Weekend Story! The Man of the People love triangle!

lara 1 kale kamsaada alikopewa kamefanya story hii iegemee upande mmoja bwana. Mie bado niko pale paleee yaani hata asipopatwa na la kupatwa itabidi tu kwakweli afanye namna.
Kwakweli mie mwenyewe natamani tu hata apate busha la maisha ... Sema namezea lara1 kasema tusitumie maneno makali ....
 
Hahaha roho zenu sio za nchi hii
lara 1 kale kamsaada alikopewa kamefanya story hii iegemee upande mmoja bwana. Mie bado niko pale paleee yaani hata asipopatwa na la kupatwa itabidi tu kwakweli afanye namna.
 
Nilikuwa sijaona hiyo, aisee huyu mtoto wa kiume nimempenda sana
Ana akili sana, ameuliza maswali yale yale ambayo huwa hatupendi kuyasikia ila ndio uhalisia. Mara nyingi wazazi tunajisahau sana na kuona ngono ndio priority bila kuwakumbuka watoto ambao ndio kiasi kikubwa saaaana wanathirika.

Kama huyu yaani hataaa hajifeel guilty, anaona misifa kabisa kwa huu ufirauni anaofanya.
 
Back
Top Bottom