Asante mkuu wa orodha kwa ufafanuzi.----
--Nimesimuliwa kwa uchache na moja ya waungwana PM, japo bado sijapata picha kamili ya hicho kilichotokea.
-Sehemu nyingi i.d ya The List imetajwa lakini bado sijapata sababu kwanini ihusishwe na huo uchafu uliotokea.
-Niwape pole kwa hicho kilichowakuta bahati mbaya nikiwa kwenye BAN huwa sifungui kabisa mtandao huu na ikitokea huwa ni kwa nadra sana.
-Infact wote niliotajiwa katika mtanange huo hatuna tofauti za kufikia hatua kama hiyo..wengine hata sijawah kuwaona jukwaan humu labda walijiunga apa karibuni mfano huyo sijui jolli jooli
-Poleni sana, na hasa muungwana mwenzangu Shunie, wewe hujawah kunipa sababu ya kutofautiana na ni moja ya waungwana na watu wangu wa nguvu sana humu jukwaan. Na nikuambie tu wewe na waungwana wengine vita yenu ni vita ya The List.
Wanaoijua i.d ya The List vizuri wanajua haijawah kujificha kwenye kichaka cha i.d mpya tukitofautiana tunamalizana apa apa ili ujue kabisa The List kanitwanga/cheketua kwa mtindo wa TII KIU YAKO.
--Mwisho niseme ahsante mkuu RRONDO hakika kwa mujibu wa simulizi niliyopewa wewe pekeee ndie uliesimama kidete kuitetea hii i.d na wale waliotaka kuichafua kwa najisi kama hizo..umekuwa muungwana na kwa hakika ukabarikiwe mpaka ushangae mkuu.
Poleni wakuu.
Yaan The List sisi tulikuwa tunakataa kabisa sio wewe usingeweza kututukana ambao hatuna tatizo na wewe yule mtu ana matusi alikuwa anakuja mpaka kwenye hii thread kututukana----
--Nimesimuliwa kwa uchache na moja ya waungwana PM, japo bado sijapata picha kamili ya hicho kilichotokea.
-Sehemu nyingi i.d ya The List imetajwa lakini bado sijapata sababu kwanini ihusishwe na huo uchafu uliotokea.
-Niwape pole kwa hicho kilichowakuta bahati mbaya nikiwa kwenye BAN huwa sifungui kabisa mtandao huu na ikitokea huwa ni kwa nadra sana.
-Infact wote niliotajiwa katika mtanange huo hatuna tofauti za kufikia hatua kama hiyo..wengine hata sijawah kuwaona jukwaan humu labda walijiunga apa karibuni mfano huyo sijui jolli jooli
-Poleni sana, na hasa muungwana mwenzangu Shunie, wewe hujawah kunipa sababu ya kutofautiana na ni moja ya waungwana na watu wangu wa nguvu sana humu jukwaan. Na nikuambie tu wewe na waungwana wengine vita yenu ni vita ya The List.
Wanaoijua i.d ya The List vizuri wanajua haijawah kujificha kwenye kichaka cha i.d mpya tukitofautiana tunamalizana apa apa ili ujue kabisa The List kanitwanga/cheketua kwa mtindo wa TII KIU YAKO.
--Mwisho niseme ahsante mkuu RRONDO hakika kwa mujibu wa simulizi niliyopewa wewe pekeee ndie uliesimama kidete kuitetea hii i.d na wale waliotaka kuichafua kwa najisi kama hizo..umekuwa muungwana na kwa hakika ukabarikiwe mpaka ushangae mkuu.
Poleni wakuu.
Sijaona chabajabu hapoMrembo mzuri wewe upo wapi weekend hii?
Aisee
Utazimaliza zote izo? Embu niachiepo mbili na mimi bhana
Wewe mdada unapenda pombe.......
Mashallaaah..kwani dressing code ilibidi iwe ni ipi?Weekend ya leo imeniumbua. Nimevaa kihome home halafu nikaalikwa kwenye party ya kufungua club swa cliff village halafu nimevaa kama niko kwangu[emoji52][emoji52]View attachment 798926
Weekend ya leo imeniumbua. Nimevaa kihome home halafu nikaalikwa kwenye party ya kufungua club swa cliff village halafu nimevaa kama niko kwangu[emoji52][emoji52]View attachment 798926
Af mbona huna tumbo la bia kama wanawake wengine ambao wanakunywa??Kupendeza tuu. Huoni mie niko kawaida sana hapo. Kukaa na wanaume wa mjini haki kunaniharibu. Najikuta nimewaozea kiasi ambacho naacha kuwa kama mdada
Hahahaha..nilitaka nishangaeNinae kitambi basi tu kimejificha hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]