Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Mkubwa kuna wanaharakati wameshamtakia The man of people tezi dume kama sio busha, huwezi jua nayeye kawa dusheless hafungui tena zipu....acha tusubirie dude. Sibadili team, ndio sie team ushindi mezani...
Ukute tayari analo mbona hamuombi lara hadi lara anataka kujitolea tu kumpa kwa lazima!! Ningefurahi ila angemkula na lara kwanza.
 
Anaweza kuwa kashamla, ila kwa kuwa fanan anahusika sitashangaa asiporusha hiyo episode.
Hawajalana aiseee... Sio kwa lara 1 naemhisia maana sijawahi muona ila [emoji13] [emoji13] [emoji13] lara 1 ni headache
 
Iyo stori ushaleta au bado
Me kila nikuangalia sioni!

Huku kwangu ndio kwaanza nipo intro
Nikija kumaliza ntakuja kuchungulia kwako
Ngoja niwaweke sawa CLASSIC Babes kwanza kwa kipindi hiki cha Uncle Ngosha watulieee washuke kwenye High Horses zao hii Karne sio ya ki spot spot!

Asante lara 1
 
International Diplomatic Mission.

Mke wangu wa kwanza akawa jipuuu tena jipu uchunguuuu. Na navozidi kumpiga hoja za kuachana nae ndo anazidi sasa kuongea wazi yale mambo tuliokuwa tunayafumbaaaa. Ikiwemo kulalamika i used best year of her life na kumuacha solemba baada ya kumuona amechokaaaa.

Nikampa option tafuta mtu mwingine hata kama FREE P mimi nitawakopesha mtaji muwe wote, na Mungu atawasaidia mtatoka kimaisha. Akagoma. Nikasema basi tafuta marioo umfugeee basi kama tatizo ni nyege mi nitampa 30 million potelea poteee. Akagomaaa. Hataki! Unataka nini mama? Nakutaka wewe! Khaaaaaaaaaaaaaaa! Huyu mwanamke huyuuuu.

Sasa unanitaka mimi hio vipiiii? Si tumeachana X mke wangu jamani. Oooh mi nakutaka wewe, sitaki mwanaume yoyote isipokuwa wewe. Nimezunguka sijaoona, yaani sijaonaaaa. Khaaaaaaa! Nikamwambia huko ulikozunguka kwemaaa? Akatoa kipimo akajipma, mbele yangu. Kwemaaa kabisaa. Yani kule kupima nikamuona kwemaaa kama pepo likanivaaaa. Nikaanza umtamani upyaaa.

Mnajua tena ndugu wasomaji pamoja na kuniombea tezi dumeee, yule ni mke wangu, namjuaaa sanaaa. Na kwamba mapenzi yetu yalikufaaa basi there is no point in time hakuwa my sunshineee. Once in a time not so far ago she was my everything. Its not bad to relieve a past moment once again. 8 years long past moment. And she was begging for it. Begging me to give it to her. Plus i felt bad for her we ended this way.

Nikajikutaaa tu napiga nae mechi ya kirafikiii, ambayo ilikuwa tamu sanaaa. Hivi zinakuwaga mbaya hata siku moja. Sisi wanaume ni mbwaaa aiseee. Nilijienjoy kabisaaa kabisaaa. Nika travel along the memory lane. X wife sio kudeka sasa. Jamaniii. Nilijuta sanaa baadae nikajishangaa kwa kitendo kile.

Nilitegemea X wife angekuwa msumbufuu, labda angetaka kurudisha ndoaa, au ndo kupiga piga misimuuu, kumbe walaaaaa! Kweli zilikuwa nyege tu. Nimetoa mguu Arusha akipigha simu ishu ya maana sio mambo ya kutaka game. Mpaka nikasahau kama nilisha chepuka nae. Ikawa sasa nikienda kuangalia watoto napewa friendly match na mimi nakulaaaaa. Wanasemaga hainaga U X TUNAKULAGAAA. Hata nyie wanwake ambao wanaume zenu wamezaa na watu wengine mkae mkijua tu wanapasha viporo kama kawaidaaaa. Hilo liko wazi.

Nikaja tu kuacha mwenyewe hii tabiaaaa. Sijui kwanini niliacha ila niliacha tu. Si mnajua mambo ya mjini. Na yeye akacha kunitegaaa kabisaaa, tukawa reponsible parents. I couldnt agree more. I guess baada ya marudio akaona nothing was special after all.

Nikawa reponsible hubby once again. Sina koloni wala mchepuko, wala wizaraaa ya mambo ya nje yoyote. Mimi ni Man of my wife and my wife only. Sina michepukooo kabisaaa. Nilikinai tu mwenyewe uparuanjaaa. Nikawa dedicated hubby to my wife and kids. I got another hobby nikaamua kulima, na kuinvest anything to keep my mind focused in chasing the papers.

Nikiwa nietulizana na wife sina hili wala lile, kukawa na ugeni kutoka umoja wa Africa AU. Sikutegemea sanaa anything different katika hiko kikao. Katika kuuchungulia ugeni kwa mbali nikaonaa binti mmoja matata sanaaa, mdogoooo, agu mkaliiiii, hatari sanaaa. Afu unaambiwa boss wa AU huko nchini kwake. Daah! Kuna mtu pembeni yangu akasema Mungu atusaidie wanaume kutunza ndoa zetu vishawishi ni vingi sanaa.

Nikamtoa shaka, ndugu yangu hawa wanwake heads wa country sio size yetu ndugu yangu. Sisi ni diplomatic workers sio DIPLOMATS. Dont get it twisted. Wewe unavooona yule demu ndo head nchini kwao analipwa ma billion mangapiii? We utampa nini ndugu yangu. Sisis level zetu za chini ndugu yangu. Level zile we can only admire.

Ukaja utambulisho wa staff tutakao assist huo mkutano. Mi nikawa naongea English yangu ya bongo Ze, Zis , Zat sina pressure, kingleza lugha za watu zilikuja na majahazi. Yule demu sasa ambae ndo eye cnady wa huu mkutano maana she wa only 29 afu head nchini kwao tayari. Katoka Central Republic. Afu ni muzriiiii hatariiii. Rangi zangu zile zile kama kachanganya changanya na warabu. Alinitoa udende nikasema akini beep tu kama vipi nampigia nampelekea moto. Akaniambia yeye anajua zaidi ki Faransaaa. Niongee taratibu.

Na mimi tena sema neno moja tu dada wewe na miminitatelekeza. Nikawa naongea nae taratibuuu. Nikaenda kukagua facility za mkutano nikajua kila kitu kiko byeee. Nishakata tiketi ya kurudi kwa wife Mercy huku jmosiii. Sina makuu. Level zile dare devil ndugu wasomaji. Ijumaa nikaambiwa kuna conference Jmosiii ya kustukizaaa na hakuna maandalizi afu sehemu ya mbali huko, hotel ya kitalii.

Nikaenda kuinspect premises, na kuset mitambo fastaaa. Mpaka usiku nafanya hio kazi ikawaaa byeee. Na wale wageni wakawa washafika huko hotelini, wakaja conference simnajua wenzetu wanapenda kujifamiliarise na venue. Yule mtoto nae akawepo. Ilikuwa mtihani. Nikamuona anakuja pande zangu kidogo nivue pete niitupie kwenye maua, nikajikaza tu. Akanisalima fresh. Nikajichanganya humo humo. Nikamchomekea lunch. Mwanaume azima uwe jasiriii.

Akakubali lunch. Safari nikaiuaaa hapo hapo last minute changes si mnanijua tenaaa. Conference ilikuwa half day. Nikaenda nae lunch. Ananiulizaa about me, nikamwambia tu i am married, 4 kids. Akshangaa 4 kids wote hao vipii mi najikakamua. Nacheza google translator kwa kwenda mbele. Mbele ya uchi hamjui ujasitri wangu. Akaniambia yeye yuko engaged na Mwanajeshi mkubwaa tu huko Africa ya kati wanategemea kuoana ila she wont zaa 4 kids for anybody. Hhahaaaaa. Lunch ikaisha bila bila.

Nikaenda Dsm mchana, nikarudi Jpili. Nikawakuta wenzie yeye hakuwepo, nikajitolea kuwatembeza Nairobiii na viunga vyake. Ikawa fun tu. Si mnajua we only live once. Nawarudisha namkuta, akalalamika sanaa yeye nae anataka kutembeaaa mda huo huo ikibidi she is bored na nini. Nikasema we swala jilete tu kwa simba. Ila honestly sikudhania i have a shot with her. Nikamtembeza usiku mwingii, na kumrudisha hotelini kwake.

Kesho jtatu, nikamchokoza tu kwamba namtreat out, my treat akakubalii. Nikamzungusha Nairobii usiku kuchaaa, mpaka saaa 7. Mpaka mda huo hata hug hakunaa ndugu msomaji. Mjielewe kwamba mtu kama huyu sio kuku wa kienyeji hawa unawapeleka bei poa sehemu hazina hadhi. Huyu ikiwa your treat jiandae bank kuvunjikaaa. Poteleaaa poteeee, najilipuaaaa.

Saa saba nikamuaga cause kesho J4 naenda Dar kikazi na weekend niko na mama wa 2 yote, na wao wanaondoka jmosiii so it was OREVWAA! Akaanza kujilalamisha hatuto onana tenaaa, sijui nini, kaanza kunizoeaa, mimi nikawa nambembeleza akalale. Katika ambembelezano akaniegemea beganiiii. Mhhhh! Kma arefa alipuliza kipengaaa cha kuanza mpira tena wa finali.

Nikamla kwanza mateee. Nikaona napewa ushirikianooo ndugu msomaji.Msitake kujua Abdallah kichwa wazi alivokuwa na kirangaaa, sijui alijua ile ni international pussy sijuii. Nikajishtukia tu mwenyeweee. Nikamsogeza kando kwanza. Nilijua sina game plan, nikahitaji dakika za niongezaa, ile international pussy bwana hutakiwi kuwa na appara na zile ni papara.

Akashangaaa sanaa. Nikamwambia tu my favourite line of all times, I AM MARRIED MAN, sipendi kujiendekeza udhaifuuu huu, nikimpa mambo nitakuwa namtumiaaa tu, and that was not who i am. Nyokoooooo! Akaonesha kuelewaa somo. Ila bado anataka nimpige miti. Dushe langu lingekuwa na uweoz wa kufanya mgomo na mapinduzi juu ya ubongo wangu siku hio lingetamka acha usengery wewe. Sananaa sanaa lilikomaa kusimama wima kama limetuwaaa. nikajizoa zoa nikaaga.

Kesho nikaenda Dar, nikamshukuru Mungu nimeacha uzinzi rasmiii. Kama papuchi ile nimeinawa hakuna papuchi nitakuja kula tenaaa hasaaa hizi local. Naona shetani mwenyewe alipinga mtokeoooo kabisaaa kabisaa. Ijumaa ikaja email Jmosi Nairobii man, Nairobi maan. Ndipo nilipopata uhakika the devil is helping me out so that he can burn me in ashes in peace.

Mda wote niko dar mi chat kibaooo, simu, namuendekeza cause najua Nairobi itanisikia hewaniii. Na nikitia maguu ile kazi ishandokaa na huu wito wa ghaflaaa, sikuwa na uhakika wa kuponaaa. Maana mda wote anasema anataka kuja dar, kidogo nimwambie njooo. Nikajikazaaa.

Sikumwambia naurudi Zbar, ila ikanilazimu nikakague facility, kufika, nikamkuta mtoto, alifurahii hakuna mfanooo. Mchana natoka kaniwahi tutoke wote. Nikasea Shetanii shetanii sipendagi majaribu ujueee. Mmmmhhh! Tukatoka tuakenda mjini kula na nini, nikamrudisha hotel, akagomakushuka kwenye gari, anataka akae na mimi. Kesho anaondoka hapo.

Sipendagi ujingaaa, nikamrudisha mjini, namuuliza unataka nini maddamee? Anachotaka yeye ni dudu tu. Nimpige mashineee. Hivi wanaume wenzangu wasomaji mna zali kama mimi au ndo nina nyota mwenzenu sio kwa mazali haya. I had to pinch myself this lady is head wa AU kwenye nchi yakeee. Tumekaa mjini mpaka saa 8 usiku tunacheza kidali poo tu.

Saa nane nikampeleka hotel ingine huko huko mjini, nikamwambia tunalala bila kugusanaa, i ama married and commited. Dudu nalo kwa sifa sasa? Linasimama wima wima. Jamaniii. Nikaweka mito kati kati sipendagi ujingaaa kabisaaa ndugu momajiii. Naziba tobo la panya kwa mkate. Sipendagi ujingaaa.

Akajitia Undertaker kuvuka mpaka wa mto, kuja kwa King Mabele hukuu, namuangaliaa tu, namchekii tu. Kwanza kavusha mkono nikamuachaaa, akavushaaa paja. Nilimrukiaaa ule mruko wa ghaflaaa, nikampa mateee kwanza ya mfululizooo mfululizooo, nikaenda sikioni, kumvuruga tu, nikashuka mpaka kifuaniii, afu nika pause kwanza kumuangalia machoni, ni yeye huyu head wa AU au house girl wake. Nikajiridhisha ndie haswaaaa.

Nikajiinua kwenda kuoga kwanza, how can you underatake a diplomatic mission dirty. Kiukweli nilienda kupiga punyetooo, nalijuaaa goli la kwanza lilivo na kirangaaa. Ningelichea wazungu wangekuja siawekaaa, sio kwa toto lile, afu boss la AU. Hii ni diplomatic mission and my country's honor is involved siwezi kuaharibuu kama wanaume wa Kikenyaaa. Itakuwa aibuu ya kitaifaaa.

Akaenda ane kuogaaa, kujiweka sawaaa na mechi ya finali. Akaja na moto nikamuuliza wapi Condom. Anahaha call reception, ana bong'aaa French mwanzo mwisho, chezea hamu ya dudu. Namwambia hawatoi hio huduma maddame. So the game is off tulale tu. Bien! Hakubaliii! Akapanic hatarii anabonga French mwanzo mwishooo. Nikamwambia okay hapa maddame fore le play basi kama hutaki sepaa. Akakubali fore play tu. I dont know what i was thinking.

Nikampelekaaa mperaa mperaaa nampa mambo adimuu, kalegeaaaa hatari hatariii, namkumbusha Désolé bébé, pas de capote, pas de cochonneries nikimaanisha no condom baby sorry. Anachanganyikiwaaa vibaya vibayaaa. Nikalala kwanza. Mda huo saa9 usiku, nilikurupuka nikaingia kitaa kusaka condoms, hamuwezi aminiii. Ukimwi bongo umepungua ila nchi zingine sina uhakika sanaa.Afu toto lilikuwa tamu lileeee, tamuuuu vibaya mnooo. Kulinawa tu nafsi yangu isingeridhika na dushe hasiraa yake lingeweza kususa likaamua kuwa hanisi jumlaaa jumlaa, sio kwa kunyimwa show ile kizembe zembe.

Hamuwezi amini Nairobi jiji kubwa nilikosa condom kabisaa kabisaa kabisaa. Niakrudi na kasi mpya, nilimpa fore play, nikazama mpaka chumviniii. Nikahakikisha kumelowaa kumelowaa kweli kama Ukimwi basi huyo virus atakuwa kanipaniaaaa. Ananilia tu kifaransaaaa. Mwanzo mwishooo. Nkapitaaaa, na bao la kwanza nishalitoaaa, nikapiga non stop show, 2 in 1. Analia machoziii. Mwisho nikamuuliza nimekuumiza Maddame!

Anatwetaaa, you took me to paradise, je suis au paradis na kilgha cha kwao humo humooo. Kama bendera ya taifaa niliipeperusha haswaaa. Hatokaa atusahau wanaume wa kibongo. (Napokea mismaa ya watu walioniombea bushaa.) Nchi niliotoa kimaso maso. Kesho akaenda kunua souvernier nikamlipia, i always pay for my pussy. Alaways, diplomatic or not. Jioni nikamsindikiza Airport just to let everybody know hata wale maboss wakoraa I smashed that pussy, ndo hivo yani. Alivopaa nikapanda ndege kwenda kwa wife. My lovely sweet wife.

NOW YOU CAN CURSE ME.

ITAENDELEA KESHO. (hIIS TORY NDEFU SANAA, NATAKA KUIFUPISHAA WADAU.)
 
Afu mnaoniomba namba ya man of the peopleee tulizeni nyege, mtakufa na ngomaaa, hiki kina kirefuuu mjue. Kwanza man of the people condom zinambanaaa mjue, mtaweza kujikaza. Niwape namba nimerogwaaa! Hahahaa!

Ila wanawake man of the people anaomba ushauri na ufirauni watu ndo kwanza mnataka namba jamaniii. Aaaah jamani tema No Free P, man of the people niachieni mimi.
 
Back
Top Bottom