Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Si ndio maana akina motp wapo kila kona, tumewazoesha kuwa cha msingi ni tule,tuvae na tuishi pazuri baaaasi. Sasa unategemea nini? Tutegemee tu kufanyia maombi mapepo hewa huku bwana shetani yuko beach anakunywa tu juice taratiiiibu!
Haha mbona bwana shetani anakunywa juice beach

Sisi victims ndo tushakubaliana na hiyo hali, waache tu watuchepukie
 
Ndo haya nayosema tunaentertain wanaume Kuchepuka as a result mabinti zetu wanakua wakiamini hayo maisha ya uchepukaji ni lazima, so wavumilie tu. It hurtssss

Ngoja nimalizie kulia kidogo[emoji27] [emoji27]
Kuna dada baba yake alikuwaga malaya mbwa, kazaa kila mtaa hadi na house girl wao. Binti alimchukia baba yake na akaona wanaume wote ndio hivyo hivyo. Yaani kaolewa mumewe anakiona cha moto. Yaani hajaliiiiiii, hadi mume huwa anahisi hapendwi full kujistukia.

Waache wajitoe ufahamu tu, wanalalamika ndoa siku hizi sijui zimekuaje, wanasahau chanzo ni wao hivyo watoto wamejifunza kwao, baba anaacha hata mara 6 na kuoa tena, unadhani unamfunza nini mtoto!! Hawezi kuja kuona thamani ya ndoa huyo wala familia. Si umeona motp kaadmit kuwakarithi kutoka kwa baba nae hakuiona thamani ya familia kwahiyo ategemee the same kwa wanae, unless Mungu aingilie kati.
 
Umeshaanza sasa kutema madini yako.
Hizi ndoa ndoano zetu Zinawaathiri zaidi watoto wetu. Mwisho wa siku wanahisi yale maisha waliyoyashuhudia kwa wazazi wao ndo maisha sahihi. Ukutane na mtu wa hivi sasa, utasurrender mwenyewe na moyo mashine yako
 
Sasa popote mbinguni na duniani Mercy ndio anajulikana mke wa MOTP. Wengine watajitahidi tu kula good time kwa kitambo ila mwenye hati miliki ni mke. Kauli ya MOTP kwamba anampenda na kumheshimu mkewe ni pumba kabisa, unasemaje unamheshimu mkeo huku dudu unaigawa nje kiholela?
Hapo ndo na mimi nikashindwa kumuelewa,sasa hivi anasingizia ana pepo...hivi najiulza tu kwa mercy alikosa nini?yule ya kwanza alisema dini tofauti tukamuelewa na kwa mercy je?
 
hahaaa eti ngoja nimalizie kulia
it hurts alot

na wadada basi mujiheshimuni jamani,how do yu feel kuliwa kiwiziwizi,roho juujuu unajiuliza ukifumwa na mwenye mali
he can't claim yu mbele ya kadamnasi,unabaki kuwa kipunguza genye tu
tukiamua tunaeza wazuia pia,mgomo no kuliwa na mme wa mtu...........watachepuka na nani?

hawa viumbe ni kwikwi,hawashindwi kuchepuka na wanaume wenzao walivyo walafi

niliwaza kwa sauti
nikaconclude;heshima na watoto wawe kila kitu kwake[akiwapenda na kuwajali inatosha]
Mama usiseme hivyo!! Unadhani mashoga wateja wao kina nani? Wengi ni waume za watu, wenyewe si wansemaga! Yaani hawa viumbe ni kama kulinda bahari tu ukilinda huku wenzio wanavua kuleeee. Ni wao wajitambue, kujithamini na kujiwekea mipaka.
 
Hehhehe nimekuwa mchelewaji siku hizi. Ila thanks lara nimeisoma yote na comments zote, MOPT amekaangwaa!
As a matter of experience jamani michepuko ni waharibifu na hawanaga cha kupoteza and they will do whatever it takes kummiliki mwanaume. Kwahiyo salama ya ndoa kupona ni mwanaume kutuliza huo mshedede sio kutafuta huruma ya mchepuko, kwamba mchepuko akuache urudi kwa mkeo halafu ye aolewe na nani? Thubutuuuu
Kweli kabisaaa, na hawajifunzi hawa biumbe!!
 
Sasa popote mbinguni na duniani Mercy ndio anajulikana mke wa MOTP. Wengine watajitahidi tu kula good time kwa kitambo ila mwenye hati miliki ni mke. Kauli ya MOTP kwamba anampenda na kumheshimu mkewe ni pumba kabisa, unasemaje unamheshimu mkeo huku dudu unaigawa nje kiholela?
Hiyo hatimiliki ya makaratasi wakati watu wanajipatia treatment zaidi yako ya nini sasa!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom