Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

story hii imetufundisha nini?

Wanandoa muheshimiane na muombeane pia, mfunge mmeo/mkeo kwa maombi.

kupiga penalty hovyo kuna madhara makubwa, mwiko kulinganisha kitambi cha mmeo na cha vijana wanaochomekea vzr..., NJIA YA KWENDA KWA MKEMIA MKUU NA IOTE MAJANI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kwa hapo, ntakuwa na roho nzuri. Ndoa ni continous efforts za watu wawili
 
to be honest napenda mwanaume ambaye anapenda watoto wake na kumheshmu mkewe
mengine kuvmiliana jaman
You have a strong heart dadaa!

Waache akina Heaven sent wajidai wanakaba hadi penat, wataambulia heart attack za bureee!
 
You have a strong heart dadaa!

Waache akina Heaven sent wajidai wanakaba hadi penat, wataambulia heart attack za bureee!
Heart attack sisi? mtazipata wenyewe na michepuko yenu

Vipi unawish mkeo akuheshimu hivyo na yeye?
 
Kiukwel mie naenjoy story zako. I mean i like everything you write. Ilinibid nirudi nyuma nisome zote and zimeniburudisha sana na kuniondolea some stress. I wish ungekuwa unaandika kila siku just anything hata kama utasimulia kitu cha kipuuzi i swear i will read na kuenjoy
 
Eeeh wanaume wanapenda sana wanawake kama wewe

Heshima nzuri zaidi ni kubehave when your woman is not around. Sio ukiwa naye unajifanya kumuheshimu, akitoka tu unakuwa public property khaa
na ndo maana ya heshima or kujiheshimu otherwise ni usanii au maigizo
hahahaaa eti public property ,kila mtu anajisevia sio


af ajabu sasa anajisifia kumpeleka mchepuko zenji kitu cha 5 star what about wife?
Mungu anawaona esp yu MOTP
 
Back
Top Bottom