Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Watajua wenyewe

Mtu unatushiana misuli na boloyanki wakati fidodido.! Unatakiwa uwe blucelee kwelikweli

Hata Dame na Alex kama sio huruma za producer Dame angekufa kwenye Double impact

Me nilishauli waende chimbo wachie usumbufu watambuane wajipange wapate udhamini kisha kinuke.!

Yaani wasiishie mtaani tu wakwenda kwa ikulu wanamteka bi ushungi wasepe nae kisha nchi inakuwa yao bila kusumbua mama ntilie na Wabeba zege

Wao wanakaza fuvu kwa diaspora, wataishia kuwa migambo wasumbufu tu hawana jipya
Acha wajaribu huu mkakati wao, wakifeli basi watakua na utayari kufanya kama wale wanajeshi wa Guinea juzi.
 
Acha wajaribu huu mkakati wao, wakifeli basi watakua na utayari kufanya kama wale wanajeshi wa Guinea juzi.
Shida ni gharama.!

Wakati wao wanajitafuta kwa vurugu ndugu zao wadogo wenye utegemezi wataangamia wakati ndio wanao wapigania

Itoshe kusema ni biashara mbovu
 
Mambo ni matatu tuu. 1. Katiba mpya. 2 Serikali ya mpito. 3 Uchaguzi urudiwe.
💯
Ms Pat GIF by BET Plus.gif
 
Back
Top Bottom