The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Ila namwombea kimyakimya [emoji2] [emoji2] nimekwambia wewe tu.
Ilibaki manusra nichague team muathirika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila namwombea kimyakimya [emoji2] [emoji2] nimekwambia wewe tu.
Pale pa dini nilimuelewa, ila it's like alimtumia mkewe kusustain hadi alipopata his dream woman. So this time alikuja kimkakati as alishaona kwa Mercy kunasoma akaona anyee kambi kwa mkewe, teh kanyewa yeye sasaMlokole yuko sawa kwa lazima kubadili dini[emoji2][emoji2]sema hesabu zake kazichanga vibaya tu ila bado ana nafasi kupata mwingine ng'ombe hazeeki maini.
Ila angalau tu hapo roho yangu imeridhika teh.Goma bado hot hili huwezi jua Ohooo
Hata mimi nimefurahi mchepuko kuchepuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mlokole aumie hata kidogo na yeye alafu nataman antennaless asirud kwa mlokole basi tuDaaah kweli nina roho mbaya, nimefurahi Mercy alivyomtenda mlokole wetu hahaha, huku mke naye kashasepa. Mwenyewe alihisi atamuacha tu mke waishi na Mercy happily ever after hehe
c.c espy
Team ahsante team roho mbaya mwenzanguHata mimi nimefurahi mchepuko kuchepuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mlokole aumie hata kidogo na yeye alafu nataman antennaless asirud kwa mlokole basi tu
[emoji23] [emoji23] Tarime one kaogopa kitolewa kundini mana mlokole kaamua kifungulia mbwaHakikisha simu yako ina charg na bando tu. Mengine muachie Msaga Sumu, international kungwi, KLM lara 1 . Toka dude lianze umeona watu wanachagua team? Mwanzoni wengine tulianza kumuombea mlokole mwenzetu hadi Tarime one akakubali kunawa.
Ungekuta unapigwa mguu wa punda lara hana mana kabisa huyu[emoji23] [emoji23]Ilibaki manusra nichague team muathirika.
ha ha haaa pole wangu maana kibao tayari kimeshakugeukiaMlokole yuko sawa kwa lazima kubadili dini[emoji2][emoji2]sema hesabu zake kazichanga vibaya tu ila bado ana nafasi kupata mwingine ng'ombe hazeeki maini.
Ungekuta unapigwa mguu wa punda lara hana mana kabisa huyu[emoji23] [emoji23]
Mamii ndio nimeingia, ngoja nisome.
Ooohw reallyHow sweet of you... Ni kama mimi ninavorudia rudia kuitupia jicho hiyo avatar ulioweka
nasubiri kauli yako juu ya yaliyompata bwana mlolole wetu ndugu yake na tarime one
Cc:Tumosa
Hizi ndo zile stori mtu anasoma kwenye daladala huku anaweweseka