Weekend

Weekend

Orayt... Binti Mzigua90 come this way babes...

Chapchap sana...

images
Daby ataniua babu
 
Aaagh!. Ahsante Mkuu.

Endelezea Weekend iende vema kabisa.
 
Kazi nzuri vilipitiwa na ukame eee?... acha nije unipe location.

269a8f1b84ecbec13754f05d33f6717e.jpg
itabidi tubadilishane gunia moja moja kwa haya[emoji115]
Hayo ninayo baba labda unipe offer ya kingine ila Maharage +Alizet na mahindi yapo ya kutosha! Nilichelewa kupanda Dear ila angalau nimepata gunia 8-9 kwa hekari moja na mbegu ya kutosha kwa ajili ya msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom