Leo sitaki. Na nimezeeka siku hizi saa saba narudi kulala
Mtaje unaemdhania nitakuambia kama ndie au siyeNinavoimagine wadada wa JF,napataga picha yake exactly..
[emoji23][emoji23]Muone vile
Ni r.i.pFlagyl ukinywa na pombe,ni kwaheri
Kwa mdudu huyu sidhani... [emoji3] [emoji3]Hahaha hapo anataka kupungua [emoji23]
Sasa si zitakua za leo tu ila huko niendako sidhani kama nitazikuta,labda nionge na watu wa dini kwanzaSasa tamu si ndo ukanywe tuu
Mkuu hiyo ni ya kuogopa kama ukoma mzee....Flagyl ukinywa na pombe,ni kwaheri
Leo siendi mbali muda si mrefu naenda zangu nexus kupata moja baridi then narudi kupumzika..... [emoji4]Karibu mkuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] ila bia ni tamu sana.....Poa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la bia[emoji23]
Yaani ni futi sita....Ni r.i.p
Niwekee na beer zangu na mm nikujePoa friji jeupe hapa ngoja nikafuate kret la bia[emoji23]
Uko na kichwa kizuri [emoji1][emoji1]Ya tano
Tips wapo vizuri, nilikuwa hapo Jana. Wanahuduma nzuri