The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Tupo kwenye kizazi na nyakati za hatari mno, pale ambapo wasio cheat wanaonekana kama vile wana kasoro au kuna mambo hayapo sawa. Ndoa sio za kikristo wala kiislam kuvunjika ni jambo la kawaida sana...
Uadilifu umegeuka bidhaa adimu mnoo. Kuna haja ya kujitafakari ni wapi tumekosea
Uadilifu umegeuka bidhaa adimu mnoo. Kuna haja ya kujitafakari ni wapi tumekosea