Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
2. Tupia nyimbo yoyote ya harakati ya kuburudisha au kutia moyo tukielekea D9.
2. Tupia nyimbo yoyote ya harakati ya kuburudisha au kutia moyo tukielekea D9.
Kujiuzulu kwa mmoja wa viongozi wakuu1. Tabiri habari kubwa itakayotikisa mwezi Disemba na tutakayofungia nayo mwaka
Nas - One MicKujiuzulu
2pac 1992:
It's sad, binafsi naogopa, naomba kusiwe na ukatili in December.1. Nil
2. Africa for Jesus.. Makomborero
3. Wajilinde.. misiba tuliyozika inatosha
Hiyo No 5, na mimi nina swali hilo hilo4. Nil
5. Wanamtaka nani akalie kiti cha Uraisi..
Sawa mkuuNasoma maoni yenu