Weekend

Weekend

Leo kula na kunywa tu
20180526_134757.jpg
 
----
--Nimesimuliwa kwa uchache na moja ya waungwana PM, japo bado sijapata picha kamili ya hicho kilichotokea.

-Sehemu nyingi i.d ya The List imetajwa lakini bado sijapata sababu kwanini ihusishwe na huo uchafu uliotokea.

-Niwape pole kwa hicho kilichowakuta bahati mbaya nikiwa kwenye BAN huwa sifungui kabisa mtandao huu na ikitokea huwa ni kwa nadra sana.

-Infact wote niliotajiwa katika mtanange huo hatuna tofauti za kufikia hatua kama hiyo..wengine hata sijawah kuwaona jukwaan humu labda walijiunga apa karibuni mfano huyo sijui jolli jooli

-Poleni sana, na hasa muungwana mwenzangu Shunie, wewe hujawah kunipa sababu ya kutofautiana na ni moja ya waungwana na watu wangu wa nguvu sana humu jukwaan. Na nikuambie tu wewe na waungwana wengine vita yenu ni vita ya The List.

Wanaoijua i.d ya The List vizuri wanajua haijawah kujificha kwenye kichaka cha i.d mpya tukitofautiana tunamalizana apa apa ili ujue kabisa The List kanitwanga/cheketua kwa mtindo wa TII KIU YAKO.

--Mwisho niseme ahsante mkuu RRONDO hakika kwa mujibu wa simulizi niliyopewa wewe pekeee ndie uliesimama kidete kuitetea hii i.d na wale waliotaka kuichafua kwa najisi kama hizo..umekuwa muungwana na kwa hakika ukabarikiwe mpaka ushangae mkuu.

Poleni wakuu.
Asante mkuu wa orodha kwa ufafanuzi.
 
Yaan The List sisi tulikuwa tunakataa kabisa sio wewe usingeweza kututukana ambao hatuna tatizo na wewe yule mtu ana matusi alikuwa anakuja mpaka kwenye hii thread kututukana
 
Weekend ya leo imeniumbua. Nimevaa kihome home halafu nikaalikwa kwenye party ya kufungua club swa cliff village halafu nimevaa kama niko kwangu[emoji52][emoji52]
20180609_221450.jpg
 
Kupendeza tuu. Huoni mie niko kawaida sana hapo. Kukaa na wanaume wa mjini haki kunaniharibu. Najikuta nimewaozea kiasi ambacho naacha kuwa kama mdada
Af mbona huna tumbo la bia kama wanawake wengine ambao wanakunywa??
 
Back
Top Bottom