Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Yani mchepuko unapata attention kuliko mke, Mungu anawaona
yaaan hawa viumbe mi sijui ata wakoje,hata siku moja huezi kuta akishare shida za maisha na mchepuko
bata sasa,yote 9 10 kumla mara mbili au tatu apite hivi

wewe unayempa mpapa asubuhi mchana na jion kutwa mara 3 km dozi
unafua,unapika cjui unaenda labour............mtoko mwisho honeymoon
zenji utaisikia kwenye taarifa ya habari
 
Ndo haya nayosema tunaentertain wanaume Kuchepuka as a result mabinti zetu wanakua wakiamini hayo maisha ya uchepukaji ni lazima, so wavumilie tu. It hurtssss

Ngoja nimalizie kulia kidogo[emoji27] [emoji27]
mh my dear nimejionea kupitia my mama
learned alot kupitia yeye............kwa hyo hawa viumbe wala tu nimeshapata formula ,hatoniumiza kichwa mtu daima
 
Sijui nikuombee njaa tu? Upelekwe simiyu uko, dadeq mbona ayo mapepo yenyewe yatakukimbia.. Wa kishua ukienda kijijini ata zikija izo unazojidai sijui penalty, utaona kuliko ufunge goli bora tu usepe na mpira kbs hahaa, uwaziri wa huruma utauacha tu cz pesa yote utainvest urud mjini..bt kwa kua ulishawahi kumsaidia Lara alipokua shidani.. Wacha niskuombee njaa. Kikombe chako kifurike.. Ila naomba tu nguvu za kiume zikupungue.
 
Ndo haya nayosema tunaentertain wanaume Kuchepuka as a result mabinti zetu wanakua wakiamini hayo maisha ya uchepukaji ni lazima, so wavumilie tu. It hurtssss

Ngoja nimalizie kulia kidogo[emoji27] [emoji27]
hahaaa eti ngoja nimalizie kulia
it hurts alot

na wadada basi mujiheshimuni jamani,how do yu feel kuliwa kiwiziwizi,roho juujuu unajiuliza ukifumwa na mwenye mali
he can't claim yu mbele ya kadamnasi,unabaki kuwa kipunguza genye tu
tukiamua tunaeza wazuia pia,mgomo no kuliwa na mme wa mtu...........watachepuka na nani?

hawa viumbe ni kwikwi,hawashindwi kuchepuka na wanaume wenzao walivyo walafi

niliwaza kwa sauti
nikaconclude;heshima na watoto wawe kila kitu kwake[akiwapenda na kuwajali inatosha]
 
hakuna namna acha tuwe team roho mbaya tu si kwa madudu hayo halaf anakuja kujitetea ujinga bla bla nyingiiii kutegwa my foot kwani ukikataa watakubaka
We unacheza na Abdala kichwa wazi wewe akishanyanua kichwa huwa mpaka achinje na hasa kama mbuzi kajileta mwenyewe machinjioni
 
hahaaa eti ngoja nimalizie kulia
it hurts alot

na wadada basi mujiheshimuni jamani,how do yu feel kuliwa kiwiziwizi,roho juujuu unajiuliza ukifumwa na mwenye mali
he can't claim yu mbele ya kadamnasi,unabaki kuwa kipunguza genye tu
tukiamua tunaeza wazuia pia,mgomo no kuliwa na mme wa mtu...........watachepuka na nani?

hawa viumbe ni kwikwi,hawashindwi kuchepuka na wanaume wenzao walivyo walafi

niliwaza kwa sauti
nikaconclude;heshima na watoto wawe kila kitu kwake[akiwapenda na kuwajali inatosha]
Ngoja tu ninyamaze kwanza
 
na ndo maana ya heshima or kujiheshimu otherwise ni usanii au maigizo
hahahaaa eti public property ,kila mtu anajisevia sio

af ajabu sasa anajisifia kumpeleka mchepuko zenji kitu cha 5 star what about wife?
Mungu anawaona esp yu MOTP
Wife lake Niko na dining table
 
Hehhehe nimekuwa mchelewaji siku hizi. Ila thanks lara nimeisoma yote na comments zote, MOPT amekaangwaa!
As a matter of experience jamani michepuko ni waharibifu na hawanaga cha kupoteza and they will do whatever it takes kummiliki mwanaume. Kwahiyo salama ya ndoa kupona ni mwanaume kutuliza huo mshedede sio kutafuta huruma ya mchepuko, kwamba mchepuko akuache urudi kwa mkeo halafu ye aolewe na nani? Thubutuuuu
 
Same reason inayosababisha wanawake kucheat ndio hiyo hiyo inasababisha tunacheat.

Naomba tu unitajie hiyo sababu itasaidia sana kwa mustakabali wa jamii yetu. Kila mwanaume anaecheat ana sababu zake, hazifanani lakini wote wanaishia cheating. Hapo ndio utata unapoanzia, inawezekana kweli hawa watu wote wanasababu moja?
 
Back
Top Bottom