asione utamu wa nyuma ya pazia la warembo wanaojigonga.

Muhimu kujiepeusha na maradhi. Sio jamaa anajua huyu malaika mwathirika then anaenda kavu. Jamaa namfikiria aliwaza nini wakati yu karibu na mstari wa kifo?
Cha muhimu ni kujiepusha na maradhi eeh!!! Haya hongereni. Hivi nani hapendi vitu vizuri?
 
Mfano hapo Mercy ana kosa gani mbona hadi mume anakiri kwamba yuko vizuri kila sekta? HuyuMOTP ni tabia yake tu,.. We kisa Mwanamke anakuangalia sn ndo umnunulie soda? Kifupi anapenda attention akiipata anajifanya staki nataka
Hata mimi nimejaribu kuangalia kosa la mercy sijaliona,tamaa ya papuchi ndo imemkolea
 
Mtu alishuhudia wakila dagaa na mama yao kila siku huku nyumba ndogo inajengewa na kununuliwa usafiri!! Hivi unadhani atatamani kuolewa huyo!! Ili agundue nini!!

Sasa wewe upo kundi gani? Unapongeza kuchepuka au unapondea? Kwa upande mwingine naona kabisaaaa unazisifia benefits na fringes za michepuko huku unamuombea mabaya MOTP.. lara 1 nafasi zikitokea we usijivunge kumbe kuna watu wanakuonea wivu tu! Ila mshauri huyo maluni wako guberi MOTP aangalie maradhi.
 
Kwani we uliuliza nini na ambacho haujaelewa nini? Nimekujibu kulingana na post yako.
 
Mmesahau alimcheat na mbabu mwanzoni kabisa na ndie chanzo cha jamaa kufungua zip mwanzo mwisho[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ali cheat na yeye akasema they were even sema ubazazi kazoea...mercy alitoka na mzava baada ya kuona hana dalili ya kuolewa na MOTP,ila baada ya kuolewa mercy ali cheat na nan??
 
ooh my dear, ndio naiona leo sijui kuzeeka mambo mengi mpaka jukwaa nalisahau
miss u though kubwa la maadui
 
Unaushauri mzuri kweli. Hongera sana.

Ila wanaume tunapenda vitu adimu. Chukulia MOPT mwenyewe sio saint kusema asione utamu wa nyuma ya pazia la warembo wanaojigonga.

Muhimu kujiepeusha na maradhi. Sio jamaa anajua huyu malaika mwathirika then anaenda kavu. Jamaa namfikiria aliwaza nini wakati yu karibu na mstari wa kifo?
Mmh nimeshindwa kushangaa
 
Mmesahau alimcheat na mbabu mwanzoni kabisa na ndie chanzo cha jamaa kufungua zip mwanzo mwisho[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hakumcheat alitaka ndoa na kwa babu alikuwa na uhakika wa kuipata ndo ujue hakuna asietaka ndoa, kila mchepuko nao utataka kupanda cheo kama Mercy alivompindua mwenzie bila kuwaza yeye si malaika,... Kama MOTP kamuacha mwenzie kwa ajili yake nae ataachwa tu jili ya mwengine hizi zingine laana za kujitaftia tu
 
Baelezeee baelezeeee
 
Mama usiseme hivyo!! Unadhani mashoga wateja wao kina nani? Wengi ni waume za watu, wenyewe si wansemaga! Yaani hawa viumbe ni kama kulinda bahari tu ukilinda huku wenzio wanavua kuleeee. Ni wao wajitambue, kujithamini na kujiwekea mipaka.
na mi ndo nachosema hawa bnadam ni waamue kujiheshimu wenyewe
acha mashoga sasa,wengine unakuta bize kakamatia kuku ama bata
mke kamuacha ndani
 
Back
Top Bottom