Iko hapa makumbusho stand....Nexus ndo wapi??
Nachukua safari ndogo mistari miwili na kilimanjaro ndogo mistari miwiliNiwekee na beer zangu na mm nikuje
Unisindikize tuNtakusindikiza nikitoka hapa
Ndio mbinu ambayo huwa naitumia sana...nikiona naanza kulea nakunywa maji then naanza moja....Nimepiga maji litre moja kabla. Na nataka niongeze tena
Natumia heinken ndugu kama zitakuwepo itapendeza zaidiNachukua safari ndogo mistari miwili na kilimanjaro ndogo mistari miwili
Kuna unayotumia hapo??
Next time ukiwa pande hizo nishtue mkuuWanajitahidi sana.
Haha bia zinanenepesha balaa,,yani ukinywa bia moja sawa na umekula chapati mbili[emoji23] [emoji23]Ntapungua tu kwa uweza wa Allah
Wewe angalia usije muua shunnie.... hawa kidogo lite... Heineken or Windhoek ndio wanaweza....Nachukua safari ndogo mistari miwili na kilimanjaro ndogo mistari miwili
Kuna unayotumia hapo??
Karibu shemelaUnisindikize tu
Piga vyombo mamaAaah. Itajulikana baadae bwana
Nikiwa sina mood ya kutoka namalizia siku yangu hapo....Ooh. Nshapakumbuka napaonaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntapungua tu kwa uweza wa Allah
Asante shemKaribu shemela