Hahaha naona MOTP kaliwakilisha Taifa vyema anaweza akapewa uwaziri kushughulikia sekta hiyo the teh.
Sikuwepo kidogo tu kurudi all over the sudden noana watu wote wamehamia timu MOPT! Ama kweli mchawi dollar, hirizi mzigo tu!
Nichukue nafasi hii kuwapongeza timu roho mbaya at least wanamsimamo tuungane pamoja kukataa huu umaaluni wa MOPT tabia gani mtu hapitwi na pichu nzuri mbele yake akaiacha? Afu kutwa kujivictimize kuwa kaanzwa heeeee jamani. Muanzaji yeye ni vile tu haji direct hahhaa.
I love me some MOPT but not for me, hii ni sawa na kusema hii nguo nzuri but for you,sio mimi pamoja na kuwa responsible father n' husband lakini bado sio mzuri kwangu yaani jamani hakuna Mke atakayekubali Mumewe awe kama MOPT huwa tunakubaliana na hali anyways lakini HATUPENDIIIII. Muda mwingine mtu unakubaliana na what circumstance have given you ila kusema umeridhika! not on this Earth labda Jupiter huko hahhaha.
Na nyie timu PM mnavigezo lakini? Isiyekuwa unaaply kazi anyways mkumbuke MOPT kala international papuchi huyo hahha.