Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanawake hao hadi nguo haziwapendezi kisa tu ya vitumbo..but you shape naona ipo on fleekSina kitambi kikubwa ila nina tumbo baya ndo shida iko hapo [emoji23][emoji23]
Mimi kuigiza nilishashindwa sababu kuishi kwenye uongo kuna gharama sana. Karibu Masaki
Nakuja kuchukuaNjoo uchukue
Hiyo hela yakp hata entrance haitoshi hapa [emoji23][emoji23]ningekuja.. hela niliyonayo leo ni buku 15.. tu.. nikisema niweke mafuta na bei za masaki.. nitakunywa moja tu.. niko zangu mtaani tu.. glocery ya kitaa hapa napata safari ndogo za kutosha na mishikaki ya kulalia...
Ila nyie si mna diet zenu za kupunguza mafuta..au we huzifwati?Nashukuru unene wangu uko sambamba na tumbo ila tumbo langu linaniboa hatari
Hiyo hela yakp hata entrance haitoshi hapa [emoji23][emoji23]
Hivi kwa wewe,unaweza kuwa kwenye relationship na jamaa ambaye hatumii kabisa alcohol??Nimezishindwa chief. Napenda vitu vyenye kuleta matumbo. Kidogooo tumbo imepungua ila kunenepa sasa ni balaa
Kuna Mtu Nilimsikia Akisema Namibia Kuna Shida ya Maji, Yale Maji Taka ( Ya Chooni) Yanasafishwa Tena, Halafu Unatengenezwa Huu Mzigo, Unauzwa Beeei, Eti International Beer [emoji3]Hali ya hewa hairuhusu kutoka itokee mama moja matata tujifungie mpk kesho![]()
Sasa ulishindwa kwenda kubadili nguo?Weekend ya leo imeniumbua. Nimevaa kihome home halafu nikaalikwa kwenye party ya kufungua club swa cliff village halafu nimevaa kama niko kwangu[emoji52][emoji52]View attachment 798926
Ungelala? Hivo kuna weekend unalala mapema?Ndiwo. Uvivu nitoke nilipo ni3nde home halafu kurudi tena. Kwanza ningelala
Mmhh nakufananisha I guessNyingi tuu. Weekend hii ndo nimetoboa maana niko mwenyewe home.
[emoji41] [emoji41]Sidhani kama ntaweza.