Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Itakua anakumbuka warembo aliopita nao kabla ya mama yako πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahaaa sizani nahisi ni hisia TU unajua Kuna wakati Huwa mtu unatamani urudi ila ndo hivo mfano Kuna kipindi flani Dodoma ILIKUA tamu sana hii ya sasa hapana, nakumbuka enzi hizo square pale jioni ILIKUA Bata sana walivyo hamishwa machinga pameku hovyo sana nikienda Dodoma sikukaa sana nikaondoka hamna feelings tena Bora kipindi Cha magu basi Kuna washikaji nikiwakumbuka najikuta naumia sana nyakati hizo
 
Siongezi neno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado nakumbuka ulivyokuja humu mgeni unajitambulisha kama mtoa huduma za afya.
 
Ni kweli mambo yanabadilika sana.
 
Kabla ya 9D samuya ataaga anaenda uganda kwa museveni kwa ajiri ya mikataba ya kimataifa, huku nchini kitaumana kweli mambo yatakuwa mapya, mwisho samuya atabaki hukohuko uganda na watafunga ndoa takatifu na museveni maana mumewe atapoteza fahamu miaka buku baada ya kusikia vyuma vimeumana nchini.
 
Pole, nami nilikuwa nikikureply inagoma, sijui wivu, si unajua faida za ndizi mwilini karibu ndizi bibie, nishakumenyea, kazi kwako πŸ€£πŸ˜‚
 

Attachments

  • 1763176558529.jpg
    9.3 KB · Views: 11
Kabla ya 9D samuya ataaga anaenda uganda kwa museveni kwa ajiri ya mikataba ya kimataifa, huku nchini kitaumana kweli mambo yatakuwa mapya,
Huu utabiri wako na ukawe kweli
mwisho samuya atabaki hukohuko uganda na watafunga ndoa takatifu na museveni maana mumewe atapoteza fahamu miaka buku baada ya kusikia vyuma vimeumana nchini.
Ila unamjua mke wa Museveni wewe? mbona atamtoa macho kimama πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…