Weekend

Weekend

Aah wapi ndiyo watakuja wengi... hakuna Raha kama kumtongoza mlevi hutumii nguvu nyingi....
Kumbe....! Ndo maana nikilewa,idadi ya wanaonitongoza huongezeka! Sasa ngoja niwatafutie dawa
 
Mwambie boss ready wake Curious gal ashapendeza anamsubiri

Wewe akikushika sema Suu nisikie tu
31149c290ef49f67ce454fbadfa46deb.jpg
Khaaaaaaaa ngoja mr unamuona huyu mtu huku Asprin
 
Back
Top Bottom