Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

MOTP wengi tunamsupport sababu ni mtu wa standard na siku zote mwanaume usipoelewa uko level gani na unapaswa kufanya nini am sorry for you.

Anajua value ya familia yake kama baba na value ya mke wake pamoja kwamba yawezekana kwa namna moja kuna demu alimkaza ana maku bora kuliko ya mke wake but still hajawahi shusha value ya mkewe au kutelekeza familia yake.

Man of understanding,anawaelewa viumbe wa kike kwamba ukiwaendekeza na kuwasikiliza hawa side chick unapotea kabisa hasa kwa mtu mwenye pesa zake afu anajua kupuliza pipe wanakuganda kama kupe ila jamaa anawapiga chini kimtindo na kurejea home kwa wife wake.

I like this guy[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Anaijua value ya mkewe na familia!!!!! Damn you men!! Hapo hiyo value iko wapi kwa mfano!!!
 
Hapa kuna dalili ya kuambiwa Snowden amechikichia na file lililobaki....huyu MOTP kwanza malaya tu, ulokole zamani. Sasa mtu gani hapitwi na walimbwende? Mwanzoni anavinga ooooh my wife sijui my kids mwishoni anatafuna kondoo.

Siko team roho mbaya ila naunga mkono maombi ya advanced busha accompanied with tezi dume
Tena malaya wa kitaifa na kimataifa, na hapa lazima kuna mafile mengi tu hajayaweka wazi, kaongelea zile classic tu ila lazima there is more than that.
 
[emoji2] [emoji2] jamani ni maoni yangu kama mme mwenye majukumu,kuna jambo moja tunalojisahau sisi wanaume hasa tunapopata side chick mwenye standard zake,anakupa vitu adimu unachanganyikiwa matokeo tunasahau value ya wake zetu na kuanza kuwapondea dah! I hate this tabia,kula mpapa utosheke but put your wife value ahead.
Hiyo value unayoput ahead ni ipi sasa kwamfano!!!
 
Nimeisoma,huyo MOTP hovyo kweli, hiyo gia yake eti ngoja nimpe nione mwisho wake!! Anavyojisifia kumpenda mkewe sasa!! His definition of love kwakweli sio ya sayari hii.
unadhani huwa hawapendi wake zao basi wa nawapenda kiama ila basi tu umaaluni wa kiumeni
 
Mme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?
Ndio hapo tusaidiane kushangaa!! Tena anakitembeza hatari, alisharisk kwa kutembea na muathirika tena kwa kujua ameathirika kizembe tu, hivi huyu unamuweka kundi gani!!!
Hawa ndio wale wanajua mke anahitaji kula na kulala vizuri na kudrive gari zuri basi amemaliza, watoto wao wale vizuri,wasome pazuri mengine atafanyia through phone basi!! Basi hapo anajiona boonge na mume na baba, kumbe hovyo kabisa.
 
Tena anajisifu ni mume bora na anahudumia familia vizur yaan wanaume wa hivi ndo wakuwaombea tezi dume lisilotibika mfyuuu zao
 
Mme anaejali familia yake, kumjali na kumpenda mkewe ata cheat?

Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?

What are your priorities ladies?
 
Back
Top Bottom