The Nairobi Nights!
Msindikizaji nikaendaaaa safi, with genuine intentions hata kama hamniamini ndugu wasomaji ila ukweli ndo huo. This new girl maana likuwa mdogo like 24 0r 25 ndo maana bado ana voluntere was not my type at all. Kwanza anavaa too decent and i always liked them nasty. Napenda wanawake wa mjiniii, hata mke wangu Mercy weeeeeeeeeeeee, msimpimie kabisaa, mda mwingine anavaaa minooo ilo afu kajazia maeneo husika najikazaaa vinginevo ningefunga chumba asiende ofisini. Tangu nimemuoa namchimba mkwara sahivi mke wangu umeokokaaa, sasa hizi minooo ukikutana na baba mchungaji itakuwaje, au wakwe zako wale si unajua wa kijijini please vaaa hata suruali kama sketi ndefu zimekushindaaa. Ndo kidogooo kapunguza kidogooo.
But i always liked them Nasty, always, the nastier the wilder the sex. Hawa decent viumbe wanakuwaga na sheria sheria kitandani, ooh sishiki mic, siguswi huku siguswi kuleee, sasa mimi wa kazi gani mtu wa hivo, kama mke tayari ninao wa 2 sasa niwe na mfano wa mke tena wa kazi gani?
Pis she was black, and all my women weupeee, napenda tu wanawake rangi ya mtumee. Msidhani mimi mweusi, mie pia rangi ya Mtume, it just happened sikuwahi kuvutiwa na wanawake weusi, sijui kwanini ilitokea tu, it was nothing racial kwamba nachagua based on rangi. Hata kwa huyu sina uhakika weusi wake uli play part kwenye kutonistuaaa sina uhakika sanaaa. And she was slim, portable tu of which pia sio mambo yangu hayoooo.
She was also still amateur. Mtoto mtoto ana mambo ya kitoto kama hayo ya kuomba nimsindikize hospital, we mimi mbaba na ndevu zangu na wake wa 2, na pete yangu mkononi unanipigia kabisaa kabisaaa nikusindikize hospital? Nikasema tu kama hajazidiwa sanaaa kiasi kwamba hawezi kuinuka atakuwa na mambo ya kitoto sanaa. Anyway nampa benefit of the doubt nisije kuacha kwenda afu kesho ikapita form ya rambi rambi i wont be able to live with my self.
Nimefika huko kwake, nikamkuta mzimaaa, atleast mtu unatembea mwenyewe utakuwa mzimaaa tu kibongo bongo. Nikampeleka hospital. I am nice man, i am kind hearted adn charming. Njiani naongea nae maisha you know just to get the conversation going. Sikutaka awe uncomfortable. Normal topics, the weather of Nairobiii, housing, wapi panabamba Nairobiii. Hivooo. Akaniuliza naishi wapi hapa Nairobi nikamuelekezaaa, ofcourse naishi Westlands kwa wakishua si nalipiwa housing, Ukiambiwa budget yako kiasi flani ya nyumba una i exhaust kweli kweli chezea mbongo nyieee.
Akaniuliza about my personal life, i was very frank, nimeoa currently nina mtoto 1, but i have 1 failed marriage ina 2 kids, and i still love my kids and tunashirikiana kulea na mke wangu wa kwanza. I was so Frank not sababu sikutaka kumuoaaa, ila i am a frank man. Sipendagi kudanganya especially about my wives. Nawapa to credit they deserve. Kwa umri huu hata nikitaka kumla mtu sina haja ya kujifanya single and searching kama niko so so desperate nitajifanya MBA (Married but available)
Tukafika hospital akapimwa fresh, ikagundulika ana Malaria 3, imagine baba zima nimekokotwa kumsindikiza mtu mwenye malaria kweliii jamaniiii? Tulivotoka nikamwambia let me buy you a drink mgonjwa ili asijue tu nime mind. Na i just wanted to be kind to her. Tukakaa tu kimgaha tukanywa juice. Nikamwambia sasa zamu yako kujieleza kiufasahaaa. Akasema yeye Adventist, she is 27 actually sio mdogo sanaaa kama nilivotegemea. Ametokea rich to do familly, kasoma nje sanaaa. Na no body is special in her life for now.
Tukaagana pale mi nikaendelea na mishe zangu za kuuguza donda ndugu la infidelity ya mke wangu. Kwanza na mashaka kama wameachana kweli na Mzava au wananizinguaaa. Nikawa tu sina amani ya rohooo kabisaaa kabisaaaa. Niko off mood. Naona stresss ja stress. Nikaamua niende Arusha kuwaona wanangu wale wengine.
Nikakuta wwanaendelea vizuriii sanaa, sema wameanza kunichukiaaa. Maybe my absence was so large i became a stranger. Zamani wakikuona kama mbingu zimeshuka hizo furaha zao. Sahivi i could tell they were avoiding me. Hata ukiwaita sebleni wanakuja ila ndo wanakaa kimyaaaa kabisaaa kabisaa. Bora yule wa kike hata atasema Daddy may you buy me hiki au kile, anakuwa na list yake ndefu sio mchezo viu anavotaka daddy nimnunulie.
Wa kiume yeye kimyaaa. Atasalimia tu afu basi ataondoka ukifanya masihara unaweza usimuone mpaka unaondoka. Nikikuita akae hapo nilipo anakaa kwa heshima tu sababu mimimzee wake, ila unaona kabisaa hili toto halinipendi kabisaaa. Hanisemeshi chochote kabisaaa. Nikimuuliza mambo ya shule atajibu alichouliza afu basi. Namuuliza you dont want me to buy you anything kama dada yako atasema No, namuuliza nothinga ta all even a toy, atasema nothing.
Mama mtu atajikoshaaa, aaah ujue huyu ana aibu sanaaa, sanaaaa. Si eti Mercy, kaka yako si ana aibu. Mercy atajibu, no mum, heis not shy at all, i dont remember him being shy. Basi Mama mtu anakereka utasikia Mercy jishaueeee baba yako ataondoka sasa hivi ndo utanitambuaaa, si unanijuaaa lakini mkono wangu mwepesi sanaaa. Hahaaaaa! I just knew my son hated me. Atakuwa ananiona baba firauniii tu, baba gaidiii, baba mfano wa babaaaa. Moyoni nasema mwanangu wewe wa kiumeeeee mwanangu, kua uyaoneeee, kua uyaoneee ya duniaaaa. Mwenyewe nilikuwa namuona mdingi wangu sio siooooo, hafaiii nimkuja kuwa 10 times worse than him, sasa wewe mwanangu genes zako ni prodegee sijui utakuwajeee sijuiiii.
Najitahidi kuwa pet pet, moyoni najiambia they are just kids, sidhindwi kuwazidi akili and to get them to like me again like old times. Nawaza ngoja niwape good times mfululizooo. Nikamwambia mama yao awaandae nataka kutoka nao bila mama mtu, akalalamika pale, nikamwambia narudiii, huu mda wa watoto. Basi kwavalisha, i could tell the school was good, vingeleza vimenyooka hatariiiii. Mercy akasema anataka kwenda kusuka rasta. Nikamuuliza wapi, akasema kwa rafiki yake gani sijui anasukaga saloon iko mjini mtaa naujua. Tukaenda kuitafuta. Hizo nywele kusuka ni 70,000 jamani at this age ashakuwa mfujaji hivo ataolewa kweli huyuuu binti.Nikamwambia fine suka. Anasema daddy i want to do my nails too. Mmmh nikaona nikimchekea atasema anataka na make up niksame only hair, akanunaaa, but mom let me do nails with her every weekend, nikasema tu fineeee, kwani bei gani? 30,000 jumla ikawa kilo. Tobaaaaa! Binti atanifilisi huyuuuu haki nawaambia wasomaji. Bado list ndefuuu ya toys anazotakaa, acha begi jipya la Elsa na Dora, na Ipad, na mataka taka zisiponitoka million 2 leo ndugu msomaji sijuiiii.
Tuakwa sasa tuko mimi na my son, nikaenda nae kwenye juice. Bado kauchubuaaa. Nikamuuliza Son have a problem with me, then face me, ask me, dont be a coward and show attitude. You have issues with anyone then you confront them and not hurt in vain. Akaniuliza Do you have another family you love them more than us? Kiukweli sikujipanga kwa swali hilo. I taught my son to always tell the truth. So i had to tell the truth. Yes i have another family but i love you so much as i always have, nalipa school fees au silipi? Mnaishia pazuir au hamuishi? I started losing my control. Ndo maana wazee wetu walikuwa mwiba mchungu mambo kama haya yanaboaaa sanaaa.
Akaniuliza So you love me and Mercy but you dont love mom anymore that is why never come home to sleep so that you dont have to sleep with mom? Did she cheat on you? Jasho likaanza kunitokaaaa. Elimu nayowapa kubwa hii ikaanza kuniwindaaa. Nikajikaza kumuuliza where did you hear people cheat people? Akasema Daniels mom cheated on his dad, and she was kicked out of the house, and they are getting a divorce, Daniel lives with his Daddy and Dada only. He sees her mother selling food at stand. His dad said he should never speak to her again. Their family will never be together again. So did mummy cheat on you and you got a divorse and kicked us out of our house in Daresalaam, so that you can live with your new familly. Khaaaaaaaaa! Nikasema tu we are not Daniel and his family okay son. Our familly will always be together Nikabadilisha topic.
Which team are you son? Man U, Chelsea or Arsenal? Akasema i dont like football. Nikajua tu bado ana ni roast na kitunguu saumu. Nikamwambia lets go shopping madukani. Angalia what you like tell me, okay son. Nikawa navuta kwanza pumziii. Son ni mwiba mchunguuuu. Afu ashaanza kuelewa haya mambo. Ukapita mdaaa. Nikamuuliza anything you like, akasema No. Nikamnunulia bag la ben ten anyways. Tukaend akumchukua dada mtu nikawapeleka shopritte. Trust me dada mtu had so many things to buy mpaka namwambia sasa inabidi tupunguze. My son hakununua chochote mpaka pesa za mzee wake anaziona zinanukaaaa.
Nikawapeleka kula, tenamaana home walikula kabla hatujaondokaaa. Nikawarudishaaa. Nikaaga naondoka kwenda hoteli. Wote wakajibu kasoro Son, jamani atanitoa roho mzee baba wake. Nikamwambia Son, i said goodbye! Akasema okay, say hi to your other familly. Nikajuta hata kumkaziaaa hio goodbye. Namna hii mwanangu nitaanza kumuogopa sasa mambo gani kunikazia mzazi wake design hii?
Wakati naondoka, wife akawa ananiambia nilitegemea utalala leo, nimekumiss sanaaa! Mmmmmmhhhh! Nikastukaaa sio kidogo. Sikutegemea atataka tupashe kiporo. Basi anaendelea kwani umefikia hotlel gani? Yani nimekumiss kweli sio utani, nimeshindwa kukusahau man of the people ujue, sijapata mtu anaepiga shughuli pevu kama yako. Tujikumbushie hata kidogo tu enzi zetu za ujana, hata cha fasta hapo hotelini.
Nikawaza hii spider web nayoifumaaa hii sijui mwisho wake utakuwa nini. Nikamwambia mimi mbona naenda kupanda gari niende KIA, narudi Nairobi jioni. Kuna kazi muhimu sanaaa. Akasikitikaa ila akakomaa ngoja nikusindikize huko KIA. Uzuri nilikuja na kibegi ambacho nikuwa nacho sikuacha kitu hotelini. Nikasamehe tu usiku huo nilio lipia potelea poteeee. Mguu kwa mguu mpaka KIA. Mi si Diplomatic, napita huku kwa mawaziri. Nikamuaga, nika kaka sehemu sasa ndo nikate tiketi, it was a close call.
Nimerudi Nairobi bado nimevurugikaa vurugikaa hakuna kinachoendaaa. Wiki lote nina stress kazini za kutoshaaa kabisaaa. Weekend nikapiga tena dash kwa Mercy nimekaa naangalia tu movies. Ikaingia text ya Msabato nipo hapa kwenye apprtment zenu, i was just passing, wanted to say hi, mlinzi ananiuliza details na appartment namba. Ikabidi tu nimpe si ashafikaaa.
Akaja nikamkaribisha vizuri tu. We just talked. Wanaume nadhani mnanisomaaa kama papa huna mzuka nalooo huna tuuuu. Basi jioni akaondoka zake fresh kabisaaa. Tukawa sasa tunafahamiana ile kupeana Hi kishkaji tu. Ikapita mda kidogo akaja kuniomba nikamuunganishie DVD na kingamuzi na Tv . Nikaenda kwa moyo mmoja kwanini nisiende kwani tuna tatizo gani. Nikamuunganishia alikuwa hana Music system. Nikamwambia ukiweka na music system ndo ikauwa subwoofer sasa kama pale kwangu. Maana alisema alipenda movies ya kwangu pale ilivokuwa na sautiiii mahala pake. Nikaona music system inampa mawazo. Nikajua alidanganya sio wa kishua kwao wala nini ndo maana anavoluntere. I felt bad for her. Unajua hizi diplomatic posts watu wanalipwa mpaka dhambi kufanya nao hulipwi kitu is very bad.
Nikaondoka, ila i felt bad for her, yuko nchi za watu hustling, hustling zenyewe zinamuendea ndivo sivo, mpaka music system ikamshindaaa. I just wanted to help. I am a nice guy. Like i always help you Lara anytime ukiniomba msaada. Thats me. Nikamnunulia tu Music system kama ya kwangu and it was not cheap, nikampelekea kwake na kumfungiaaa ikawa sasa movies zina sound kama kwangu. Nikaaga na kuondoka kiroho safi.
Akaja kuniambia volunteer imeisha hajaajiriwa she will be going back Tz, ndo ananiagaaa. Alikuwa anatia hurumaaa sio kidogoo. Mikataba ikiisha malengo hayajatimia inasikitisha. I wanted to help again. Nikaongea ongea na wenzangu nikapata volunteer mpya inayoanza, nikamfanyia mpango, akawekwa ile. She was so happy. Hivo vyote nimemsaidia kama mdogo wangu tu, yupo Kenya katika kutafutaaa. Nchi ya watu na mimi ndo kaka yake wa kibongo namuangusha vipi kwa mfano. Like i said she was decent sio wale wa mitego tego.
Siku hio akanialika kwake, it was her birthday ilikuwa siku ya kazi. So alinialika dinner. Nikawaza she has to spend her birthday alone ngoja nikapige nae story mbili tatu. Tumeongeaaa ongeaaa, nikala keki, nikaaga mzee baba. Akasema usiondoke bado mapema sijui nini ikafika saa 5. Akasema lala hapa hapa. Hapo kwake ni chumba na sebule na choo tu. Imagine. Nikamwambia sawa, mi nalala hapa sebuleni, we lala chumbani. Akakubali.
Kila baada ya nusu saa anakuja kuniuliza Are you okay? Namwambia Yes! Hasomekiii anaongea pale anarudi chumbani. Mmmmmh! Hivo hivo kama mara 5. Are you akay YES, anajiongelesha anarudi chumbani. Saa 9 akaja tena, ooh hapo pana mmbu sanaa, twende chumbani kuna neti sijui nini. Nikaona bila kukubaliananae sitolala, nikakubali nione mwisho wake. Nikaenda mpaka kwenye hio net nikaingia na nguo zangu mzima zmiama nikajitupa. Mind you kavaa night dress.
Nikiwa nimelala hapo nikakumbuka wife ameni cheta mda si mdaaaa na bado sijalipizaaaa mjueee. Nafanya nini kulala hapa na haka kabinti . Naamua kumuepusha shetaniii. Kenywe nako kanifanyia fujooo. Mara akniwekee paja, mara kanikumbatieee mmmmmhhhh! Hajui anatishia kuuchambia moto, atastukia vuzi zoote zimemuungua ndo atatia akili. Saa 11, uzalendo ukanishindaaa, nikasema Simba akizidiwa anakula majaniii. Nikaanza kumkumbatia na kumpa mate kwanzaaa. Na yeye yumo kumbe mambo alikuwa anayataka anashindwa kusemaaa.
Huyu mziki wake mwepesi sanaaa, mnoo mnooo. Na kwanza wife kachepuka afya yangu siiamini amini, na hapo tulikwa tunaenda pekuku peku. Nikaamua sasa hapa inabidi nitumie kikanga asili ya ukimwi. Ambayo ni kuhakikisha hakuna mchubuko utakaotokeaaa. Yaani natafuta antenna mpaka channel ilowe kabisaa kabisaaa ndo napita. Na sitaki apate mimba namwaga nje. Nikaenda mwndo huo huo. Huyu binti alikuwa mwepesi mi nikifika mara moja yeye kafika mara 3. Na ndo nguvu zake zimeishia hapo hapa analegea kama anataka kukata rohoo. Na uhakika hajawahi kupigwa show kama ile na wasabato wenzie hata siku moja, maana wasabato kwa ubaguzi wana tembeaga wenyewe kwa wenyewe.
Asubuhi nikarudi kwangu mwepesiii, maana kilikuwa kitambooo kidogo toka nibadilishe ladhaaaa. Toka Mecry mpaka leo jibadili ladha mchezooo nalishwa wali maharage daily. I didnt feel remorse even one bit. Tatizo likaja kanataka muendelezoooo. Nikamwambia tu plain mimi nina wanawake wa 2 tayari nishawavurugia maishaaaa, sasa wewe nakuweka wapi katika hii picha? Kananganganiaaa nikape nafasi. Nikamwambia nafasi sio tatizo je utaweza kuimiliki hio nafasiii? Sio nyepesi ujue. Kakakubali.
Sheria ikawa tukikutana kazini ni kazi tu, no mahaba niue auniteketeze kama Mercy, weekend namba yangu aione kituo cha polisi nakuwa kwa wake zangu kama sio Arusha Dar, ila mostly nilikuwa Dar, Mercy udhaifu wangu baasi tu. Na kuchepuka kulirudisha mapenzi yangu kwa Mercy cause we were even nikawa sina deni nae kabisaaa. Akisikia hamu ananiambia nakuja kucheki muvi naelewa kiutu uzima kwamba huyu anataka show. Na mimi hivo hivo. Tukaenda hivo hivo miezi kama mi 3. She was very civilized nawaambia hamuwezi amini. Anafanya kama nilivomuelekeza.
Baadae nikaona kana fall in love complately, watu wa maana wanamtongoza anawakata sababu yangu, itaenda hivi mpaka lini. Atakuja kuzaa huyu. Isitoshe mke wangu tulibuana sababu alichepuka na mimi nafanya the same, ndo narekebisha au namwagia petrol kwenye moto. Ndoa ya kwanza imefeli na hii tena sasa hapo kila mtu si ataona mi mkorofiii sasa. Isitoshe namtumi tu huyu dada wa watu.
Msitake kujitia mnamsikitikia sanaa ndugu wasomaji, mimi najua kuhongaaaa msinipime kabisaa, she might have not gotten my last name like she wanted, i wonder why all women in the end want my last name, ila she got so many material benefits. Kwanza nilihakikisha anaajiriwa which bila mimi will nevere have happene. Nikampa na vitu vingi tu simu, mashine za kufua, vitu vya ndani kibaooo. Not that i am stingy nikawa nafocus kumnunulia vitu vidogo vidogo mwenyewe ndo alivokuwa ananiomba au ana insinuate ndo anavovihitaji. Nisingejipendekeza kumpa gari wakati hajaniambia au kuonesha anataka gari. It was always a dining table at a decor, washing machine, microwave, sofa set, she had a thing with interior decor, na kwangu that was peanut money nikawa nampa tu si nakula papa.
Baada ya miezi mi 3 nikamwambia tafuta mtu, utazeeka. Nikafunga ubalozi kidiplomasiaaa tu. Haikuwa rahisiii, hakutaka kukubali japo it was all in her interests ila yeye alitaka tuendelee ananipenda sanaaa. Ila alikuwa ananiheshimu, lazima aniheshimu nimempa diplomatic post mchezoo sasa. Akakubali ili tus asishindane na mimi. Zikabakia zile mechi za ghfla ghafla na nikampiga marufuku kuja kwangu mi ndo naenda kwake kwamba kwangu wife anakuja bila taarifa. Badae nikaweza kukata mguu kabisaaa.
Nikarudisha majeshi nyumbani 100% kwa Mercy, mapenzi yaanza upya mara 5 ya pale tulipoishia. I swear all iwas thinking was my wife and only my wife. God HELP ME. Mpaka akapata mimba ingine, and i was happy and content my cruising days were over. Sio kwamba vishawishi nikawa sipatiii. Napata navivukaaa. I made peace with my God and i was a family man once again.
Wife wangu wa zamani akawa anaendelea na mitego yake ya panya kuninasaa upyaaa. Mpaka nikashangaa why didi she let our marriage end so easily only to fight for it once again. Nikawaza au kuna mwanaume alikuwa ane akamzinguaaa sasa ndo kagundua mimi ni almasiii. Mimi bwana nikizaa na mtu mtoto huulizi ni wa nani. Copy right. Ingekuwa wale watoto wamefanana na mama yao ninge doubt.
Sasa tatizo la my old wife vishawishi vyake anatumia watoto kama bait. Mara mtoto anaumwa, anampa naongea nae kabisaa, tena anajua yule wa kiume ndo kiboko yanguuu, ananiuliza so dada are you comming or what? Nakuwa sina kona ya kutokea inabidi niende tu. Nikienda ananifanyia mitegooo ya hatariii. Anasisitiza she doesnt want me back, sawa Mercy awe mke mkubwa ila yeye awe Mke mdogo. Namuelewesha sikia ile ndoa ya kanisania hiko kitu hakiwezekani, sisi dini yetu tofauti na ile. Anakomaa sio mambo ya dini tupeane mambo kishkajii tu.
And i can never be mean to her or hursh, nimeishi nae almost 7 or 8 years siwezi tu ghfla kuwa mkatili, inabidi nitumie diplomasiaaa kubwaa sanaaa kuruka viuzi vyake. Nilisha consider kumdanganya nina UKIMWI just to be rid of her games, ila she has a special place in my hear na ni mama wa watoto wangu so i must always be nice to her, naendeleza diplomasiaa kumkatalia ombi lake . Na nilichoogopa kuliko chochote ni kujikuta naongeza nae mtoto mwingine si itakuwa aibuuu kubwa sanaa. Na yule uzai wake naujua uko karibu saanaaa.
Kunitega kwake ilikuwa rahsii mnooo, cause she knew me, napenda nini, wakati gani, si nimeishi naeee, ananijuaaa kiundaniii, hiki napenda, hiki sipendiii, basi hafanyi makosa katika mitego mitego yake. Anasema katafuta bwana kakosaaa, shepu imeharibika kunizalia watoto wa 2, nani atakae mpata, so mimi hata kama simtaki japo nimpunguze nyege tu kumcompensate kwa ufujaji nilio mfanyiaaaa. Jamnii jamaniiii!
JE NDUGU MSOMAJI NITAWEZA KWELI KURUKA VIUNZI VYA MY 1ST WIFE?