Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Haha nichague kambi nimelogwaa!? Nani anataka kuwa kama timu Ceaser almanusra wageuke mashoga thubutuu! Nasoma upepo bado mie [emoji1]

..wakasema eti mie ndio nna mkosi nisiende uwanjani, tatu. Wakasema kiwanja kibovu twende Zanzibar, tatu. Basi tukachezee Afrika ya kusini, tatu...in JK voice. Hapa kama sio ushindi wa mezani basi ataitwa Jecha afute uchaguzi tuanze upya. Kigugumizi kimetawala sana kuchagua team
 
Mimi nimeshindwa Kuchagua team kwakweli sijui kwanini
 
Hahahaaa tezi dume tena? Mh haya. Mie na Tarime one itabidi tuzame tu kwenye maombi maana haina namna. Tumuombee The man of people, sio kwa kukengeuka huko.

Tatizo Lara 1 kurudisha ndege nyuma ikiwa angani ni kama kufumba na kufumbua tu...

Alituchota mwanzoni mlokole kashinda vishawishi tukasema emeeeeeen. Kilichofuata sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Lara anajua kutupumbaza kweli huyu mwanamke.
 
mahondaw Heaven Sent na team roho mbaya wote. Mzigo upo mezani...tatizo picha limekuja na chenga nyingi halieleweki ni point kwa upande wa mlokole au team roho mbaya, ila hata kama sio tezi dume apate japo kifaduro tu!

Asante mkuu mi nimefurahi tu mercy kuolewaa haha


Hata kama atamcheat mercy ni effect tu ya kitu fulani but he loved her deep down kuliko hata yule alomtotolesha viwili hata yeye alikiri

mkuki kwa nguruwe lol
 
Back
Top Bottom