Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Kwa umri huu mimi siyo wa kuitiwa vibandani buana 😅😅😅Toroka basi uje, nakusubiri hapa kibandani
Kwa umri huu mimi siyo wa kuitiwa vibandani buana 😅😅😅Toroka basi uje, nakusubiri hapa kibandani
Sijawahi kuielewa hiyo show 😅 ila nimemaliza kuangalia Absentia 😅Karibu tucheki series inaitwa stranger things 😎 season 5
Hata uzeeni, hii lazima nitaijaribu tu 🤣🤣😎😎Pale patamu sana atii
Badala ya kukesha kwenye kiuno cha mtoto wa mama mkwe nikakeshe baa kweli 😂Hii Weekend hakikisha Unakesha BAR, maana huenda weekend nyingine ikaja Next year.
Absentia kwa mbali inataka kufanana na fringe enewei au haupendi horror 😎 stranger things ni Moja ya series tamu piaSijawahi kuielewa hiyo show 😅 ila nimemaliza kuangalia Absentia 😅
Baelezee baambie baeleweBadala ya kukesha kwenye kiuno cha mtoto wa mama mkwe nikakeshe baa kweli 😂
Napenda true crime na investigative movies, horror zinanitisha, nina karoho kadogo 😂 😂Absentia kwa mbali inataka kufanana na fringe enewei au haupendi horror 😎 stranger things ni Moja ya series tamu pia
Acha kunitenga, furaha nitaipata wapiKwa umri huu mimi siyo wa kuitiwa vibandani buana 😅😅😅
Unaijua Mindhunter?Napenda true crime na investigative movies, horror zinanitisha, nina karoho kadogo 😂 😂
One of my favs 🔥Unaijua Mindhunter?
Siwezi kukutenga mzee mwenzangu, ila wewe vibandani unatafuta nini tena 🤣Acha kunitenga, furaha nitaipata wapi
Mule nilimpenda sana WendyOne of my favs 🔥
Yeah mimi pia, ilikua show nzuri sana!Mule nilimpenda sana Wendy
Hahahaha umekumbuka wapi? Mkuu nijuze stori za zamani Huwa Zina nipa pation flan hiviUmenikumbusha mbali sana
Baadae basi ngoja nipate herbal hapa 😎Yeah mimi pia, ilikua show nzuri sana!
Basi nipe sahivi ili tumalizane KABISA niingoe vitani na energy ya kutoushaaaaa💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫵❤️🙏Ukifa je?
Mtwara, sikumbuki mwaka, nilienda huko kikazi na sehemu ambapo tulikua tunaenda kula walikua wanapiga sana huo wimbo kipindi hicho EATV inaitwa Channel 5.Hahahaha umekumbuka wapi? Mkuu nijuze stori za zamani Huwa Zina nipa pation flan hivi
Si bure, kuna mtu atakuwa ameniwahi hapo, ngoja nipambane na wanzuki tuSiwezi kukutenga mzee mwenzangu, ila wewe vibandani unatafuta nini tena 🤣