Wapi hiyo nije?[emoji39] [emoji39]Karibuni tuanze weekend
Ngoja nijeSoul Lounge mikocheni mkuu
Babe mbona hizi taarifa sinaKaribuni tuanze weekend
Wewe mama ya masafari na makilimanjaro upo?Wapi hiyo nije?[emoji39] [emoji39]
Asante sanaKaribuu sana
Nipo, nimejaa tele ka pishi la mchele! Bae wako naona ananitamanisha na hivi vitu adimu!Wewe mama ya masafari na makilimanjaro upo?
Bae check your whatsapp nimekwambia niko Soul
Umepotea au mimi ndiye nimepotea?Nipo, nimejaa tele ka pishi la mchele! Bae wako naona ananitamanisha na hivi vitu adimu!