Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Mlokole yuko sawa kwa lazima kubadili dini[emoji2][emoji2]sema hesabu zake kazichanga vibaya tu ila bado ana nafasi kupata mwingine ng'ombe hazeeki maini.
Pale pa dini nilimuelewa, ila it's like alimtumia mkewe kusustain hadi alipopata his dream woman. So this time alikuja kimkakati as alishaona kwa Mercy kunasoma akaona anyee kambi kwa mkewe, teh kanyewa yeye sasa
 
Daaah kweli nina roho mbaya, nimefurahi Mercy alivyomtenda mlokole wetu hahaha, huku mke naye kashasepa. Mwenyewe alihisi atamuacha tu mke waishi na Mercy happily ever after hehe

c.c espy
Hata mimi nimefurahi mchepuko kuchepuka[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha mlokole aumie hata kidogo na yeye alafu nataman antennaless asirud kwa mlokole basi tu
 
Hakikisha simu yako ina charg na bando tu. Mengine muachie Msaga Sumu, international kungwi, KLM lara 1 . Toka dude lianze umeona watu wanachagua team? Mwanzoni wengine tulianza kumuombea mlokole mwenzetu hadi Tarime one akakubali kunawa.
[emoji23] [emoji23] Tarime one kaogopa kitolewa kundini mana mlokole kaamua kifungulia mbwa
 
Mlokole yuko sawa kwa lazima kubadili dini[emoji2][emoji2]sema hesabu zake kazichanga vibaya tu ila bado ana nafasi kupata mwingine ng'ombe hazeeki maini.
ha ha haaa pole wangu maana kibao tayari kimeshakugeukia
 
nasubiri kauli yako juu ya yaliyompata bwana mlolole wetu ndugu yake na tarime one

Cc:Tumosa
 
Back
Top Bottom