Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Baiskeli imekosa kitako, unakalia BOMBA tu..
Safari inaanza, kwa mwendo wa ado ado,
Upo karibu yangu, unasikia pumzi za kupiga pedeli.
nakunong'oneza maskioni,
Tunapiga stori zetu safari inanoga,
Stori zinanoga unageuka tunatizamana usoni,
Jicho laini kwa utamu wa safari.
Tunapitia, mabonde, tambarare, mashimo, mchanga, lami.. unazidi kuusikia utamu wa BOMBA
hapo hapo juu bomba unabadili mikao safari isikuchoshe,
Safari ikinoga unakumbatia..
kwenye kilima nasimamia.
Speed inaongezeka,
Tunafuka kileleni, kisha tunaanza shuka kwa speed ya 5G.
Nakufikisha safari yako,
Unanikumbatia kwa furaha kukufikisha.
Nakwambia twende tukaoge unagoma, unasema wacha upumzike kwanza, kumbe unahofia BAFUNI itafunguliwa CHAPTER 2
 

Nakwambia twende tukaoge unagoma, unasema wacha upumzike kwanza, kumbe unahofia BAFUNI itafunguliwa CHAPTER 2
Naamua acha niende tu, nipunguze hili jasho na nanyanyuka kwa shida, unanisaidia kunishika tunaelekea bafuni.

CHAPTER 2 ..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…