Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Weekend Story! The Man of the People love triangle!

Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?

What are your priorities ladies?
Hakuna ubora hapo. Ukishakuwa mume au mke lazima utambue mipaka yako.
So mume anaejitambua wala hawezi jikuta njia panda.
 
Angalau episode ya leo ... Man hajagonga kichwa loo wew MOTP hio zipu ya suruali hako siipatii picha kama haijasagika ... Maana sio kushusha na kupandisha kila ep
 
Hapa kuna dalili ya kuambiwa Snowden amechikichia na file lililobaki....huyu MOTP kwanza malaya tu, ulokole zamani. Sasa mtu gani hapitwi na walimbwende? Mwanzoni anavinga ooooh my wife sijui my kids mwishoni anatafuna kondoo.

Siko team roho mbaya ila naunga mkono maombi ya advanced busha accompanied with tezi dume
Ubarikiwe sana mtumishi
 
Ndio hapo tusaidiane kushangaa!! Tena anakitembeza hatari, alisharisk kwa kutembea na muathirika tena kwa kujua ameathirika kizembe tu, hivi huyu unamuweka kundi gani!!!
Hawa ndio wale wanajua mke anahitaji kula na kulala vizuri na kudrive gari zuri basi amemaliza, watoto wao wale vizuri,wasome pazuri mengine atafanyia through phone basi!! Basi hapo anajiona boonge na mume na baba, kumbe hovyo kabisa.
In that case kumpelekea mkeo magonjwa ni kumvalue pia; God forbid
 
Kumbe ishu ni kucheat? Kwahiyo bora mwanaume asicheat lkn akiwa hahudumii familia vizuri, Hana time na wewe na watoto ni sawa as long as he doesn't cheat?

What are your priorities ladies?
So it's ok mume kucheat as long as anaihudumia familia yake? Kwani Haiwezekani mtu kubaki faithful kwa mkewe na kuihudumia familia yake vizuri?
 
JAMANI EEE

Nyie wanawake mnaungana huko team roho mbaya mnapretend to be holier than the pope himself!
Subirini siku Mercy nae akiamua kumwaga mafaili yake, mtapoteanaaaaa

You guys are not saints hahaaaaa!

---team MOTP---
 
Nakuona Nakuona MOTP in joti voice
 
Back
Top Bottom