Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Duh! Bado sijapata mwanga hili dude litaishia wapi[emoji144][emoji144][emoji144]
Yani Wee acha tu mamy hata timu bado sijajua nipo timu ipi?!
wewe team nani mwenzangu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Bado sijapata mwanga hili dude litaishia wapi[emoji144][emoji144][emoji144]
Hii story mbona kama nimetungiwa mimi he he heee
Haha wacha utani banausipende kushare vifaa vyenye ncha kali ili usiwe na woga.., ikitokea
Sisi wasomaji imebidi tu tukae pembeni kufuatilia mtanange. Tulivyosikia man of people na ulokole mwingi tukategemea bwana asifiwe nyingiii..kufungua dude sasa! Hata haieleweki triangle au pentagon
Sisi wasomaji imebidi tu tukae pembeni kufuatilia mtanange. Tulivyosikia man of people na ulokole mwingi tukategemea bwana asifiwe nyingiii..kufungua dude sasa! Hata haieleweki triangle au pentagon
msimu huu mbona nashindwa Kuchagua timu lakini?!
Ngoma nzito hii si ya kucheza kichwa kichwa dahhhhhhhhhhh engo ya tatu ya mtu wa watu ni ipiii?? is it Sarah?? Yulee alieolewa tayari au kuna new character atajitokeza again?!
Hakikisha simu yako ina charg na bando tu. Mengine muachie Msaga Sumu, international kungwi, KLM lara 1 . Toka dude lianze umeona watu wanachagua team? Mwanzoni wengine tulianza kumuombea mlokole mwenzetu hadi Tarime one akakubali kunawa.
Yaani wewe ndio antennaless au?Hii story mbona kama nimetungiwa mimi he he heee
Mlokole yuko sawa kwa lazima kubadili dini[emoji2][emoji2]sema hesabu zake kazichanga vibaya tu ila bado ana nafasi kupata mwingine ng'ombe hazeeki maini.Daaah kweli nina roho mbaya, nimefurahi Mercy alivyomtenda mlokole wetu hahaha, huku mke naye kashasepa. Mwenyewe alihisi atamuacha tu mke waishi na Mercy happily ever after hehe
c.c espy
Alafu We Mbaba Unaemgonga Lara Wewe. Ebu Kuwa Mtulivu Na Mvumilivu Basi. Unamng'ang'ania Kama Umemuoa. Eboo!
Ila namwombea kimyakimya [emoji2] [emoji2] nimekwambia wewe tu.Hakikisha simu yako ina charg na bando tu. Mengine muachie Msaga Sumu, international kungwi, KLM lara 1 . Toka dude lianze umeona watu wanachagua team? Mwanzoni wengine tulianza kumuombea mlokole mwenzetu hadi Tarime one akakubali kunawa.