Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Sijui nikuombee njaa tu? Upelekwe simiyu uko, dadeq mbona ayo mapepo yenyewe yatakukimbia.. Wa kishua ukienda kijijini ata zikija izo unazojidai sijui penalty, utaona kuliko ufunge goli bora tu usepe na mpira kbs hahaa, uwaziri wa huruma utauacha tu cz pesa yote utainvest urud mjini..bt kwa kua ulishawahi kumsaidia Lara alipokua shidani.. Wacha niskuombee njaa. Kikombe chako kifurike.. Ila naomba tu nguvu za kiume zikupungue.
Yaani akipelekwa simiyu na mapambio ataanza kuimba dadeq
 
story hii imetufundisha nini?

Wanandoa muheshimiane na muombeane pia, mfunge mmeo/mkeo kwa maombi.

kupiga penalty hovyo kuna madhara makubwa, mwiko kulinganisha kitambi cha mmeo na cha vijana wanaochomekea vzr..., NJIA YA KWENDA KWA MKEMIA MKUU NA IOTE MAJANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo pa kulinganisha vitambi ni ngumu ujue!! Inatokeaga tu automatic.
 
Sasa popote mbinguni na duniani Mercy ndio anajulikana mke wa MOTP. Wengine watajitahidi tu kula good time kwa kitambo ila mwenye hati miliki ni mke. Kauli ya MOTP kwamba anampenda na kumheshimu mkewe ni pumba kabisa, unasemaje unamheshimu mkeo huku dudu unaigawa nje kiholela?
Kwa kweli that kind of heshima me siitaki. Heshima inayomatter zaidi ni ile ya kumuheshimu mkeo akiwa mbali na wewe period
 
Eeeh wanaume wanapenda sana wanawake kama wewe

Heshima nzuri zaidi ni kubehave when your woman is not around. Sio ukiwa naye unajifanya kumuheshimu, akitoka tu unakuwa public property khaa
Si ndio maana akina motp wapo kila kona, tumewazoesha kuwa cha msingi ni tule,tuvae na tuishi pazuri baaaasi. Sasa unategemea nini? Tutegemee tu kufanyia maombi mapepo hewa huku bwana shetani yuko beach anakunywa tu juice taratiiiibu!
 
yaaan hawa viumbe mi sijui ata wakoje,hata siku moja huezi kuta akishare shida za maisha na mchepuko
bata sasa,yote 9 10 kumla mara mbili au tatu apite hivi

wewe unayempa mpapa asubuhi mchana na jion kutwa mara 3 km dozi
unafua,unapika cjui unaenda labour............mtoko mwisho honeymoon
zenji utaisikia kwenye taarifa ya habari
Na akipata magonjwa ni wako huyo umuuuuuguze mwisho akufie, kiruuuuuuuu!(wanajisemea wachaga)
 
Back
Top Bottom