Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Hapana, kila mtu ajiombee mwenyewe. Sisi wenyewe tunakutana na bahati mbaya nyingi tu, shahidi yetu mkemia mkuu. Wanaume Mmezidi kujiendekeza, yani ulale na mwanamke kitanda kimoja afu baadaye usingizie bahati mbaya.
Hiyo bahati mbaya kwakweli hata shetani anashangaa.
 
Uso kwa uso na cougar.

Yule boss wa UN, akawa kadataaaa sanaaaa. Mnooo mnooo. Anapiga simuuuu kwa fujooo. Namkumbusha si nilikwambia nimeoa dear, mbona pupaaa sasa na fujooo. Boss haelewi kituuuu. Anadai anataka atume tiketi go and return, first class niende Rwanda tukapigane mitiii. Si majaribuuu haya makubwa. Everything on her.

Kiukweli ningeendelea kumla for a little bit longer ila sikutaka kwasababu za kiofisi. Yule dada boss mkubwaa, ma boss zangu wanamtetemekea. Anakaa meza moja na Ban Ki Moon , Antonio Guteress, presidents of countries anakula nao dinner kwake ni just like the other day sijui mnaelewa how big her world was. On the other hand mimi naweza kuwa big time kwenu, man of the people wenu, ila kwenye level za dunia mimi bado sanaa. Labda tuseme mfagizi wa ikulu.

Story zake, in this dinner with the President of wapi, mara birthday with the prime minister of wapi, baby shower with the first lady, mambo kama hayooo, makubwaaa, mazitooo, ya kutishaaa sanaaa. Mara this other day i was speaking to Melinda gates, mara Michell Obama, mara Mke wa Bush madude kama hayooo. She was not my level, nimebahatika kuonja basi inatoshaaa. Kupewa kuonja nisijitie kuvunja sahani.

Wanawake ukienda wanavotaka utafaidi sanaa, ninhesema nimtumie dada, it was a phone call away mimi ninhekuwa diplomat. Mashangaa naitwa tu kuapishwa kuwa balozi wa central Africa. Maana anakwa, raisi wa central Africa ni family friend, sasa ningempiga show mojaaa ya kibabe na kumwambia kama unanipenda ongea basi na prezidaaa wako, ampigie simu Magu, nije niwe balozi wa central Africa sasa mnadhani kingeshindikana nini kwa mfano.

Navosema i have made big sacrifises for my wives muwe mnanielewa. I was one sexual conduct away from a diplomatic post. But i gave it up, for the honor of my wife, sitaki kupata positionza hivo tukifika huko wife afanyiwe ma attotude au naambiwa muache mkeo huko huko bongo. Ningekuwa bandidu ningemganda yule dada kama lubaaa. Namkana mke wangu wa 1 na wa 2 mchana kweupeee na watoto nawakana nitazaa wengine, nautoa kimaso maso ukoo wangu kwa kitoa balozi wa kwanzaaa katika historia ya ukoo, mkwe head of AU, kwa Magu tunaingia kama stooo, do you realise the opportunity i had to pass so that i can go back home, to my dear wife?? Sijui kama mnanielewaaa.

Sikutaka kuendelea kumgonga cause nishaamua ile cycle ya Mercy haijirudiiii tena. Mimi na Mercy tutazeeka pamoja na tutazikana. Na boss nikimzingua ile ile hashindwi kuongea na prezidaaa wa kwao, akampigia Magu, kuna bazaziii moja huko limemtatua marinda binti yangu, sasa naomba ulishughulikie. In return utachukua plot ya timber, perhaps utamchukulia na Bashite pia hata na Gambo maadamu umshughulikie huyo bazazi. Magu atakuwa Ok, consider it done.

Mwanawane unashangaa tu inakuja barua official toka ikuluuuu, ikisema kwamba MAN OF THE PEOPLE UMEPATA PRECIDENTIAL APPOINTMENT YA KWENDA KUWA KATIBU TARAFA WA IKWIRIRI, WILAYA YA KWIMBA, MKOA MPYA WA SIMIYU. UTAREPORT DIRECT KWA BASHITE HII NI DIRECT PRESIDENCIAL ORDER, NA APPOINTMENT HII NI EFFECTIVE UTAPOONA NUKTA, UWE KWENYE NDEGE. Hahahaaaaaa. Team roho mbaya naona ,ngeimba mapambiooo.

Naijua hii michezo ya wadada, ukiwapa dushe afu usitake kwenda nao sawa, haswa hawa privillaged sio wa kuwajaribuu hata kidogo. Watakuonesha kaziii mpaka utafurahiii. Nikakataa kidiplomasia tu kuwa hio weeke atakayokuwa Rwanda kuna mkutano na SADEC so nitakuwa nafanya kazi. Akalalamika, tukaachana. Akaja kusema kacheki kakuta hio meeting mbona haipooo ni kanya boyaaa, yeye kama yeye kaongea na director wa SADC kamuhakikishia hio meeting haipo. Kidogo niseme ni ya ECOWAS ila lazima angesema nimeongea na director wa ECOWAS. Nikajiumaa uma uma pale mtu mzima na kusema nitafikiria hilo swala kwa kina.

Yani boss alinigandaaa kama lubaaa, sijui niwaambiaje. Akaja kuniambia kaachana na Mjeda just for me! Khaaaaaaa! Nikaona ile barua ya Ikwiriri iko karibu kuliko navidhani. Mzee baba nikawa bado najikazaa. Nikaongeza mashamba just in case, nikaanza kulima ufuta, vitunguu, nynya, tikiti, chochote mi nalimaaa tu, soon, sooner than mnavo expect ndugu wasomaji MOTP atakuwa bwana shamba .

Mara aniambie kuna game nachezaa inaitwa Bignames, ambayo unajaza info info alafu inakupa herufi ya yuor future spouse. Na amecheza website 3 tofautiii, zote kapata herufi M ambayo ndo MAON OF THE PEOPLE, madai yake even the heavens are rulling on her favor. Probability zote 3 haziwezi kutoa prediction moja kama hakuna nguvu ya universe. Kila akiongea ujinga wake mi naionaa baruaaa ya ikwiriri iko karibuuu.

Nikaanza kumuandaa mke wangu Mercy kisaikolojia kwamba nafikiria kufanya maisha mengine, sio kiwa diplomatic worker milele. Sasa Mercy hanitegemei mimi kuishi hata kidogo, by this time yeye ni Director bank kubwaa tu. Ana mahelaaa, sina uhakika mimi na Mercy nani anamzidi mwenzie kwa pesa. Me and my wife money has never been an issue between us. Kubabanana sijui unapata bei gani, hatunaga hizooo kabisaa.

Na fact Mercy is very understanding mimi na watoto wengine wanao nitegemea, na mijitu mizima mingine kwenye ukoo inanifanya nimpende zaidii na zaidiii. Kuna kipindi nilikuwa nawajengea wanangu Nyumba wale wengine, sikutaka kujenga kwa siri, cause nishajenga nyumba ingine ambayo ndo ya watoto hawa na Mercy infact nina nyumba nyingi in my own name, ila ile project ilikuwa specific kwa wanangu wale, na zilikiwa nyumba 2 katika kiwanja kimojaaa za ghorofa.

Na nili shitikisha nawafanyia kina flani hii project, akasema sawa, nikamuo esha tu site, just incase nikifa ghafla vitu visipotee bure. Nikaka mda sijaenda site wala sijapeleka hela, natombaa tu vimwana mjiniii, nikapakumbuka siku nikasema niendeee. Nikakuta Mercy ameendeleaaa pakubwaaa sana. Niliacha nimemimina msingi tu, nikakuta kapandisha na kaanza finishing. Nilifarijika sanaa. Ndo maana navowaambia nampenda Mercy mnaweza niona mzugajiii ila toka moyoni nampenda sanaa. She is a blessing to me. Hata angempa mwanaume mwingine ningekosaa kitu kikubwa sanaaa. Ndo maana nitaenda kote mwisho wa siku lazima nirudi kwa Mercy, queen of my heart.

Na mimi mwanamke yoyote akininunulia au kunilipia bill, sijisikii amaniii kwanza sikubaliii hata siku mojaaaa, ila Mercy akinilipia nakulaa, bila kujishtukiaaa. Na akininunulia kitu na enjoy sanaaa, sanaaaa. Sio mwanamke mwingine yoyote. Mke wangu nampenda sanaaa acheni tu. Basi tu tabia zangu ,da mwingine chafuuu.

Nikamwambia nimechoka kuajiriwa, i was thinking nijiajiriii, nilitegemea anitimue mbaliii. Maana kuna mshkaji wangu alimwambia mkewe anataka aache kazi, kazi yenyewe ya kipuuzi tu bima za wahindi huko, achukue mafao afungue kampuni ya car rental. Mke alimtimuaaa mbaliiii. Mkewe anafanya na Mercyna ni boss. Palichimbikaaa. Jamaa akaacha anyway afu biashara hazikwenda ilivotarajiwaa. Alisoootaaa. Mkewe ana acess ya kukopa hadi 600m ila hakumkopea hata kumi, anasema nilimgomea kuacha kazi kiranga chake. Jamaa akapambana, pambana, na saccoss, michezo ya kibatiii, mpaka kampuni ikaja kusimaa. Ni one of the biggest rentals mjini hapa. Jioniii mkewe ndo antaka kununua shares aweke capital. Jamaa alimtimuaaaa mbaliii. Akamwambia wewe ni mke wangu, tumetoka mbali, niwe hai, nife kesho hii kampuni hutopataa hata senti 5, haikuhusuuuu kabisaaa. Ni yangu na wanangu. Na kaandikisha kwa lwayer kabisaa hata akifa mkewe sipewe hata senti, wanae tu.

Mkewe sahivi ndo mke boraaaa hakuna mfanooo. BEHIND EVERY SUCESSFUL MAN THERE IS WOMAN ILA BEHIND EVERY FAILLED MAN THEIR IS HIS OWN STUPIDITY, EGO, AND CURSE. HAHAAHAHAAAAA! SHAMBA LIKIWA NA BANGI LAKO, HUIAMBII SERIKALI CHOCHOTE HIO BANGI NI YAKO TU SABABU IKO SHAMBANI KWAKO, NA TAKA USITAKE SHAMBA NI LAKO. ILA SHAMBA LIKIKUTWA NA DHAHABU NI LA SERIKALI, HUIAMBII CHOCHOTE SERIKALI, SHAMBA NI MALI HALALI YA SERIKALI KWANZA ARDHI YOTE NI MALI YA SERIKALI. Hahahaaaaa.

Alikuwa so supportive, ananitia moyo kabisaaa, ni wazo zuri sanaa. Chochote nachotaka kufanya ataniunga mkono. Yeye hana neno kabisaa. Mpaka nikawaza hivi nachoshindwa kutulia na mke wangu and just be happy ni nini jamaniii. Mke huyu sio pasua kichwaa, ni ndoto ya wanaume wengi sanaaa. Afu mi namfuja fujaaaa. Akaniuliza unaacha lini kazi? Nikamwambia kuna mambo nayaweka sawa. Nitamtaarifu. Moyoni angejua naweka sawa mambo ya boss wa AU sijui ingekuwajeee.

Umalaya nikawa nimeacha kabisaaa, kabisaaa, kabisaaaa. Nahisi baada ya kumgongaa boss nikawa nimefikia climax ya umalaya. Ukishakula nyuchi international kama boss nyuchi zingineee unaziona down grade kabisaaa, kabisaaa. Yaani unaona najichoshaa. Ni side effect ya kupata nyuchi kiwango cha juu ni kama msanii akitoa wimbo uka hit sanaaaaa kama Starehe wa Ferouz au Muziki wa darrasa, inakuwa kazi sanaaa kuja kuifunika kazi yake ilio hit. Anakuwa kama anajiwindaa mwenyewe.

Na mimi ndo boss alikuwa kanifikisha climax ya uamalya. Kila mwanamke akjipendekeza naona kama hafikiii kazi yangu ya mwishoo. Naona kama badoooo. Badoooo. Sio kwamba mazali mazali haya ya kitaa nilikuwa siyapati, napata kibaooo tu, ya kutoshaaa, sema napotezea kibingwaaa. Alafu wanaume hamjajua tu mizali ipo sanaa sema we dont just pay attention. Ukisema u pay attention utakimbia mwenyewe. Mi hii niliopiga ni zile penalty tu, kuna goal kick kibaoo nimezikwepaa, kona za kutoshaaa, mipira ya adhabuuu. Mipira ya kurushwa ndo msisemeee.

Nilikaa kitambo kweliii bila kufanya kazi yoyote ya nje, sana sana napigana siasa na yule boss. Sema nini fimbo ya mbali haiui nyoka. Yuko mbali afu yuko busy hakuna mfanooo. Kila siku anasema hajawahi kupigwa show kama niliompiga mimi. She cant wait to be with me again.

Nikiwa katika mahangaiko yangu ya kila sikuuu. Nikawa nimepita tu chobingo moja huku Naiii kwa mmbongo mmoja anapikaga pale mapishi ya kibongo. Yananogaaa sanaaa. Nikawa nimeenda kula sina makuuu. Kukawa hamnaa watu kabisaa zaidi kuna dada mmoja tu. Rangi ya mtumeee, na ana tako ule ule ugonjwa wangu.

Kama nilivowaambia mimi siku hizi nakula vya kuchinja tu vya kunyonga siviweziii. Nikawa nakula, nikamsahau kwanzaaa. Nikiwa nakula nikaanza kuhisi sensation, ya kama design mtu ananikodolea mimacho. Nikasema nimvizieee, kila nikimchungulia na jicho pembe, Nikamuona ananiangaliaaa, yaani kanitoleaa macho kabisaa tena hajibaniiii.

Nikawa very uncomfortbale, wakati nalipa bill yangu, nikaseme nimlipie soda, hiz hizi Coke, maybe ananiangalia ananijuaa, au tulisoma woote shule ya msingi nikawa mbele yake afu nimemsahau, ndo maana anajitahidi kunitazama, ukute anaona nina madharau tu. Wacha nimlipie soda maana alikuwa haliii kitu zaidi ya hio soda ajue nimemkumbukaaa.

Nikijiandaa kuondoka akaja, kaka nshukuru kwa kunilipia hii sodaa. Mi naitwa Naima! Nilishangaaa, anyway nikasema probably anaijua huyuuuu. Nikamwambia mi naitwa Man of the people. Nikamuaga fastaa fastaa sikutaka mazoea. Akaniambia naomba namba yako kuna kitu nataka kukwambia. Nikastukaaaa sanaa! Nikawaza ma 2. Moja huenda changudoa hawa advanced, wadangaji wanatafuta madanga, au ananijuaa seriousss.

Ujasiri wake wa kuniomba namba kiugumuuu, kisa tu nimemlipia sodaaa, ulinitishaaa. Nikaamua kumpa namba nione mwisho wakeeee.

ITAENDELEA KESHOOO
 
Man of the people, hii stori ikiisha hujamtafuna Lara 1 ntaamini maombi ya team roho mbaya yamefanikiwa. Ntaamini umepigwa kipapai umekua hanithi maji baridi al-maarufu kama kuku wa kuchora!


Haiwezekan mambo yakimgomea akutafute, alafu papuchi usile.

A shoulder to cry on, can be a dick to ride on!

Ila huyu tarime one huyuuuuu!
 
Nimekumbuka lile lijisongi "who let the dogs out..who.whoo..whooo...unaambiwa ni fungulia poppy...MOTP amewatembezea dudu wadada hatari😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom