[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mother body ndo sura ama?kwa kweli housing nampa 100%
utata kwenye mother body nako yaliyomo yamo?
nilikoma siku moja kuchagua mchezi kisa kapendeza jezi,uwanjani ukawa upuuzi mtupu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NilichekaaHahahahahaa. Halafu unajua huyo dokta mshkaji wangu sana sijui alianzaje na kunisema na wababu
Mmmmmh aiseeKwani unaogopa kufa? Piga vitu wewe
Aisee...mpo vizuri[emoji23] [emoji23]Kumbe yule basi hana madhara unamwambia tu kabisa usiniite mzigua
Kunywa wewe acha uwoga kufa kupo tu hakuepukikiMmmmmh aisee
Tupo vizuri sana kwenye mipangoAisee...mpo vizuri[emoji23] [emoji23]
Haha hapo hamaanishi kwa kutazamwa,,kasema upo vizuri kishape,kisura ila kwenye 6*6 ndio hajui [emoji125]Tuulize nyie watazamaji mi mwenyewe sijui
[emoji23][emoji23] kumbe mwenyewe upo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimcheck yule kama yupo tabata ni kunywa mpaka usikuNgoja nimchek kwanza shemeji ako. Ila nataka kurudi home mapema mie
Mzigua una hatari wewe..... [emoji4][emoji4][emoji4]TunaendeleaView attachment 781306
Hivi unajua bia zilivyo tamu? Na puchi??[emoji23]Kunywa wewe acha uwoga kufa kupo tu hakuepukiki